Hakuna watu wanafki kama watu walioingia kwenye NDOA na hata hawa wapambe. nasema ni wanafki zaidi ya walio nje ya ndoa...
Kama una hako kamsemo kakuwaambia watu au kuelezea kesi za watu huku ukiitaja hii sentensi hebu iache mara moja unajiaibisha.
“amelala/kafumaniwa na mchepuko tena kwenye...
Habari zenu wakuu.
Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF.
Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi ambao tuna pata kidogo lakin tunatumia kingi, nikimaanisha tunafanya saana anasa, hatuna tafakari...
Awamu ya Tano haikuwa awamu ya Sayansi, Sheria na Demokrasia. Ilikuwa ni awamu ya mambo yaende yatake yasitake, utake usitake. Awamu ya Tano iliamini kuwa sayansi, sheria na demokrasia ni nyenzo za kuchelewesha mambo kwa kuongeza ukiritimba.
Awamu ya Tano iliendesha nchi kama vile dereva...
Ni kawaida sana kwa hapa nchini wanyama kuteswa, kunyanyaswa, kupigwa, n.k na hii iaonekana kawaida sana, hata kesi yake faini ni laki moja ama kifungo cha mwezi.
Hawa wanyama nao ni viumbe kama sisi licha ya tofauti tulizonazo lakini nao wana hisia, nao wanasikia maumivu, hawapendi...
Kumekuchwa!
Ukitoa Mia utapokea Mia.
Ukilima mahindi bila Shaka utavuna mahindi!
Maisha ni mfano wa kioo, ukicheka yanacheka ukinuna yananuna!
Taikon siku zote atasema ukweli hata Kama unauma, ukweli ni ukweli tuu.
Hili la Profesa Jay kuchangiwa limezua minong'ono kwenye jamii, hata hivyo hii...
Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji.
Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
Kwa ubush lawyer wangu ukifuatilia matukio ya Sabaya mahakamani na matukio ya Mbowe mahakamani unaona kabisa wanasheria wa Serikali wanahama kwenye taaluma ili kumfurahisha mwanasiasa mwenye vifaru. Wakati huyo huyo mwanasiasa ndiye aliyeagiza.
Kumfanya mwanasheria wa Taifa kutampa Uhuru wa...
Kama kichwa kinavyojieleza
Ni ujinga na upumbavu kuendelea kulea wazembe, wajinga, wapumbavu, wezi nk huko makazini huku mtaani kuna malaki ya vijana kwa wazee hawana ajira.
Ni wakati wa Serikali, taasisi zake, na mashirika yote yaliopo Tanzania kulibeba hili na kutolea wazembe, wajinga na...
Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani.
Peter Kibatala na timu yake wapo tayari.
=======
Kufahamu ilipoishia...
basi
chadema
court
freeman mbowe
hii
kesi
kesi ya mbowe
kesi ya ugaidi
kinyume
kuhudhuria
kurekodi
kusikiliza
kwani
mahakama
mahakama kuu
mawakili
mbowe
mwenendo
mwenzetu
sheria
simu
tuache
utendaji
wenzake
Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe.
Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire.
Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi.
Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake kuteketezwa.
Sisi wananchi tunashangazwa na unafiki wa wazi katika matukio hasi , ambayo yaliyiwahi kutokea...
Yaani tunaharibu wenyewe Mazingira kwa Uzuzu wetu huku wengine tukikataa Kupanda Miti mingi au hata Kuitunza tu ili ije itusaidie kwa Kivuli, Upepo na hata Mvua leo tunataka Kumhangaisha Mwenyezi Mungu mwenye Majukumu Mamilioni kidogo dhidi ya Watu na Mataifa mbalimbali atusamehe na atushushie...
Mengi yanasemwa ya kwanini tumekula 3-0 dhidi ya DRC, lakini kwangu naona ni porojo tu!
Hebu twendeni taratibu, hatua kwa hatua.
Wale Wakongo waliopo Yanga na Simba, kwa viwango vyao vile vile wanavyoonesha sasa... je, kama wangekuwa Watanzania, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa...
Kundi la vijana wasio na ajira rasmi linaongezeka kwa kasi kubwa sana, kila kukicha wanakuwa wengi leo kuliko jana.
Mzee kikwete alikuja na ufumbuzi eti wa kujenga machinga complex ambayo matokeo yake haijapunguza tatizo hata tone moja.
Namuona rais wa sasa anajaribu kupitia njia ileile eti...
Katika hotuba zilizonivutia katika kipindi hiki ni hotuba ya Jaji Warioba. Naomba ninukuu Tuache polisi walinde amani tusiwatake polisi walete amani kwani hiyo si kazi ya polisi.
Kuleta amani ni kazi ya jamii.
Nimekuwa nikifuatilia mada za watu wenye changamoto katika mahusiano wakihitaji ushauri.
Cha ajabu majibu mengi hayana uhalisia utasikia",piga chini","mrudishe kwao""muolee mke wa pili"etc,hayo majibu ya wadau wengi,ila ukweli kumuacha mke unayempenda sio rahisi hivyo tusidanganyane.
Hao...
Tukubaliane na hali halisi, walimu wanaosubiri ajira mtaani ni wengi mno, na ambao wako mbioni kuhitimu na ni wengi, maelfu kwa maelfu, ukijumlisha na walio mtaani wanaweza kufika makumi ya maelfu.
Tusipochukua hatua hii, ipo siku idadi ya walimu itakuwa sawa na wanafunzi. Hivyo basi tujiulize...
Kwa kweli mimi nimeinua mikono kwa internet ya TTCL. Ni internet ya hovyo sijawahi kuona.
Kuna mtu aliwahi kuandika humu kwamba mshikaji wake anaishi Tabata, anatumia mtandao wa TTCL, akilalia ubavu wa kulia anapata mtandao ila akibadilisha akalala ubavu aa kushoto ama akalala chali hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.