tuache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    Ukweli mchungu ambao wengi hujizima data kukwepa uhalisia: katika mahusiano yenye zaidi ya miaka mitatu jijue kwamba kuna muda umeshachapiwa,

    Una uhakika gani kwamba hajawai kupasha kiporo na ex wake, hawara anatongozwa ?? Kuna kipindi mnagombana, unajua ni namna gani anavyo deal na hio hali kutuliza hasira ama kukukomoa ?? ana deni la kikoba kuna mtu kwenye contacts zake alishamuahidi laki akimpa mzigo, anarukaje kwamfano ? kaenda...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Tuache kudanganyana hakuna gesi iliyowahi kuuzwa na kusafirishwa kwa bomba kwenda nje ya Tanzania

    Unapo zungumzia gesi ni tofauti sana na mafuta katika swala zima la uhifadhi na usafirishaji. Ili kuweza kuisafirisha gesi nje ya nchi unahitaji miundo mbinu ya kuweza kuibadilisha kuwa kimiminika. Ikiwa katika hali ya kimiminika ndipo unaweza kuipakia kwenye meli ikiwa kwenye mitungi maalumu...
  3. Chipoku

    Mchengerwa ni aina ya Waziri wa kipekee, tuache kumchafua

    Robert Mutabingwa - Kawe Tar 8 Jan ,2022. Rais Samia alipombadilisha wizara Mchengerwa kutoka Utumishi kuja Michezo (Wizara anayo hudumu kwa sasa); zaidi ya 85% ya watumishi wa umma ni wapenda maendeleo na wazalendo. Tulilia na kulalamika juu ya uamuzi huu na kujaribu kupaza sauti...
  4. C

    SoC02 Mjadala wa wachezaji 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara; bado hatui tulipojikwaa?

    Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
  5. sky soldier

    Walezi acheni kupeleka watoto bweni kama shule za kutwa zipo karibu. Bweni inaweza kuwa jehanamu kwa mtoto mdogo na kijana anayepitia balehe

    Leo mtoto wangu wa darasa la nne kaniletea barua kutoka shuleni kwao kwamba eti yafaa zaidi awe anabaki huko huko shuleni boarding asiwe anarudi nyumbani. Nikiwa kama mzazi wake hii barua ilinipa hasira sana, hhizi shule za sikuhizi wametanguliza sana pesa kuliko watoto wetu, Kuna kipindi...
  6. Lycaon pictus

    Siku ya kwanza kusoma hii paragraph ikifananisha utozaji kodi na ujambazi nilicheka sana. Leo naona ukweli

    The government does not, indeed, waylay a man in a lonely place, spring upon him from the roadside, and holding a pistol to his head, proceed to rifle his pockets. But the robbery is none the less a robbery on that account; and it is far more dastardly and shameful. The highwayman takes solely...
  7. Lycaon pictus

    Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu?

    Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu. Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala wakiamka. Inaweza unda timu nzuri sana ya taifa. Chemistry itakuwa kubwa sana. Mpaka sasa kwa timu yetu...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Tuache kufarijiana; Umasikini ni Laana, tuupige Vita

    TUACHE KUFARIJIANA; UMASIKINI NI LAANA! Anaandika, Robert Heriel Angalizo; Kama hutaki ukweli pita kushoto sio lazima usome, Kama hutaki andiko refu pita kushoto. Kama unapenda maneno matamu matamu! Pita kushoto, leo sina hayo maneno ya uongo uongo! Ukweli usemwe! Ukweli ndio utakaotuweka...
  9. mirindimo

    IGP Wambura ameteuliwa ili Viongozi waishi vizuri?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania. “Nitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa...
  10. ward41

    Libya bado ni nchi tajiri, tuache propaganda ( hizo hapo ni latest statistics)

  11. Marumeso

    Wanawake tuache kushika simu za waume zetu

    Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia. Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana! Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
  12. K

    Watanzania tuache sifa za kuomba upendeleo

    Imekuwa kawaida kila Mhe. Waziri, Mhe. Mbunge, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa wilaya na hata Mkurugugenzi na mtu wa kawaida kusifu hata asijue anasifia nini. Kuna mapungufu sana katika sekta zinazohudumia watu lakini haya hayasemwi isipokuwa sifa. Mfano hai ni sekta ya afya. Hakuna matibabu ya bure...
  13. B

    Tuache tabia ya kusimamisha abiria mabasi ya mikoani

    JF . Imeniwia vigumu kukaa kimya lakini Nina hakika nitakuwa nimetoa mchango wangu kwa kulisaidia Taifa Trafik wapo mabarabarani lakini mabasi yanapita tu na abiria wamesimama abiria anasimama mpaka masaa manne ni ajabu wenye mabasi wakifika karibu na police block wanaambiwa wakae chini kwenye...
  14. May Day

    Kwanza tuache kusema "Wamasai wa Ngorongoro"

    Nimekuwa napata ukakasi sana kuhusu matumizi ya haya maneno kwani ni dhahiri kuwa Matatizo pia yaweza kuwa yanaanzia hapa. Kwanza sitaki kuamini ya kwamba hilo eneo ni la/au ni kwa ajili ya Jamii ya Kimasai pekee, na pia siamini kama waishio huko ni hao Wamasai pekee. Pia kwa kutumia na...
  15. sky soldier

    Mbwa asili wa Tanzania hawaumwi kirahisi, rahisi kuwanunua na kuwahudumia, wanaishi muda mrefu. Tuache ushamba wa kupenda mbwa wa nchi za nje?

    Wana kinga asili nzuri dhidi ya magonjwa Ni nadra sana kukuta hawa mbwa wetu wamepelekwa hospitalini kutolewa minyoo (de -worming), hata wengi tunaowafuga hawajawahi kuchomwa sindano yoyote tangu wazaliwa lakini wanadunda. Kuwalisha kwa gharama nafuu Hata ukiwachanganya ugali na dagaa kwa...
  16. Elias K

    Ushauri: Tuache kukosoa stori kwa kusema "chai"

    Kama unaona stori ni ya uongo na hujatozwa hela kwanini umkatishe msimuliaji tamaa?! Sisi wengine tunanufaika na simulizi za humu kwani zinatupunguzia stress. Sasa unakuta stori ni nzuri sana na ungependa kusoma muendelezo wake, wanaibuka watu wa kumkatisha tamaa msimuliaji kwa kumuambia...
  17. Expensive life

    Wanaume tuache umarioo unakubalije kuishi kwa mwanamke?

    Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu...
  18. VentureCapitalist

    Ningejua nisingezini kabla ya Ndoa!

    Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!
  19. sky soldier

    Hivi Mwanaume ambaye hana muda na usafi / utanashati ana haki ya kutongoza Wanawake?

    Sisi wanaume kubanwa na uchumi ni swala la kawaida sana lakini bado haijawahi kutuondolea asili yetu kupenda wanawake. Ila sasa unakuta mtu uchumi umembana lakini hajiongezi japo hata kidogo kwenye hygiene, huyu mtu yupo sawa kweli ? Mtu kavaa jezi siku 2 mfululizo Kuoga kwake ni shida na maji...
  20. Lanlady

    Great thinkers wa JF, tuache kujadili viongozi/uongozi badala yake tujadili mstakabali wa taifa letu!

    Huu ni ushauri wangu kwa wana JF wote ambao wamekuwa wakijadili zaidi watu (viongozi wa kisiasa) zaidi kuliko mambo yanayohusu taifa. Ukweli ni kwamba, kwa sasa taifa letu limegawanyika kiitikadi/ufuasi pengine kuliko wakati mwingine wowote. Hii inatokana na kuwepo makundi ya wanaojadili...
Back
Top Bottom