Kupanga ni kuchagua, kwasasa traffic polisi wabaki wachache barabarani wahamie kwenye kuzuia vifo vinavyotokana na COVID-19. Taifa lihamishie nguvu zake kwenye CORONA pia kwa kuwapeleka Polisi wengi sehemu zenye mikusanyiko mikubwa Kama stand, masokoni, bank, nk ili kuhimiza kunawa mikono...