ttcl

  1. Mkakati ninaowapa TTCL ili iwe kampuni pendwa na inayojulikana bila matangazo mengi ni huu........

    Ili kulishinda soko bila kujitangaza sana ni kuandaa mabango kila mtaa,masoko,vyuoni na kadhalika na kuweka picha za watu wanaojulikana ktk mitaa hiyo,masoko hayo,vyuo hivyo wakiwa na simu za TTCL, watu hao si lazima wawe wanaoheshimika Bali maarufu,wale wenye utani na kupendwa na...
  2. Ujumbe kutoka TTCL

    Dahh eti "Tumenogesha zaidi, Mpendwa Mteja furahia maboresho ya vifurushi vyetu vya Data, sms na dakika kwa kupiga *148*30# kujiunga." BORA mninyonge tuh
  3. TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  4. TTCL hamuendi mbinguni

    Mungu anawaona jamaa kwa matendo yenu ya kutusulubu wateja wenu watiifu. Kutumia mtandao wenu ni adhabu tosha kama ilivyo adhabu ya viboko. Hapa mpaka mkono unauma kwa ajili ya washa zima data, maana kwa kufanya hivi ndio angalau mtandao unafanya kazi kidogo. Kwa adhabu mnazotupa natamani siku...
  5. Wangapi mlipitia huku? Tulipokuwa watoto tuliharibu sana miundo mbinu ya TTCL

    Nakumbuka wakati nakua tulikuwa tunatengeneza magari ya waya za tairi na waya zile zenye rangi rangi za TTCl. Kipindi hicho tulikuwa tunazunguka mitaa ya wazito maarufu kama uzunguni ambako ndio kulikuwa na watumiaji wengi wa simu za mezani kipindi hicho, basi tunatafuta zile njia zilizopita...
  6. Tetesi: Uhamiaji Dar haitoi passport kisa hakuna mtandao wa TTCL. Ukitoa kitu kidogo unapatiwa kwa siri sana

    Tangu juma lililopita nimekuwa nikifuatilia passport yangu idara ya uhamiaji Dar es Salaam, iliyopo ndini ya ofisi za Mambo ya Ndani ya Nchi. Napewa jibu rahisi sana na afisa aliyekaa nje ya mlango wa kuingilia ofisi hizo, "Hakuna network ya TTCL hivyo hatuwezi kuona passport yako" Nikajiuliza...
  7. Unlocking Modem/Router Tigo + TTCL

    Waungwana, nahitaji msaada wa ku-unlock modem/router mbili ambazo nimenunua toka kwenye mitandao ya simu Tigo na TTCL hivi karibuni. ya TTCL ni: 4G USB Wingle Model: W02 ya Tigo ni: Mobile WiFi E5573Cs - 322 Nime-attach picha zake. Kama hizi haziwezi kuwa unlocked kwa sasa tafadhali...
  8. Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    Shalom, Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo. Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio mbunifu kabisa. Yaani 52% wa watumiaji wa TTCL hawajui menyu ya kuangalia salio ipoje. Kampuni haina...
  9. Mitandao ya Simu fanyeni kama TTCL zamani-yellow pages

    Amani iwe Kwenu Baada ya Usajili wa Line za Simu Kwa Alama za Vidole na Kitambulisho Cha Taifa,Nipende kushauri Mitandao Ya Simu, hasa Airtel ambayo Naitumia Sana, iweke namna ya Mtumiaji kujua namba ya Rafiki yake au Mtumiaji mwingine anayetaka kuwasiliana naye. Zamani TTCL walikuwa na...
  10. Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

    Sio siri ngoja niende kwenya mada moja kwa moja. Huu mtandao una matatizo mengi sana kama yafuatayo: 1. Huduma ya T PESA Aisee huu mtandao kama utatuma hela siku ya Ijumaa usiku ghafla litokee tatizo wallah utakuja kuhudumiwa siku ya Jumatatu. Hili tatuzo limenipata juzi hapa Ijumaa tarehe 7...
  11. TTCL hoi kwenye soko la mawasiliano nchini

    Hapa chini ni takwimu zilizotolewa na TCRA kuhusiana na mgawanyo wa soko miongoni mwa makampuni mbalimbali ya mawasiliano hapa nchini. Wasiwasi ambao Watanzania wengi tunapaswa kuwa nao kutokana na takwimu hizi ni uwezekano kwa serikali hii kuzi "Fastjet"-isha Vodacom, Tigo, Airtel, nk ili TTCL...
  12. Sim card ya TTCL kutounganishwa na internet

    Wakuu niliambiwa TTCL Wana bundle mrua la data, nikaona isiwe tabu nikatafuta laini ya TTCL , cha ajabu Kwanza sjui hawana menu Wana application ya kujiunga na vifurushi na penyewe lazma uwe online Application haina sehemu ya huduma Kwa wateja , ina mana kama huna kifurush cha data applctn...
  13. Tanzania kupitia shirika la TTCL yaingia mkataba wa kupeleka intaneti Burundi

    Dar es Salaam. Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesaini mkataba na kampuni ya mawasiliano ya mkongo wa Taifa ya Burundi (BBS) kwa ajili ya kupeleka huduma ya intaneti nchini humo. Mkataba huo wa Sh13.8 bilioni utatekelezwa katika nchi ya Burundi kwa kipindi cha miaka 10. Makubaliano...
  14. TTCL kupata fursa ya kupeleka internet nchini Burundi, wewe kama mtumiaji wa internet unaonaje huduma hapa nchini?

    Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) na Kampuni ya Mkongo wa Taifa ya Burundi (BBS) wamesaini mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya TZS Bil. 13.8. Burundi sasa itaanza kunufaika kwa mawasiliano ya uhakika ya simu kwa kushirikiana na Tanzania.
  15. Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

    habari wadau.. Naomba kujua mshahara (basic salary) kwa technician wa electronics and telecommunications engineering katika hayo maeneo: TBS, TBC, TTCL, TPA na sehem nyingine ambazo ana apply. NB: NI technician mwenye diploma, registered as technician II by ERB and soon to become technician I
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…