treni ya mchongoko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini treni mchongo yenye behewa 16 (Dar - Morogoro) hainoekani kwenye mfumo wa tiketi

    Kuna jambo ambalo sijalielewa kuhusu uendeshaji wa treni ya mwendokasi (SGR) kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kwa kawaida, safari hii hutumia treni yenye behewa 14 (ordinary). Hata hivyo, kumekuwa na nyakati ambapo treni ya mchongoko yenye behewa 16 imekuwa ikitumika kwenye route hii. Sina...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC: Kulitokea hujuma katika Treni ya Mchongoko, baadhi ya waliohusika wamekamatwa

    TAARIFA KWA UMMA UZUSHI KUHUSU TRENI MCHONGOKO Dar es Salaam, Tarehe 06 Novemba 2024. Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kupuuza taarifa potofu zinazosambazwa na watu mbalimbali kuhusu kusimama kwa Treni za EMU - Electric Multiple Unit, (Mchongoko) na changamoto za umeme. Ukweli...
Back
Top Bottom