traffic

  1. Mwananchi ampa Traffic Police Tsh. 500,000 kwa kutekeleza vyema majukumu yake kazini

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoa wa Arusha, Sajenti Anna Kidenge amepongezwa na kupewa fedha Shilingi 500,000 kwa kutoa huduma bora barabarani. Mwananchi aliyetoa zawadi hiyo amesema ameguswa na namna ambavyo Askari huyo amekuwa akimwona wakati akitekeleza majukumu yake ya usalama...
  2. G

    DOKEZO TAKUKURU mbona hamuwakamati trafiki wanaochukua rushwa hadharani?

    Muda huu saa sita kamili mchana hapa Stendi ya Morroco (Dar es Salaam) kuna askari watatu wanakusanya hela hadharani kwa kila Daladala inayosimama kituoni. TAKUKURU tokeni maofisini muwakamate hawa majambazi katika nguo nyeupe. Ninachojiuliza mbona wanaofanya hivyo hadharani hawachukuliwi hatua?
  3. R

    Kwanini traffic wengi ustaafu wakiwa maskini na wasioweza kujitegemea?

    Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya kazi ya usalama barabarani (trafiki) hawana marafiki baada ya kustaafu, wanageuka kuwa walinzi wa makampuni binafsi na baadhi ushindwa kuishi kwenye jamii kutokana na kukosa skills za kujiimarisha kiuchumi Lakini pia nadhani wengi wanalipwa pensheni...
  4. Road traffic injuries - leading killer of people aged 5-29 years

    The Global status report on road safety, launched by WHO in December 2018, highlights that the number of annual road traffic deaths has reached 1.35 million. Road traffic injuries are now the leading killer of people aged 5-29 years. The burden is disproportionately borne by pedestrians...
  5. M

    Kuna mengi ambayo askari wa usalama barabarani wa Tanzania wanapaswa kujifunza kutoka kwa wenzao wa Rwanda

    Nimerudi juzi Jumapili kutoka Kigali, Rwanda ambako nilikwenda na wenzangu 3 kwa shughuli za biashara. Tulikwenda kwa usafiri wa gari binafsi. Tulikaa huko siku 3. Nilishuhudia kitu kimoja kuhusu traffic polisi wa huko, jambo ambalo lilinifanya nitafakari na kulinganisha na traffic polisi wa...
  6. Traffic: Uganda Vs Tanzania

    Hawa ndio Traffic wa Uganda dhidi ya Tanzania. Traffic wapi wanavutia zaidi kwa sare zao? Tanzania
  7. Traffic Kanda Maalumu Dar es Salaam mlichowafanyia bodaboda leo ni uhuni mtupu

    Mmewakamata asubuhi kwa makosa ya usalama barabarani, Yes ni sahihi kabisa, lakini kwanini mnafanya oparesheni kwa matukio. Leo mmeendesha oparesheni ya kihuni kwa kisingizio kwamba mwenzao Jana Kagongwa na mwendokasi. Hivyo mmepata maagizo kutoka juu muwashugulikie. Nyinyi askari mnachangia...
  8. Arusha: Taa za barabarani🚄hazifanyi kazi muda sasa

    Ni ile njia kuu ya kati unakuta muda wowote inawaka taa ya njano pekee hali inayosababisha kuharibu utaratibu kwa watembea kwa miguu hasa wanaotoka Stendi Kuu kuelekea kupanda gari zinazoenda sehemu mbali mbali ndani ya jiji, Mara nyingi wavuka kwa miguu ni wengi muda wowote hivyo huvuka baada...
  9. VIDEO: Trafiki wanavyolazimisha faini hata makosa ya kuelekezwa

  10. S

    Ushuru wa Maegesho na penati za Traffic imekuwa kero kubwa Dar es Salaam

    USHURU MAEGESHO + TRAFFIC PENALTY JIJINI DAR VIMEKUWA KERO KUBWA SANA Tunaomba wizara husika ziangalie upya hizi taratibu 1. Gari moja inaweza kuta ina madeni ya miaka hadi 3. 2. Kiwango ni kukubwa mno, madeni yasiolipika. 3. Inaturudisha kwenye tatizo la zamani la Motor Vehicle...
  11. Ni lini Traffic Police watatumia akili? Maamuzi kama haya ni ya kipumbavu

    Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa. Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi...
  12. Ni aibu majiji yetu kukosa traffic cameras

    Tupo kwenye Karne ya science na technology, Karne ya information age Karne Ambayo vitu vinatakiwa viende Kwa Kasi. Sasa huwa najiuliza hawa watendaji wetu mbona wamelala usingizi mzito. Ni ushamba au kutokutaka kutimiza wajibu wao. Hawa hawa watumishi kwenye majumba Yao kuna Camera kila Kona...
  13. Polisi Trafiki na Ukaguzi wa Leseni hawafanyi kazi kwa weledi!

    Tumesikia hivi karibuni, tangazo la Polisi Trafiki kupitia kwa Kamanda wa Trafiki Ramadhani Ng'azi kuwa dereva aje na leseni, kitambulisho cha NIDA, kitambulishi cha mlipa kodi TIN, cheti cha afya na shada ya shule aliyisomea udereva! Kwa hayo masharti tu, unagundua kuwa kitengo chetu kina...
  14. Traffic maeneo ya Bomang’ombe kuelekea Daraja la Kikavu wanavuna hela bila uoga

    Sasa ni wazi kila mtu anakula kulingana na urefu wa Kamba yake. Askari wa usalama barabarani eneo la Bomang’ombe kuelekea daraja la kikavu wamekuwa wakikwapua fedha za maderava bila uoga wa aibu. Wamekuwa wakiendeleza tabia mbovu na mbaya kama wale jamaa waliofungua Account China. Ukifika...
  15. WIMBI LA MAKATO YASIYOELEWEKA BENKI: Je, benki zimepewa mamlaka ya kukata fine za trafiki, deni, tozo ya luku na malipo ya maegesho kwa TARURA?

    Benki zina wajibu mkubwa sana juu ya kuheshimu misingi ya kazi zao na mikataba na miongozo ya kuanzisha kwake. Ambao hamjashtukia hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu Kupokea meseji za makato mbalimbali kutoka kwenye mabenki kama CRDB, NMB, na etc. Kwa msiojua kuna namna mamlaka za serikali...
  16. Wamiliki wa tovuti za kiswahili wapi tutapata matangazo yenye kulipa zaidi? Hasa kwa wenye traffic ndogo

    .
  17. T

    Serikali itunge Sheria ili mahojiano kati ya trafiki na dereva yafanyike huku abiria wakisikia Kila kitu. Kama inataka kufuta rushwa Kwa trafiki

    Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari. Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu. Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
  18. NEMC Ikiwapendeza Fanyeni Kama Traffic Police

    Kiukweli hali imekuwa mbaya sana mtaani, vyombo vya entertainment majumbani na sehemu za starehe vinazidi kuongezeka kwa kasi na sasa imefikia familia na wenye bar pamoja na makanisa wananunua maspika makubwa yanayotakiwa kufungwa kwenye kumbi za muziki yanawekwa majumbani na kwenye sehemu za...
  19. Tathmini fupi baada ya tamko la Mzee Kinana kuhusu kero ya Polisi wa Usalama Barabarani

    Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi. Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
  20. Traffic police ni janga la kitaifa, wanazidisha ugumu wa maisha kwa wananchi

    Bei ya mafuta imepanda sana, mishahara ni midogo sana na bidhaa zote sokoni zimepanda kwa kila mtu duniani wakiwemo hata polisi traffic. Polisi wanazidisha ugumu wa hali hii kwa njia ya kutafuta makosa kwa wenye magari na wasafirishaji wa abiria na mizigo, hali inayosababisha gharama kubwa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…