Wananchi wa Tanzania tuache kuihusisha Serikali na mambo ya kipumbavu kama ushoga na mengineyo. Tukumbuke kuwa Serikali inajadili mambo ambayo yana maslai makubwa katika taifa letu ikiwemo afya, elimu, usalama na mengineyo mengi. Hakuna siku Serikali itasimama hadharani kuzungumzia mambo ya...
Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala.
Mtu mwenye ajira...
Ibada ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nichukue fursa hii kutoa Rai na kuomba mabaharia wote na kauli mbiu zetu tugutuke kuelekea kwenye crisis ya upatikanaji wa mbususu.
Tuchukue sample zetu kadhaaa walau nne na kuweka fungu la pesa kwa ajili ya kuwasitiri na kuwatunza kama...
Tupendane wadau wa humu tuache majungu.
Maisha haya ni mafupi tupeane faraja na kushauriana mambo yakujenga sio kubomoa .
Unaweza kuwatag watu Fulani ila ukiwa nashida wao wanakuacha Matani wachache ulio watag ndio wanakusaidia hii sio fresh tusiishi kiunafiki tupendane ,tusaidiane ...
MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini.
Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta kwenye tanuri la moto, hii ni nature ndivyo tulivyoumbwa.
Tena hali itakuwa mbaya sana mtoto uliemleta...
Hello.
Watoto wa kike punguzeni tamaa ya hela. Hela tuliyopanga kununua kiwanja kweli unataka kununua iPhone macho matatum?
Tunajua hela hakuna ila hadi vocha ya buku ya kuomba jamani? Dhiki tunajua ipo jamani sio kitu cha kukiendekeza kabisa.
Now days imekuwa ngumu kumtofautisha ombaomba na...
Hello,
Siwatishi na wala siwabembelezi nawajibika kusema kuokoa taifa na jamii kwa ujumla.
Ongezeko la watu wenye rangi za midomo kama ugonjwa wa ukoma wa midomo unapaa kwa kasi.
Kuna wimbi kubwa sana la watu wadada, wakaka, mabinti, vijana, wenye fungus za koromeo, fungus za midomo, homa za...
Wasalaam wana JF
Naomba nikiri katika pita pita zangu za kielimu nimegundua mambo yafuatayo:
1. Elimu inapaswa ifundishe watu kutatua matatizo yao na siyo yenyewe kugeuka kuwa tatizo.
2. Siyo kila tatizo la kidunia linatatuliwa na mfumo rasmi wa kielimu ambao unapima uwezo wa kukariri na si...
GENTAMYCINE najuta ni kwanini wakati nacheza Mpira kwa Ngazi za Shule O level na A level achilia mbali Ligi Daraja la Tatu Mkoa pamoja na Ndondo hasa nafasi yangu ya Beki wa Namba Mbili, Beki wa Kati Namba Nne na Kiungo Mkabaji Namba Sita sikuwa najjrekodi ili iwe Somo kwa Wachezaji lonyo lonyo...
Leo niko hovyo sana akili haijatulia kabisa, nimekutana na pisa moja chuo fulani, sura, ipo, shepu ipo, kagawika vizuri, trackoo very standard hana mtrakoo ila trackoo ipo.
Katikati ya tracko mstari uko mzuri umegawika, nundu ipo, imevaa blauzi kijani na suruali nyeusi ya kitambaa mrefu 1.68...
Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni kuhusu bara hilo.
Amesema "Tukiacha kuwa ombaomba na kutumia pesa zetu, Afrika haitakuwa na haja ya...
Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika
Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu?
Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao...
Nianze kwa kunukuu maneno ya Nabii na Mtume Josefat Mwingira.
" He is a victor' you can not conquer a Victor"
Tundu ni Mshindi, ona anavyopendwa na kushangiliwa na watu wengi akiwa hana hata chombo chochote cha habari lakini wananchi wanajua alipo na mikutano yake.
You can not make him fell...
Inasikitisha sana kuona wasomi wengi wamejikita kwenye ku-identify watu waliosaidia/waliookoa abiria 24 waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyofondoka Ziwa Victoria siku kadhaa zilizopita.
Binafsi naamini kwamba hakuna aliyeokoa abiria hao Kwa ajili ya spotlight, ni tendo la kibinadamu tu...
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais.
Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba.
Tuna kitu cha kujifunza kwa Rostam Aziz. Binafsi...
Mara Kadhaa wadau humu wamekuwa wakilalamikia wizi was bando lakini Hilo halikuwahi kuniumiza ila imefika wakati nimeoma kutokujali huku kunafanya watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza watuone wajinga.
Kila baada ya siku moja au 2 huwa naweka bando la 1.6 la internet kwa Tshs elfu 3; Juzi...
Hii ndiyo dunia niliyoambiwa kuwa uyaone!
Wakati wengine wakikesha kwenye ibada na kwenye vilinge vya waganga kutafuta ndoa, wengine ndoa zimewashinda wanatamani kuachika.
Lakini wanawake tuache ubinafsi!
Wakati unafikilia kuachana na mumeo unajifikilia mwenyewe tu, "Nikitoka hapa nikapange...
Hizi ndoa za kikristo zimefikia mahala sasa tunaweza kuziita ndoa za kisheria kwasababu watu wanaona mahakamani kuna unafuu kuliko kufata sheria za ndoa za kikristo.
Usijidanganye kizazi hiki kwamba mke mwema anashushwa na Bwana, mwanamke unaweza kumchunguza mwaka mzima mkiwa kwenye uchumba na...
Tunajenga nyumba nzuri na za viwango vya juu lakini zinaungua moto, zinabomolewa na kuharibiwa vibaya sana ila hatuachi kujenga.
Magari yanapata ajali na kuteketea kwa moto ila hatuachi kununua, kuyapanda na kusafiri nayo.
Watu wanafiwa na watoto wao, wanazaa wengine wanakuwa walevi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.