Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.
Moja kwa moja kwenye Mada.
Napendekeza aina hii ya tozo kwamba kila mwenye gari alipie tsh 1,000/= kila mwezi kwa mwaka tsh 12,000/= kwa kila gari moja,
INALIPWAJE?
Ilipwe katika vituo vya mafuta, pale gari linapoenda kujaza mafuta, ikatwe hapo hapo kama vile jinsi tunavyolipia luku,
Ukitoa...
Hivi wakuu mmegundua wizi unaofanywa na Mabenki kwenye makato ya miamala? Licha ya Serikali kufuta Tozo za Miamala ya uhamishaji fedha ndani ya Benki, kwenda kwenye Simu pande zote, kutoka Benki moja kwenda nyingine tangu Okt. 1, 2022 lakini bado kuna Benki zimeendelea kukata tozo hizo bila...
Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
SAMAHANINI, mdogo wangu anafanya kazi Serikalini, amenisumbua nimtumie pesa za matumizi huko DSM alihitaji kununua vitu, nilipomuuliza alienda kufanya nini, akasema alikuwa anafanya shughuli na shirika moja na UN na badala ya kuwalipa malipo ya kiUN, wamewalipa malipo ya kibongo, walipouliza...
Mh Rais akijibu ombi la Wabunge wa Kigamboni kuhusu kuondoa tozo za daraja, amesema kuwa lile daraja lilijengwa kwa mkopo hivyo lazima watu walipe hela kupita, vya bure havitakuwepo, hivyo wananchi wategemee kuanza lipia barabara watumiazo, zitazojengwa na ppp.
Kivuko cha Kigamboni...
Nasema kodi tena kwa sababu tulikuwa na kodi ya kichwa, ikaitwa kodi ya maendeleo baadaye Utawala wa Mkapa ukaifuta. Mifugo pia ililipiwa kodi na kwa wale wakongwe, kulikuwa na kodi ya baiskeli mitaani.
Taarifa niliyorushiwa, kuna zoezi la kodi ya mifugo inaendelea wilayani Ukerewe. Mbuzi na...
Ndugu zangu naandika hii taarifa nikiwa mnyonge kama kinda la ndege lililonyeshewa na mvua ya mawe baada ya kutelekezwa na mama yake. Sitaki kuwachosha na maneno mengi ngoja niende kwenye mada moja kwa moja kwa kuwa wengi wetu tumechoshwa na tozo hizi za mchongo zinazotukamua na kutuacha bila...
Unapataje AFYA ya Akili, ili Hali unadaiwa namna hii?
Kanisani.
1. Unadaiwa Fungu la kumi
2. Ujenzi wa Kanisa.
3. Kumnunulia gari Mtumishi.
4. Ujenzi nyumba ya Pastor.
5. Mchango kwa wasiojiweza.
Serikalini.
1. TRA
2: TOZO.
3: Leseni ya biashara.
4: Bill ya MAJI
5: Bill ya umeme
6:Tozo ya...
Gharama za maisha zimekuwa zikipanda siku hadi siku. Vyakula vimekuwa juu kiasi kwamba wananchi wanalazimika kuishi maisha magumu kupindukia. Serikali imeshindwa kuwasaidia wananchi ktk kipindi kigumu wanachopitia haswa kuzuia mfumuko wa bei wa vyakula na bidhaa.
Serikali inatambua wazi kuwa...
Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa.
Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;
"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA
Asante Kwa kunipenda Kipindi chote...
Serikali imetangaza viwango vipya vya tozo vya miamala simu na benki zikiwa zimepita siku chache tangu iahidi kuvipunguza kutokana na malalamiko ya wananchi.
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba, kupitia gazeti la Serikali la Septemba 30 ambalo Mwananchi...
Serikali imekusudia kuanzisha Bima ya Afya kwa wote Kwa kuitungia Sheria kuwa lazima.
Na kwa Mujibu wa Waziri wa Afya, Bima itaambatanishwa na huduma zingine kama leseni nk.
Aidha kutakuwa na vifurushi vya Bima na mtu atalazimika kuchangia pesa kwa lumpsum kiwango atakachochagua.
Sasa binafsi...
Habari Tanzania!
Leo napenda kutoa wazo kwa ajili ya kulijenga Taifa letu kwa umoja na ushirikiano wa hali ya juu.
Naomba kupendekeza wazo la tozo mpya ;
Tozo ya Kwanza: Tozo itoke kupitia wanachama wa vyama vyote vya siasa tulivyonavyo hapa nchini. Mfano, kila mwanachama wa chama cha siasa...
Karibu kila eneo la taifa letu limejaliwa kuwa na madini ya kila namna. Dhahabu ndio inapatikana kwa wingi kila mahala hapa nchini.
Kama kuna baadhi ya kampuni za kigeni zina migodi ambayo uwekezaji wake haufiki hata bil 200 na wanachimba na kupata faida na pesa nyingi tu.
Kwa nini huyu...
Hayati Magufuli akiwa kama rais wa nchi alileta mabadiliko makubwa juu ya ukusanyaji mapato kwenye taifa letu. Pesa nyingi ilikuwa ikipotea mikononi mwa watu wachache. Akaamuru mapato yote yawe yanaingia mfuko mkuu wa serikali. Na hapo akawa amepatia akafanya makubwa. Akajenga hospital, vituo...
Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena.
Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT.
Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.