Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel.
Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran...
Baada ya Rais donald trump wa marekani kupost kwenye mtandao wake wa X kuwa bidhaa yeyote inayotoka canada,Mexico na china zitaanza kuliko ushuru wa 25% ya bidhaa izo kabla ya kuingia usa kitu ambacho kwa mawazo ya trump anaamini kitakuza uchumi wa Marekani
Na pia kitafanya company nyingi za...
Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu.
Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
Mzuka Wanajamvi
Nikusaidiana katika mbinu mbali mbali za kuutafuta utajiri ili tuendeshe maisha yetu kiurahisi na kuleta maendeleo yetu binafsi, kwa waliotuzunguka na taifa kwa jumla.
Kumbukeni money is power. Money is the engine of life and money stops nonsense and bring respect.
Elon Musk...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameondolewa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, wakati akielekea kuapishwa kama rais wa 47 wa Marekani Januari 20, 2025.
Kulingana na kituo cha VOA, Jaji wa Mahakama ya Washington, Tanya Chutkan Jumatatu aliondoa mashtaka ya kuingilia matokeo ya uchaguzi wa...
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Incoming Senate
majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis
Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
Kuanzia wiki hii, Marekani kumekuwa na shamrashamra za Thanks Giving ambayo inashehekewa kila Alhamis ya mwisho ya mwezi wa 11. Hata hivyo burudani huwa zinaanza kitambo.
Mimi kwa mwaka huu nashukuru kuwa hai, kuwa Marekani na saa hizi nimeona nijipige unywaji.
Nimejinunulia mavitu mazito ili...
Siku ya Leo ICC imetoaa kibali cha kumkamatwa waziri mkuu wa Israel Netanyahu, kiongozi mwengine maarufu aliewekewa kibali cha kukamatwa ni Rais wa Urusi, Putin.
ICC ina haki ya kuwakamata washirika wakuu wa Netanyahu ambao ni marais wa Marekani Biden na Trump kwasababu wanatoa ushirikiano...
Kuna wakati ziliibuka tuhuma kwamba Trump ni “compromised” na Russia. Kwamba wana video zako kwenye mahoteli yao huko ambako alikuwa akipenda kwenda, kuwekeza na pia kushiriki masuala ya mashindano ya walimbwende wa Miss Universe.
Hiyo ni habari nyingine, lakini hapa chini ni habari ambayo...
Amechaguliwa na Mungu': Wakristo wanaomwona Trump kama mwokozi wao
Akiwa amesimama kwenye jukwaa katika kituo cha mikutano cha Florida usiku wa uchaguzi, safu ya bendera za Marekani nyuma yake na umati wa watu wenye furaha wakitazama, Donald Trump alisema: "Watu wengi wameniambia kwamba Mungu...
Salaam, Shalom!!
HAKIKA Donald Trump ni mtumishi wa Mungu aliye juu,
Hivi Leo ametangaza vita na Taasisi zote zinazojuhusisha na kubadili JINSIA Kwa wamarekani akidai hii ni kinyume na mapenzi ya Mungu.
Amedai kuwa, ilifika time mzazi aliweza kubadili JINSIA ya mtoto wake wa kumzaa bila hata...
Harakati za mtu mweusi zinaendelea
Lazima tukubali bepari Trump ameshinda uchaguzi na wazungu wamepiga kura za hasira kwa mzungu wao Biden kukatazwa na kina Obama asigombee
Wazungu walikasirika Sana hata wasiokuwa na mpango wa kupiga kura wakajitokeza
Sasa tunaoishi hapa bila makaratasi...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump, ameanza mazungumzo ya siri na Iran ili kufikia makubaliano. Mazungumzo haya yalifanyika kwenye eneo lililochaguliwa na Balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa.
Trump aliwakilishwa na Elon Musk kwenye mazungumzo hayo na Iran iliwakilishwa na Balozi wa Iran...
Hatimaye siri zaanikwa hadharani
Kituo cha kijeshi cha Parchin kilikuwa na vifaa vya kubuni milipuko kwa ajili ya matumizi katika bomu la nyuklia. Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) ametembelea maeneo ya nyuklia ya Iran, huku Iran ikiripotiwa kuahidi kwamba haitajaribu...
Huyu mke wa Trump mbona simwoni. Sana kwenye media siku hizi.
Kipindi Trump yupo Rais walikuwa wanapendeza mno wakiwa kwenye lile dege wakitembelea nchi kadhaa.
Lkn Simeon tena yule mama mzuri sijui kamkorofsha nn mzee bepari.
Tumwombe Trump asimsahau kwenye teuzi.
Mtu katumika maisha yake ya ujana kwa taifa, wengine wamepigana hadi vita ndani na nje ya nchi kwa uaminifu mkubwa lakini ndani ya miaka 20 hakumbukwi na hapo kazidi kuwa kikongwe lakini hakuna kiongozi au wabunge (ukiacha Esta Bulaya, Mungu ampe maisha marefu) anaye jali.
Ni tokea Kikwete...
Mchungaji wa Kanisa la Baptist aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Arkansas kwa miaka 11. Rafiki wa Netanyahu na mtu aliyewahi kusema hakuna kitu cha Mpalestina. Mike Huckabee ameteuliwa na Trump kuwa Balozi wa Marekani nchini Israel.Trump amesema Mike anaipenda Israel na watu wa Israel
Huyu Mzee ni...
Rais mteule wa US Donald Trump amemteua Elon Musk kuongoza Idara mpya ya Ufanisi wa Serikali (Doge) kwaajili ya utawala wake ujao.
Alitangaza kwamba Vivek Ramaswamy, mwekezaji wa kibayoteki, atafanya kazi na mwanzilishi wa Tesla kwenye mradi wa "kuondoa" urasimu Serikalini
US President-elect...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.