Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10.
Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika, leo kuna mchezo muhimu sana.
MC Alger Vs TP Mazembe pale katika dimba la July 5, kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki.
Mchezo huu ni muhimu sana kwa hatima ya Yanga katika kusonga mbele.
Ikumbukwe MC Alger yupo nafasi ya pili akiwa na...
Habarini wakuu,
Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga
Hizi mechi CAF waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Mitego ya Utopolo ilikuwa mingi Sanaa, mingine wameikwepa kwa kusaidiwa na wakongo wenzao waliopo hapa nchini, mitego mingine wamesaidiwa na waliokuwa wachezaji wao wa zamani ambao ni raia wa Congo.
Lakini Mazembe wameingia kwenye mfumo wa Gusa Achia Twende Kwao.
Miiba wameikanyaga tayar...
Wakati benchi la ufundi likijipanga kupata Ushindi, VIGOGO na matajiri wa klabu ya Yanga nao hawalali wakiendelea na mipango ya nje na sasa wachezaji wa timu hiyo wamewekewa mzigo wa Sh 500milioni mezani kama njia ya kuongeza mzuka wa kupata ushindi mbele ya Mazembe.
Matajiri na vigogo hao...
Wewe ndio afisa habari wa Yanga, wewe ndio unatakiwa upite kwenye media zote ushawishi wanaYanga waende disband kuishangilia Yanga mwanzo mwisho, kazi hiyo unaiweza vizuri sana.
Wewe umeaminiwa na taasisi kubwa ya michezo nchini, Yanga, wananchi wanakukubali sana wewe.
Wakati wanaYanga...
Rais wa Yanga, Engineer Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe kwenye mechi ya Tatu kwenye kundi A michuano ya CAF Champions League.
Yanga kwasasa anabuluza mkia kwenye kundi hilo akiwa na alama 1 na walianza vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo...
Mchezo ulikuwa mzuri
Nampongeza coach Saed Ramovic
Alikuja na mbinu nzuri zaidi ya kuzuia kipindi cha Kwanza ndo maana akaanza na viungo wengi wenye tabia ya kukaba yaani Duke Abuya, Aucho, Mudathir na Nzengeli
Kipa Diara amecheza vizuri mno alichezesha timu vyema,
Majeraha aliyoyapata mapema...
Kesho wana Yanga msipoteze muda wenu kuwa na matumaini kule Congo vs TP Mazembe.
Mgogoro ule uliokumba Simba miaka 3 nyuma umehamia Yanga.
Nimemsikiliza kwa umakini mkubwa babake Haji Manara, Sunday Manara akimlaumu sana Injinia Hersi na wenzake ndani ya Yanga.
Mzee Manara anamuona Hersi na...
Hatimaye timu inayocheza soka safi la kushambulia , TP Englabaa Mazembe hatimaye FIFA yaifungulia rasmi na kuiruhusu kutumia wachezaji wote wapya na hatari iliowasajili.
Hii itakua habari mbaya kwa wapinzani wao ambao wakati wa droo walivyoona jina la TP Mazembe walishangilia sana kurukaruka...
Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League.
Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa...
Klabu ya Dodoma Jiji imemsainisha kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga.
Mmoja wa viongozi wa timu hiyo ameiambia Mwananchi kwamba bado wanaamini Ajibu ana uwezo mkubwa uwanjani hivyo ataongeza nguvu katika...
TP Mazembe wakiwa Ugenini wamejikuta wakipokea Kipigo Cha Magoli matatu Kwa bila dhidi ya Al ahly na kutolewa hatua ya nusu Fainali Ya michuano ya klabu Bingwa barani Afrika.
Katika mchezo Wa mkondo Wa Kwanza Timu hizo zilitoshana nguvu Kwa Kutoka Suluhu na hivyo kudhihirika kuwa Al ahly ndio...
Hongera Yanga SC, hongera Tanzania. Kutoka kwenye msitu wenye zaidi ya miaka 200, imekwisha onekana Yanga atakutana na Tp Mazembe kwenye final match ya CACL.
Safari ya mbali haiagwi.