tuanze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Qs Cathbert

    Anzeni kuweka utaratibu wa Chai kwenye Jumuiya Tuanze kuhudhuria

    Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
  2. Eli Cohen

    Papa anasema Trump kufanya deportation ni kuwafanyia mateso wahamiaji. Basi sawa baba, tuanze na wewe, waruhusu maelfu waje kwenye haya majengo yako

    Baba mwenyewe anapoishi pamezungushiwa ukuta
  3. idoyo

    Napendekeza Tanzania iwe nchi ya kifalme. Tuanze na Malkia Samia

    Halafu Abdul aoe binti wa kisukuma kudumisha muungano.
  4. M

    Viongozi wa Simba naomba muweke mkeka wa wanachama, mashabiki na viongozi wote waliochangia hadi sasa ili tuanze kusutana wenyewe kwa wenyewe

    Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli lakini kwenye kuchangia timu wako mbaali. Timu yetu imewasilisha hoja ya kuchangia adhabu...
  5. CHASHA FARMING

    Wanasiasa wa Kenya na Kilimo wana inspirw sana ukiweka Siasa pembeni.Hawa wetu hadi wastafu ndio tuanze kuwaona shamba

    Kitu kimoja huwa najifunza kutoka kwa Viongozi wa Kenya ni kwamba asilimia 99 wana fuga na wanalima. Raila shamba lake linaitwa Opoda ni moja ya shamba kubwa sna la mifugo hapo Kenya. Kuna wakati Ruto alikuwa ana unda Balaza lake la kwanza la mwaziri sasa wakawa wanafanyiwa Vetting Bungeni kwa...
  6. Manfried

    Yericko Nyerere umeua ndege wawili kwa jiwe moja

    Hongera Sana Yericko Nyerere. Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo . Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme . Huu...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Kuna mtu amehack website yetu na kutuvuta tuanze kutoa huduma ya cyber security

    Habari wakuu, Ni jambo la kushangaza mtu anahack website yetu anaanza kufuta vitu vyetu. Sio uungwana kabisa lakini tuna mshukuru sana ametuongezea uwezo wa ziada na leo tunatangaza kwamba tutaanza kutoa huduma ya cyber security.
  8. Pascal Mayalla

    Media za Wenzetu Zinafanya Endorsment, Je Ni Wakati Muafaka Sasa Media za Tanzania Tuanze Kufanya Endorsment?. Kati FAM na TAL, JF Tumuendorse Nani?

    Wanabodi, Mada kama hii niliileta 2015 Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea? Mfano mzuri wa endorsment ni huu...
  9. chiembe

    Pre GE2025 Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, sheikh Kadogoo asema Lissu ni mropokaji: je, kama taifa, tuanze kumtathmini Lissu katika lolote asemalo?

    Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya? Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu? Kama chadema ina uozo, he si...
  10. Kitimoto

    Watanzania Tuanze Kujilinda na Watu Wasiojulikana

    Majumbani kwetu tuwe na sime, panga, rungu na mbao zilizopigiliwa misumari(kutega kwenye tairi pindi gari la wasiojulikana linapoanza kuondoka likanyage tairi litoboke). Tujitahidi kwenye makazi yetu tuanze kufunga CCTV Camera. Kwa wale ambao hatuna uwezo wa kumiliki bastola basi tutembee na...
  11. Bob Manson

    Nipo Magomeni na sioni mtu. Mko wapi tuanze safari kwenda mnazi mmoja?

    Nimefika hapa Magomeni, sioni watu wala kikundi cha watu, mkowapi ndugu zangu waandamanaji niungane nanyi?
  12. Mganguzi

    Jamii ihamasike kupeleka misaada ya kibinadamu Ngorongoro ikiwemo chakula, maji na madawa! NGOs na watu binafsi tuanze sasa, wamasai ni ndugu zetu…

    Niende kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zetu Wamasai kwa sasa hofu imetanda; hawalali usingizi tena, hawajui nini kitatokea. Katika hali hiyo, wanalala wima kwa sababu ya hali ya sintofahamu inayowakabili. Nadhani hawalali usingizi tena. Tuhamasishane kupeleka misaada ya chakula, maji, na...
  13. MURUSI

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Elimu ya Fedha kwa Raia ni Muhimu kwa Maendeleo ya Taifa. Tuanze na watoto sasa

    TUANZE NA WATOTO ELIMU YA KIFEDHA Moja ya elimu muhimu sana tulio ikwepa ni elimu ya fedha, ambayo huenda ingetusaidia sana kwenye mipango yetu ya maisha ya kila siku na hivyo kusaidia taifa hili. Watanzania wengi hatuna elimu ya kifedha nikiwemo mimi ninaye andika hii story. tusichanganye...
  14. C

    SoC04 Tuzibe ufa ndio tuanze kuskim

    Kuhusu swala la umeme apo jambo la muhimu ni kuangalia changamoto na matatizo yaliyopo ndio waanze mbinu na mifumo mipya,awawezi kuanza mfumo mpya wakiwa na vitu ambavyo sio bora.atuwezi kuwa na technology mpya kwa mifumo ya zaman
  15. N

    Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

    Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
  16. Suley2019

    Musukuma: Tuanze na V8 za Mawaziri kuweka mfumo wa gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameishauri serikali ianze kufunga mifumo ya gesi katika Gari zote za mawaziri ili kuokoa gharama kutokana na gari hizo kutumia mafuta ambayo gharama yake ni kubwa ukilinganisha na gesi. Musukuma amesema hayo leo Aprili 25, 2025 Bungeni jijini...
  17. ChoiceVariable

    Mwenezi CCM Arusha: Kama huna Kadi ya CCM umemsaliti Mungu

    Maneno mengine mtatia wenyewe ila nimefikisha ujumbe na mjumbe hauwawi 👇👇 == Alichokisema: Kujiunga ndani ya chama cha mapinduzi, haujamsaliti Mungu. Wote ambao hawana kadi za CCM wamemsaliti Mungu. Haiwezekani umezaliwa Tanzania, kwasababu nataka kuwaambia kuzaliwa mchaga huchagui, kuzaliwa...
  18. vvvv

    Aliyemleta Fredy Michael akamatwe mara moja

    Huu ni utapeli wa wazi,wachezaji wa aina ile hata wa ndani wapo na hawezi kusajiliwa na timu zingine ndogo. Wanaosajili Simba wanafaa wawe nyuma ya nondo sahizi kwa utapeli wa wazi.
  19. L

    Nahitaji mwanamke mtu mzima tuanze mahusiano

    Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha . Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa . Sifa: Awe tayari kupima na awe HIV negative Awe mkarimu Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake Awe muunimi wa kikristo...
  20. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe acha Kutulazimisha tunaokuheshimu tuanze Kukudharau kwa huu Upuuzi wako

    "Sisi Yanga SC siyo Timu ya Kulialia na Kudekadeka kama Wengine kuomba Mechi zao za Ligi zisimamishwe wakidhani hivyo Viporo vyao watavila wakati Yanga SC tumejiandaa kuhakikisha Viporo vyao vyote Vinachacha na Vitachacha. Yanga SC tutaendelea kucheza Ligi na kucheza Mechi za Kimataifa ili...
Back
Top Bottom