tuache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Janabi na Wanaharakati wa Afya tuache upotoshaji. Nchi ina tatizo kubwa la Utapiamlo na sio uzito wala unene

    Leo ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kwa upotoshaji mkubwa unaofanywa na huyu daktari pamoja na madaktari wengine uchwara wanaolazimisha ionekane kuwa nchi ipo kwenye tatizo kubwa la unene uliopitiliza wakati ni kinyume chake. Tumekuwa tukiwasikia msile wanga mara...
  2. Tuache majivuno, dunia ina maajabu yake

    Kuna nchi niliishi hapa Africa kwa muda wa miezi kadha. Kuna vitu nilinifunza Sana kwenye ile nchi. Kwa muda nilioishi pale, sijasikia watu wakitukana. Ile nchi Ina wasichana wazuri, cha ajabu hawajivuni kutokana na uzuri wao. Hawatembei uchi, wanavaa kwa kujisitiri. Niliona wasichana...
  3. Ila jamani tuache masihara Dar pazuri points zinaibeba

    A:Waponda dar 1. joto (umaskini & njaa) 2.kero ya usafiri (jam) 3.uchafu (miundombinu) 4.maadili mabovu(usasa) B:wapenda dar 1.michoro nje nje (madeal) 2.starehe,anasa na vibe(viwanja) 3.Totoz (everywhere) 4.maujanja yote (sekta zote)
  4. K

    Pre GE2025 Tuache drama maandamano ni mambo ya kawaida kisheria

    Serikali inajaribu kukuza mambo ambayo yanatakiwa kuwa utamaduni wa kawaida. Maandamano ni sehemu ya demokrasia na maandamano sio fujo ni haki ya kujieleze. Badala ya kujaza Polisi wa wanajeshi kama vile kuna vita kunatakiwa kuwa na pikipiki za Polisi kama maandanamo ya sabasaba au Mei Mosi...
  5. Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

    Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu! Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida! Mimi Binafsi siwezi...
  6. Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu! Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa! Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi...
  7. Tupeleke watoto shule za kiingereza, Tuache kupotoshana kwa kauli za kimasikini kusifia kayumba na kusingizia shule za kiingereza zinaharibu watoto.

    Muhimu: Kiingereza ni lugha sio kipimo cha akili au mafanikio, Faida ya kumpeleka mapema mtoto shule ya kiingereza ni sawa na kukijua kiswahili mapema kwenye kijiji wanachoongea kisukuma Nikiwa shuhuda mwenyewe, binafsi nimesoma shule ya english medium nami nimekuwa mkubwa najinyima kuwapeleka...
  8. Tujifunze kuongea mazuri ya Watu tuache unafiki, chuki na roho mbaya

    Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana. Wewe kama unamchukia MTU/jamii ya watu fulani wachukie tu wewe inatosha kwanini utugawie chuki zako tuwachukie watu bila...
  9. Watanzania na serikali tuache unafiki

    Tunaona reaction ya watu kuhusu mauaji ya yule ndugu anayesemwa ameuawa na Hamas. Kile sio kitendo cha kibinadamu na cha kukemewa sana. Japo sasa kemeo linaweza kuwa halina impacts kwa sababu Hamas na Israel hawasikii chochote. Lakini kama kinachouma ni mauaji ya mwenzetu? Tulichukua hatua...
  10. Tuache uchochezi. Stendi ya Magufuli haijabadilishwa jina lake mpaka sasa

    Nimeanza kuamini kuwa inawezekana serikali nayo ipo nyuma ya hizi tetesi za hovyo hovyo zinazosumbua nchi. Kukaa kwake kimya kuhusu jambo linalomhusu Makamu wa Rais liliibua sintofahamu kubwa hadi alipojitokeza hadharani Kuanzia juzi tarehe 17 kumezuka taharuki mitandaoni ambapo wanaoeneza...
  11. Tuache kujifariji 'kipuuzi' kuwa hata sisi tuliwafunga 5 - 0 mwaka 2012, ukweli ni kwamba kipigo chao kimetuuma mno

    Halafu msisahau Sisi tulipowafunga wao walikuwa na Kikosi dhaifu na Mgogoro mkubwa Klabuni kwao wakimtaka aliyekuwa Kiongozi wao Lyoed Nchunga ajiuzuru. Na nakumbuka Usiku wa kuelekea Mechi hiyo Mchezaji na Rafiki yangu mkubwa tu Jerryson Tegete alinipigia Simu na kuniambia kuwa Mechi yao ya...
  12. Je, mimi kama mlipa Kodi naweza kumuagiza kiongozi kufanya jambo lenye manufaa kwa wananchi?

    Naomba niulize, mimi kama mlipa Kodi siwezi kumuagiza Kiongozi yoyote afanye jambo ambalo ni faida kwa wananchi? Kama atafanya au kutofanya hilo ni suala jingine. Sasa kama jamii ni vema kutumia rasilimali muda kujiuliza kwanini fulani amemuagiza Mtumishi wa Umma afanye hiki au kile au...
  13. Tuoe au tuache?

    Shemeji mtarajiwa anachangamoto ya kuongea uongo. Yani story moja ya uongo akibanwa anabadilisha nyingine ambayo nayo ni ya uongo, akibanwa anabalisha tena mpaka akiona yamemfika shingoni ndiyo anakubali. Nampa moyo dogo kuwa atabadilika nakataa nisijeonekana mnafiki kwenye penzi la watu mana...
  14. Tuache ubaguzi wa kidini, kikabila na hata Rangi

    Je wapalestina hawana mtetezi mbona Marekani anashabikia watu kupigwa mabomu kwa kupeleka manowari za kijeshi huko Mashariti ya Kati! This is a UN weakness it's a biased Body controlled by super power countries. The same bloodline that killed jesus is the same who's killings palestinians . I'm...
  15. Tanzania ni giant how? Ethiopia wanaikimbia nchi yao. Tuache utani ..tafiti za kibeberu

    Yaan hii imenishangaza sana. Angalia hapa
  16. Tanzania ni giant how? Ethiopia wanaikimbia nchi yao. Tuache utani tafiti za kibeberu

    Yaan hii imenishangaza sana. Angalia hapa
  17. Tuache unafiki, kuwa na mtoto mwenye ulemavu au magonjwa haya ni baraka?

    Na wengi wao huishia kufungiwa ndani, Mtoto mwenye matatizo ya akili, waweza kuta mtoto umezaa ana ulemavu kwenye akili yani hata yeye ni kama vile hajitambui, Kipofu - Hawezi kuona, kujifunza pia inakuwa ngumu sana, kwa mazingira yetu hata kutembea nje kwa fimbo si salama. Bubu - Hawezi...
  18. S

    Wanaume tuache malalamiko, tuwe watu wa vitendo na maamuzi

    Nimekuwa nikiona malalamiko mengi kuhusu wanawake humu, kila post ni kuwasema wanawake. Sio kwamba nakubaliana na wanachokifanya ila asilimia kubwa ya matatizo yote yanayotupata sisi wanaume tunajisababishia wenyewe. Kila failed long term relationship ni kosa la mwanaume na sio la mwanamke...
  19. Hivi kwanini tunawaita wanasiasa waroho na wasaliti waheshimiwa/Honorable/Excellence tunajidharirisha tuache.

    Hellow, Ni vema tuache kujishusha kwa kuwaita wanasiasa wasio na faida hayo majina mazuri yenye kuwatukuza wakati matendo na tabia zao wamejaa ushetani. watu wanauza mali za nchi, wanafuja mali, wala rushwa, wachoyo, wabinafsi, waongo, mafisadi na hawana huruma halafu wanaitwa waheshimiwa ni...
  20. B

    Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia

    Penye ukweli pasi na kujali kambi ni heri kuusema. Vinginevyo tutaendelea kutwanga maji kwenye kinu milele. Hongereni CCM Kwa kushinda chaguzi zenu na kama mabwege yakiendelea kulaza damu kazeni uzi hapo hapo. Kwani malengo ya chama cha siasa nini? Si walisema "the end justifies the means?"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…