Nashindwa hata kuelewa kama ni kudeka au ni kutaka kudeka... kabla ya Rais Magufuli watu walilalamika sana na kutaka Rais mkali asiyecheka cheka, na mtu ambaye aliwaambia mapema kabisa kuwa yeye akiwa Rais watu "watalimia meno". Watu walishangalia na kutabasamu wakidhani aliwatania wakati...