Sijawahi kuona hii foleni ya kutoka vingunguti hadi Banana cha ajabu sijamuona hata trafic mmoja akiongoza magari hata kwenye mataa hakuna trafic yoyote.
Magari yamefungana wala hayendi kabisa,yaani hayaendi popote.
Nadhani leo tutakesha hapa barabarani.
UTANGULIZI
Askari wa Usalama barabarani nikiungo Muhimu Sana kati ya wamiliki wa vyombo vya usafiri na sheria zilizotungwa na bunge katika kudhibiti makosa yote ya usalama barabarani na sambamba na kuakikisha vyombe vinavyotembea ni tu vilivyo salama.
JE, NI KWELI ASKARI HAWA WANASIMAMIA...
Nahisi wataalam wetu wanachoamini wao ni kwamba kukiwa na matrafiki light mengi ndio maendeleo...maana walichokifanya saizi kuanzia Mwenge hadi Morocco ni kukomoa. Mwenge taa, TV taa, Bamaga taa, Sayansi taa, Makumbusho taa, victoria taa, mbele ya victoria taa,then unakutana na taa za Morocco...
Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali alilelewa hivyo. Kwa maneno mengine fisadi au jambazi sugu analelewa na kufundishwa tabia hiyo na watu...
Ukitokea Mwenge kuelekea Morocco
Traffic lights
1. Mwenge
2. Njia panda ya ITV
3. Bamaga
4. Sayansi
5. Millenium tower
6. Makumbusho
7. Njia panda ya Mwananyamala
8. Njia panda ya Kairuki hospital
9. Njia panda ya Chato ( Vodacom)
10. Morocco
Vituo vya Daladala
1. ITV
2. Bamaga
3. Sayansi
4...
Nitangulize kupongeza wote waliohusika kubadili utaratibu wa kutoza adhabu za vyombo vya usafiri barabarani badala ya ule wa awali ambapo mahakama pekee ndio ilikuwa inatoza.
Hakika, walikuwa na nia njema ya kuondoa usimamaji wa vyombo vya usafiri kusubiri hukumu ya mahakama.
Pamoja na nia...
Yaani badala ya kusaidia kupunguza jam hizi taa hapa ITV junction zimeongeza kero aisee sijui nini wataalam wetu wameshindwa kutatua. Kwanini hata wasingewaza magari ya kutokea upande wa ITV yanayoelekea mwenge yakazungukie bamaga? Na Yanayotoka bamaga kuingia Mikocheni yakaingilie mwenge? Mbona...
According to a report by the Institute of Economic Affairs (IEA), studies show that Kenya loses approximately Ksh50 million daily due to direct financial impact caused by traffic jams.
The national and county governments have embarked on mega projects to increase road capacity and manage...
TANROADS tafadhalini rekebisheni hizo taa. Karibu wiki sasa naona taa zinaruhusu huku na huku kwa wakati mmoja. Naweka picha inayoonesha gari kutoka Agakhan hospital zimeruhusiwa huku gari zinatoka selander kuingia upanga nazo zimeruhusiwa.
Ni kawaida siku hizi kuona askari wa usalama barabarani wakiwa na magari yao wemeyaweka vichakani wakisimamia sheria za barabarani au wakifanya kazi ya kukamatakamata.
Magari haya unaweza kuyakuta mbali tena yakiwa nje ya mji.
Swali la kujiuliza. Nani anaweka mafuta haya magari kuyawezesha...
RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Polisi wasitumie makosa kama kitega uchumi kwa kutoza faini mbalimbali badala yake wajikite kwenye kudhibiti makosa
Ameyasema hayo alipokuwa katika Ziara ya Kuzindua Kiwanda cha Ushonaji cha...
Habari wadau.
Imekuwa kawaida kusimamishwa na Askari wa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huu ni moja kati ya wajibu wao wa msingi kwa ajili ya kuhakikisha usalama wetu watumia vyombo vya usafiri pamoja na wote wanaotumia barabara au wenye shughuli zao pembezoni mwa barabara.
Baadhi ya askari...
Mheshimiwa Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini?
Basi limesajiliwa Route husika lakini unakuta Traffic kila siku wao kazi kupiga mkono daladala na kudai hela.
Piga marufuku matraffic kukamata daladala ambazo...
ECONOMY
New Sh346 million air traffic control system to boost JKIA safety
WEDNESDAY MARCH 10 2021
Terminal 1A at Jomo Kenyatta International Airport. FILE PHOTO | NMG
The Kenya Civil Aviation Authority (KCAA) will install a new Sh346 million air traffic control system at the Jomo Kenyatta...
Nilichukua gari kwenda kupokea mzigo wangu kutoka mkoani pale Mbezi Kibada cha mkaa.
Wakati tunaenda tulipiti njia ya wazo hili na kutokea barabara ya Goba. Njiani nilisimamishwa na maaskari mara tatu, kila mala wakimwambia dereva wanataka kukagua lesseni yake. Kumbe hiyo ni lugha ya kutaka...
Katika Watanzania wanaoziharibu (Fedha za Noti) za Tanzania ni makondakta & madereva wetu wa vyombo vya moto yaani magari ya abiria na mizigo wakishirikiana na wasimamizi wa Sheria za nchi hii (Traffic).
Fedha tajwa hapo juu hutolewa kwa njia ya kidhalilishaji kwa sarafu zetu na askari pia...
Habar za kaz wadau hope all is gone well Mungu anasaidia january inakatika io ebu twende ndan ya mada
Nipo katika mahusiano na girl mmoja hivi kwa almoat miaka miwili sasa mapenzi yetu yalitawaliwa na furaha tele ikiongozwa na upendo lkn kuna mikwaruzo midogo midogo toka awali lkn sasa sio...
Habari ya Jumatatu mwananchi. Leo naomba tudiscuss kitu kimoja ambacho kimekua kinanisumbua sana kichwa. Hivi kiuhalisia, Askari Barabarani wapo kutatua changamoto au kuongeza. Nna incidents chache nnazoweza kuzitolea mfano.
Unakuta mtu amepata matatizo barabarani ghafla tu, gari yake imeanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.