Mamelodi sundowns Vs TP Mazembe
⏰ 10 kamili jioni
🏟 Lucas Moripe Stadium
📺 Azam sports 2HD
Kikosi cha mamelodi sundowns
Kikosi cha tp mazembe
Mpira umeanza
Dakika ya 5
0-0
Dakika ya 15
0-0
Dakika ya 22
Tp mazembe wanapata kona
Dakika ya 27
0-0
Dakika ya 30
0-0
Dakika 36
Mamelodi...
Yanga tuna ujinga mwingi sana
Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake
Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua
Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.
CAF hawapangi muda wa home games
Ndiyo maana mazembe ameweka mechi...
Habari Wakuu,
Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo,
Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda)
Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw)
Tp mazembe vs Mamelod (Tp Mazembe Atashinda )
Mimosas vs Wydad (Wydad Atashinda)
Nouadhibou vs pyramids...
Mechi ya marudiano katika ardhi ya Tunisia, Esperence wakimkaribisha Tp Mazembe baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 hapa Benjamín Mkapa.
Nani wakuvuka nusu, nani atabaki... Ni saa 18:00 mechi itakuwa mubashara.
Leo tena Tanzania inabahatika kushuhudia mechi bora yenye viwango vya juu inayopigwa katika dimba la Benjamín Mkapa huku Tp Mazembe akiwa mwenyeji.
Hii ni mechi ya tatu ya mashindano haya mapya tangu yazinduliwe Tanzania na Club kubwa Africa Mashariki na kati.
Ikumbukwe kuwa Tp Mazembe...
Huyo / Huyu ndiyo Jean GENTAMYCINE Baleke ambaye kwa Taarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli.
Hapa kaja tu Nusu Msimu tayari anatupia kiasi hiki je, vipi kama nae angeanza mwanzoni wakati Msimu wa Ligi...
JEAN BALEKE NI MCHEZAJI WA TP MAZEMBE
"Jean Baleke ni mchezaji halali wa TP Mazembe ambaye kwa sasa anacheza Simba kwa Mkopo wa makubaliano ya misimu miwili
"Simba haikumnunua moja kwa moja mchezaji huyu yupo pale kwa Mkopo ila ni mchezaji wa TP MAZEMBE,"Msimamizi wa Mchezaj
Jamani msemaji wa timu sio MC kuwa unaweza kusema chochote. Ally Kamwe alisikika akisema wachezaji wa akiba wa timu ya Yanga ndio waliocheza na kupata ushindi dhidi ya TP Mazembe kule DR Congo baada ya kukosekana Aziz, Morrison, Diara, Aucho na DJuma kwenye kikosi.
Ni kweli waliocheza ni...
Wanamichezo wenzangu wana-jf, Nimejiuliza hili swali ila bado sijapata jibu kwamba nini kinapelekea Mazembe kupitia wanayopitia siku hizi?
Nimekosa majibu hebu nijibieni, maana wamenishangaza sana?!
Sijui timu za DRC zimekumbwa na nini, zote ziko hoi taabani zikivuta mkia kwenye makundi yake!! Hakuna cha TP Mazembe wala Vita!! Hata zikikutana na Ihefu zitaambulia kipigo cha mbwa mwizi!!
Naomba mwenye kujua Mechi ya Real Bamako FC na TP Mazembe FC ni Saa ngapi anitaarifu tafadhali.
Nitakuwa na Mzuka wa Kuiangalia Mechi ya Yanga FC na Monastir pale tu nikisikia TP Mazembe FC ameshinda huko nchini Mali.
Kwa wenye Akili tunajua kuwa endapo TP Mazembe itafungwa na Real Bamako FC...
TP Mazembe imeendelea kufanya vibaya katika Kombe la Shirikisho Afrika, ikiwa nyumbani imefungwa magoli 2-0 dhidi ya US Monastir ya Tunisia.
Mechi inayofuata ya Kundi D ni Real Bamako ya Mali dhidi ya Yanga.
Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika.
Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi.
Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk...
africans
benjamin mkapa
caf
confederation
matukio ya soka
mkapa
mkapa stadium
sifa
simba
soka
soka kimataifa
soka tanzania
tpmazembe
ushamba
ushindi
yanga
yanga na simba
young
young africans
Mtabinya (Tutabinya) mno Mbupu zetu Kesho ili TP Mazembe isifungwe na Yanga SC (Yanga SC ifungwe ) ili tusichekane lakini Ukweli ni kwamba Kesho Yanga SC anashinda Mechi yake kwa Mkapa au atatooa Suluhu au Sare ila hatofungwa ng'o.
Siku zote Dua la Kuku halimpati Mwewe. Mechi yako na Raja...
Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili.
Kwa aina ya uchezaji wa Yanga wa kutegemea goli kipa afanye makosa ndio washinde siioni hiyo nafasi Jumapili.
Kwa kikosi cha Yanga sioni kama hawa TP Mazembe kama watatoboa. Cheki kikosi hiki;
Diarra
D. shaban
Lomalisa
Job
Doumbia
Bangala litombo
Aucho
Aziz key
Kenedy Musonda
Mayele
Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto Mkongo (Bandeko Nangai) Baraka kutoka Namungo FC halafu tukampata na Kipa wa Kigeni wa Kumtia Adabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.