tp mazembe

Tout Puissant Mazembe, commonly referred to as TP Mazembe, is a Congolese professional football club based in Lubumbashi.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hili kundi la Yanga mchekea sana, Timu hapo ni TP Mazembe tu nayo siku hizi imezembea

    CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023 Group D: 1: TP Mazembe (RDC) 2: US Monastri (TUN 3: Young Africans S.C. (TAN) 4: Real Bamako (MLI) Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za...
  2. Expensive life

    Wana Yanga hatuna haja ya kogopa Club African, walishawahi kupigwa nane bila na TP Mazembe

    Nashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.
  3. Little brain

    Al Hilal wapigika kama ngoma na timu B ya Tp Mazembe

    Jana Al hilal wamepigwa 3 : 0 na timu ya watoto wa academy ya Tp Mazembe. Ikumbukwe tu hawa Al Hilal ndiyo waliwapiga makolo kimoja cha nguruwe.
  4. Suley2019

    Mafanikio ya Simba Afrika ni 'process' wajifunze haya kwa TP Mazembe

    Kushinda ubingwa wa Afrika au kuwa na matokeo mazuri mfululizo kwenye mashindano ya CAF Champions League au Confederation Cup ni jambo linalohitaji muda. Simba wanaweza kuiangalia TP Mazembe kama timu ya mfano kwao, vilevile naamini hata Mo role model wake ni Moise Katumbi kwa namna ambavyo...
  5. GENTAMYCINE

    Kama Wanasimba tunajiamini tuna timu imara, kwa nini tunaombea tukutane na Al Ahly Tripoli, siyo TP Mazembe au Orlando Pirates?

    Si tunajiamini kuwa Simba ni Timu Bora kabisa na tumepita CAFCC jana Aprili 4, 2022 kwa uwezo wetu na tuna jeuri ya kucheza na timu yoyote Afrika, sasa kwa nini karibia 99% ya Wanasimba wanaombea wakutane na Al Ahly Tripoli ya nchini Libya na kamwe siyo TP Mazembe ya Congo DR au Orlando Pirates...
  6. Little brain

    Kiungo wa club ya Yanga sc "Mukoko Tonombe' (Teacher) asajiliwa rasmi na matajiri wa Congo DRC "Tp Mazembe''

    Mchezaji aliyekua anawekwa benchi na Yanga anakua tegemeo Tp mazembe je inathibitisha yanga ndio timu yenye kikosi kipana east africa nzima?
  7. matunduizi

    Ukipewa timu ya AZAM utafanyaje ili angalau iwe kama TP Mazembe

    Timu za simba na yanga mtazamo wangu simepewa Muda wa kutosha na zimethibitisha zaidi ya majungu, marktime za kisoka na Maneno maneno hazitatufikisha popote... Nilipoiona AZAM na bosi tajiri yuko nyuma yake nikasema afadhali angalau tumepata team ambayo itakwenda hadi club bingwa duniani...
  8. M

    Wallah! Kama Simba SC itacheza Mpira Mkubwa iliyocheza Simba Day na TP Mazembe, kuna Mtu tarehe 25 anafungwa Goli 7

    Kuna Timu kwa nia njema tu naionya kwakuwa bado ina Jeraha la Kufungwa mara mbili Dar es Salaam na Port Harcourt isikubali Kucheza Mchezo wake wa Ngao ya Hisani (Jamii) na Simba SC tarehe 25 Septemba, 2021. Kwa aina ya Mpira mkubwa (mwingi) na wa Kiwango cha Kimataifa iliyoucheza (...
  9. M

    Kwanini Mightier sijachukia Simba SC yangu Kufungwa Goli 1 kwa 0 na TP Mazembe katika Simba Day na bado nina Furaha kwa Mbungi Kubwa iliyopigwa?

    1. Nimefungwa na Timu Bora mwenzangu na ambaye ameshakuwa Bingwa wa CAF CL mara Tano tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC. 2. Nimefungwa na Timu yenye Uzoefu mkubwa wa Kimpira kuliko Zanaco FC au Rivers United FC. 3. Nimefungwa na moja ya Timu si tu Kubwa bali ni Tajiri pia barani Afrika...
  10. demigod

    Nilichokigundua Kutoka Simba Mpya - Simba 0 - 1 TP Mazembe

    Leo nilipata wasaa wa kushuhudia Tamasha la Vichekesho kutoka kwa watani zangu pale Taifa. Maana ilikuwa sio Tamasha bali ni vibweko tosha, hata ilikuwa bado kidogo nisahau kuwa ninapaswa kutazama Mwanajangwani aliyepoteza uelekeo kule Port Harcout - Nigeria. Kiufupi kichekesho kimojawapo...
  11. mugah di matheo

    FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

    Leo ni kilele cha ile siku pendwa ya Simba day ambapo inafanyika kwa mara ya 13 mfululizo. Tupo hapa kukuletea matukio yote muhimu toka Benjamin Mkapa national stadium. Ungana nasi wanasimba wa Jf kusherekea pamoja nami nawaleta OKW BOBAN SUNZU Mightier FORTALEZA Na wengine wataungana baadae...
  12. N

    Ushahid: TP Mazembe wanakuja full squad tarehe 19 hadi mfagia choo

    Simba walibaki na option 4 kuuu ,Horoya, mamelodi, al hilal, al ahly nTp mazembe Baada ya hao jamaa wa congo(MABINGWA MARA TANO AFRICA) kutangazwa kumezuka maneno ya MAMA J FC kwamba mazembe siyo kitu yaani zanaco ya KAPUMBU ni kali kuliko hao jamaa yakazuka mengine kamba tarehe 19 wana mechi...
  13. demigod

    Tarehe 19 Septembe TP Mazembe ana Mechi ya Ligi, Dar Wanakuja Kufanya Nini?

    Kama kawaida. Nabii Demigod niko Mjengoni na Swali jingine. Ratiba LigiKuu Congo yaani LinaFoot imetoka leo. Inaonyesha kuwa TP Mazembe wanamchezo wa Ligi katika siku hiyo.? Je Simba wanacheza na TP Mazembe ipi? Kwanini Viongozi wa Simba wanapenda kuwa hadaa sana mashabiki wa Simba? Maana...
  14. logframe

    Simba mwaweza letewa chekechea ya TP Mazembe

    [emoji3514] invité par Simba pour un match international de haut niveau le 19/09 ... Notons que le même 19/09 nous aurons match de VL1 . Nous avons un effectif de beaucoup des joueurs il y a toujour possibilité d envoyé même une deuxième équipe en Tanzanie pour le match amical international...
Back
Top Bottom