Nahisi wataalam wetu wanachoamini wao ni kwamba kukiwa na matrafiki light mengi ndio maendeleo...maana walichokifanya saizi kuanzia Mwenge hadi Morocco ni kukomoa. Mwenge taa, TV taa, Bamaga taa, Sayansi taa, Makumbusho taa, victoria taa, mbele ya victoria taa,then unakutana na taa za Morocco...