tra

  1. TRA mnazima mtandao ili mpige watu penati?

    TRA shughulikieni suala la mtandao mnachofanya ni upumbavu wa hali ya juu, ofisi zenu zote muda wa kazi hakuna mtandao hasa siku za malipo ila kuanzia saa 11 jioni mnarudisha mtandao. Basi fanyeni kazi 24hrs hapo hapo huyu mliyemzimia mtandao akija alipe mnampiga penati za kufa mtu mnafikiri...
  2. L

    Ajira Mpya 2100 TRA- 12 March, 2022

    Habari waheshimiwa, nimeona kwenye gazeti la jana la mwananchi kuwa Rais ametoa ajira nyingine 2100 zaTRA. Nimeambatanisha vielelezo ikiwa ni pamoja na screenshot kutoka kwenye page ya millardayo post za jana gazeti la tarehe 12/02/2022.
  3. Wanaofanya biashara mitandaoni watakiwa kujisajili TRA

    Baadaya ya manyunyu kutamaradi, sasa mvua inaweza kunya wakati wowote. "Watu wote wanaofanya biashara kidigitali tunawaomba mfike katika ofisi zetu kwa ajili ya usajili wa biashara hizo" "Sambamba na hilo tunaendelea kufatilia wateja wenu mnaowahudumia ili tupate taarifa sahihi za biashara...
  4. Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

    Vipi jamani, mambo yameendaje huko? Maana kuna jamaa yangu alinikopa nauli ya kwenda huko Dodoma kuhudhuria huo usaili nafasi ya Tax management officer ii, jana nampigia kutaka kujua kama amekwisharudi ila akaniambia yeye ni kama alienda kutalii tu huko Dodoma maana pepa haikumwendea poa...
  5. A

    Kuna uwezekano TRA idara ya Ushuru na Forodha wanamhujumu Rais Samia

    Inawezekana vipi toka asubuhi mpaka saa 10 hii mifumo ya TRA ya kulipia kodi haifanyi kazi? Hakuna uwezekano kwamba wanamhujumu mama?
  6. K

    Paper ya Tax management officer ii utumishi

    Paper imeisha salama,ila haikua rahisi kivile. Muda nao ni changamoto, wengi wetu hatujamaliza maswali.
  7. C

    Safiri Kwenda kwenye usahili wa TRA (UDOM) Dodoma na kurudi DAR kwa Coaster Mpya

    Kwa wanaohitaji usafiri wa kwenda kwenye usahili wa UTUMISHI (TRA) DODOMA nakurudi DAR tafadhali wasiliana nasi mapema 0719250926 fanya BOOKING mapema nafasi zimebaki chache
  8. Usaili TRA

    In God, we trust.
  9. Ameitwa interview TRA nafasi mbili tofauti muda wa written interview ni mmoja

    Wakuu, huyu mtu kama niwewe ungemshauri afanyeje. Ameitwa interview TRA nafasi mbili tofauti muda wa written interview ni mmoja.
  10. C

    TRA kwenye kodi ya magari wanafanya "wizi" wa wazi kabisa

    Hebu leo tuwaangalie hawa jamaa, Mifumo yetu ya kikodi ni mibovu mno yaani hakuna namna ambayo kodi itatoa ahueni kwa mwananchi wa kawaida hilo halipo. Angalia ukiagiza gari iliyotumika iwe Japan, Dubai, Thailand au Afrika Kusini yaani kodi unayolipa tena isiyo na mantiki tena kodi ya kuudhi...
  11. L

    Duh! Kila nikihakiki bidhaa kutumia Hakiki ap ya TRA inaniambia verification failed

    Nimejaribu kuhakiki bidhaa kwa kutumia ap ya Hakiki Stamp ya TRA nimekuta kila bidhaa feki. Unachotakiwa kufanya scan bar code au QR code iliyopo kwenye bidhaa.Ap inawasha camera ya simu, hakikisha QR code au bar code inakuwa kwenye target ya camera, bila ya kutingishika, kama huwezi ingiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…