tp mazembe

Tout Puissant Mazembe, commonly referred to as TP Mazembe, is a Congolese professional football club based in Lubumbashi.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10. Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
  2. Christopher Wallace

    FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

    Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika, leo kuna mchezo muhimu sana. MC Alger Vs TP Mazembe pale katika dimba la July 5, kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki. Mchezo huu ni muhimu sana kwa hatima ya Yanga katika kusonga mbele. Ikumbukwe MC Alger yupo nafasi ya pili akiwa na...
  3. Malaika wa Misukosuko

    CAF wawe makini na Mechi za MC Alger vs TP Mazembe na Al Hilal vs Yanga, Sisemi sana ila waweke mitego yao kuna Timu itanasa

    Habarini wakuu, Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe, Al Hilal vs Yanga Hizi mechi CAF waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
  4. Vincenzo Jr

    FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 🏆 TotalEnergiesCAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚TP Mazembe 📆 04.01.2025 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 4PM (EAT) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko 05’ | #CAFCL Yanga SC 0-0 TP Mazembe 25’ | #CAFCL Yanga SC 0-1 TP Mazembe 35’ | #CAFCL Yanga SC 1-1 TP Mazembe MAPMZIKO| #CAFCL HT: Yanga SC...
  5. M

    TP Mazembe wameingia kwenye mfumo, kesho mnaobet wekeni mzigo wa kutosha

    Mitego ya Utopolo ilikuwa mingi Sanaa, mingine wameikwepa kwa kusaidiwa na wakongo wenzao waliopo hapa nchini, mitego mingine wamesaidiwa na waliokuwa wachezaji wao wa zamani ambao ni raia wa Congo. Lakini Mazembe wameingia kwenye mfumo wa Gusa Achia Twende Kwao. Miiba wameikanyaga tayar...
  6. Teko Modise

    Yanga kulamba Milioni 500 wakiifunga TP Mazembe

    Wakati benchi la ufundi likijipanga kupata Ushindi, VIGOGO na matajiri wa klabu ya Yanga nao hawalali wakiendelea na mipango ya nje na sasa wachezaji wa timu hiyo wamewekewa mzigo wa Sh 500milioni mezani kama njia ya kuongeza mzuka wa kupata ushindi mbele ya Mazembe. Matajiri na vigogo hao...
  7. M

    Ally Kamwe chukua tahadhari, Manara kuhamasisha gemu ya Yanga vs TP Mazembe ni udhaifu wako kiutendaji, usiruhusu hilo

    Wewe ndio afisa habari wa Yanga, wewe ndio unatakiwa upite kwenye media zote ushawishi wanaYanga waende disband kuishangilia Yanga mwanzo mwisho, kazi hiyo unaiweza vizuri sana. Wewe umeaminiwa na taasisi kubwa ya michezo nchini, Yanga, wananchi wanakukubali sana wewe. Wakati wanaYanga...
  8. Waufukweni

    Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe

    Rais wa Yanga, Engineer Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe kwenye mechi ya Tatu kwenye kundi A michuano ya CAF Champions League. Yanga kwasasa anabuluza mkia kwenye kundi hilo akiwa na alama 1 na walianza vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo...
  9. ngara23

    Tathmini fupi mechi ya Tp Mazembe vs Yanga

    Mchezo ulikuwa mzuri Nampongeza coach Saed Ramovic Alikuja na mbinu nzuri zaidi ya kuzuia kipindi cha Kwanza ndo maana akaanza na viungo wengi wenye tabia ya kukaba yaani Duke Abuya, Aucho, Mudathir na Nzengeli Kipa Diara amecheza vizuri mno alichezesha timu vyema, Majeraha aliyoyapata mapema...
  10. Vincenzo Jr

    FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ TP Mazembe🆚Young Africans SC 📆 14.12.2024 🏟 Stade TP Mazembe 🕖 3pm🇨🇩4pm🇹🇿 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya TP Mazembe Mpira umeanza Dakika ya 2 Yanga Sc wanafanya mashambulizi Dakika ya 9 TP mazembe wanafanya mashambulizi Dakika ya...
  11. S

    Kukosekana kwa Umoja na mshikamano ndani ya Yanga kesho wanakwenda kuaga mashindano ya CAF Championship 2024 vs TP Mazembe

    Kesho wana Yanga msipoteze muda wenu kuwa na matumaini kule Congo vs TP Mazembe. Mgogoro ule uliokumba Simba miaka 3 nyuma umehamia Yanga. Nimemsikiliza kwa umakini mkubwa babake Haji Manara, Sunday Manara akimlaumu sana Injinia Hersi na wenzake ndani ya Yanga. Mzee Manara anamuona Hersi na...
  12. Mngoni asiyepiga gambe

    Naangalia Al Hilal na TP Mazembe hapa itoshe kusema Depotivo de Utopolo (Yanga SC) jiandaeni kumaliza wa mwisho kwenye kundi

    Kama kuna mtu aliwadanganya deportivo de utopolo kuwa Mazembe ameshuka kiwango basi mjiandae kushenyetwa nje ndani jamaa wanapeleka moto sio poa.
  13. pesakilakitu

    Timu ya Mazembe yaruhusiwa kutumia wachezaji wake, kilio kinasubiriwa Jangwani

    Hatimaye timu inayocheza soka safi la kushambulia , TP Englabaa Mazembe hatimaye FIFA yaifungulia rasmi na kuiruhusu kutumia wachezaji wote wapya na hatari iliowasajili. Hii itakua habari mbaya kwa wapinzani wao ambao wakati wa droo walivyoona jina la TP Mazembe walishangilia sana kurukaruka...
  14. SankaraBoukaka

    Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja wala Belouizdad wakifika makundi

    Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League. Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa...
  15. U

    TP MAZEMBE wanajaribu kufanya uhuni wa kitoto sana dhidi ya Singano.

    Oneni wenyewe
  16. GENTAMYCINE

    Mdogo wangu Ajib uliniumiza mno pale ulipokataa kwenda TP Mazembe iliyokuwa ya Moto kwa Signing Fee ya Milioni 350 na Mshahara wa Milioni 15 kwa Mwezi

    Klabu ya Dodoma Jiji imemsainisha kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga. Mmoja wa viongozi wa timu hiyo ameiambia Mwananchi kwamba bado wanaamini Ajibu ana uwezo mkubwa uwanjani hivyo ataongeza nguvu katika...
  17. GENTAMYCINE

    Kama haya ndiyo Mafanikio makubwa ya TP Mazembe kwa Soka la Afrika ambalo Yanga SC bado Wanajitafuta, walichokuja Kujifunza Kwao ni nini / kipi?

    Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matano ya CAFCL Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matatu ya CAFCC Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe amefika CAFCL Semi Finals mara 19 Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP...
  18. K

    TP Mazembe Yakalishwa 3 - 0 , Al ahly Yatinga Fainali

    TP Mazembe wakiwa Ugenini wamejikuta wakipokea Kipigo Cha Magoli matatu Kwa bila dhidi ya Al ahly na kutolewa hatua ya nusu Fainali Ya michuano ya klabu Bingwa barani Afrika. Katika mchezo Wa mkondo Wa Kwanza Timu hizo zilitoshana nguvu Kwa Kutoka Suluhu na hivyo kudhihirika kuwa Al ahly ndio...
  19. uran

    TP Mazembe yatinga Semi Final. Yaichapa Petro Athletico. FT 1-2

    Hongera sana TP Mazembe.
  20. B

    Yanga uso Kwa uso na Tp Mazembe Final CACL

    Hongera Yanga SC, hongera Tanzania. Kutoka kwenye msitu wenye zaidi ya miaka 200, imekwisha onekana Yanga atakutana na Tp Mazembe kwenye final match ya CACL. Safari ya mbali haiagwi.
Back
Top Bottom