Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania (Traffic Engineers) eti;
Ni vigezo gani vya kitaalam huzingatiwa na engineers katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara za mijini?
(1) Kama...
Kumekuwa na hali ambayo haileweki ndani ya jeshi la polisi upande wa usalama barabarani ambapo unaletewa meseji kwenye simu kwamba umepigwa faini na unaandikiwa na kosa lako wakati huo wewe upo Dar es salaam na gari halijaenda popote siku nzima wewe upo nyumbani.
Ukiingia kwenye mtandao wao wa...
Tumekuwa tukiona mahusiano ya aina tofauti tofauti ila common yakiwa yale ambayo mwanaume wana economic muscles ila kutokana na mabadiliko ya tabia nchi sikuhizi pia kumejitokeza mahusiano mengi ambayo wanawake wana financial muscles hali iliopelekea mahusiano ambayo mke anakuwa anaziba gap...
Jana nilikuwa natokea kwenye mihangaiko yangu ya kutafuta ugali, ilikuwa ni nyakati za jioni hivyo nikasogea kituo cha daladala na kusubiri Usafiri( Najua mtanishangaa member wa JF kupanda daladala maana humu wengi wenu mnamiliki Ford Ranger na wachache wanamiliki Prado)
Sasa ikaja daladala...
Rise in transshipment traffic raises Mombasa East Africa gateway profile
Mombasa port handled a transshipment (goods destined for other ports) traffic of 211,204 twenty-foot equivalent units (TEU) in 2019 compared to 121,577 the previous year.
The increase reflects the gains from the ongoing...
Wadau wenye usafiri tuweze shirikishana mambo mbalimbali ambayo madereva wanapaswa kuzingatia barabarani hasa kwa upande wa Haki na Wajibu wao.
Na sisi tusio na magari pia tutapata darsa hapa.maana nakumbuka miaka ile sisi tunasoma tulijifunza kwenye Geography Kilimo cha Mahindi USA lakini...
Ile kazi naimiss sana kwasasa.
Ni kazi ambayo nikiambiwa nichague basi itakuwa first choice huku kazi za uhasibu na ugavi nikiziweka pembeni.
Nina hamu sana kuongoza magari barabarani.
Nyie mnaomiliki vyombo vya moto mngenipenda sana.
Wasalaam,
Siku mbili izi kuna video ya Waziri wa mambo ya ndani ya nchi akiongea na viongozi wa vyombo vya usalama imeonekana kwenye mitandao ya kijamii.
Waziri huyo alionekana akiwalalamikia sana traffic kwa kufanya kazi bila kuzingatia sheria, utu pia kufanya overcrowding barabarani, unakuta...
Kupanga ni kuchagua, kwasasa traffic polisi wabaki wachache barabarani wahamie kwenye kuzuia vifo vinavyotokana na COVID-19. Taifa lihamishie nguvu zake kwenye CORONA pia kwa kuwapeleka Polisi wengi sehemu zenye mikusanyiko mikubwa Kama stand, masokoni, bank, nk ili kuhimiza kunawa mikono...
Assalaam,
Naomba nianze kwa kuwapongeza askari wa usalama barabarani kwa utendaji mzuri sehemu mbalimbali Tanzania.
Nilichokiona Katesh siku ya trh 12/4/2020 sio cha kiungwana na kinaondoa uadilifu wa jeshi. Binafsi niliandikiwa faini kwa kosa la kuendesha gari kwa spidi ya 57/h.
Kadhalika...
Nimekuwa mtumiaji wa hii route ya KIGAMBONI mpaka KONGOWE kwa muda mrefu nikiwa na safari kati ya Kigamboni na Mkuranga. Kwa ujio wa safari za daladala kati ya KIGAMBONI na MWANDEGE nilipata ahueni ya nauli na muda..
Na hii route madereva na makonda wengi walikuwa wakiipigia kelele...
WANAJAMVI, hebu leo tujumuike kujadili hili swala la barabarani ambalo imekua kero kwa muda mrefu sana. Kitu kimoja ambacho mimi huwa kinanitia hasira ni jinsi traffic wanavocontrol juntion kwa upendeleo, yani kama wale tunaopita njia ya morrocco kwa kuelekea kawe ni matatizo mkuu, unaweza kukaa...
Naomba kuwauliza swali, mnapoingia kwenye mabasi na kufanya ukaguzi huwa mpo serious au mnafanya maonyesho tu!
Picha hii hapa ni ya moja ya viti vya bus la Nyehunge kutoka Mwanza - Morogoro
Vngi ya viti vimenyofoka na mingi ya mikanda ya usalama nayo ni kama inavyoonekana
Kanuni ndio hiyo,
Mafanikio yako mtandaoni yanapimwa na mafanikio yako in the real World!
Ukitaka kuwa na accounts kama Youtube insta mategemeo ya kupata watu wengi wa kutembelea pg yako yanaakisiwa na namba ya wanaokutembelea kwako au hata kukucheki kwenye simu.
Position: Researcher
Short term assignment (60 days)
About us:
TRAFFIC is the International wildlife trade monitoring network working in alliance with WWF (World Wide Fund for Nature) and IUCN – The International Union for the Conservation of Nature, is seeking a Researcher to implement the...
Mashine za kutoza ushuru zimekuwa ni sehemu ya uniform kwa traffic police sasa hivi.
Naweza kusema kila Traffic polisi watatu unaowaona barabarani wawili wana hizi mashine za kulipia faini kwa makosa ya barabarani.
Fedha zinazokusanywa ni nyingi sana lakini fedha hizi hazitumiki katika kutoa...
Wanabodi,
Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa"
Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo.
Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa...
Habari zenu wadau,
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi hapa Jijini Dar es salaam nini haswa chanzo cha foleni katika barabara zetu kati ya taa za barabarani au traffic?
Je, trafiki ni chanzo, maana wanasimama mpaka kwenye roundabout, barabara za mitaani pamoja na kwenye maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.