1. Je mwezi nao huwa una mizunguko miwili Kama Dunia yetu?
2. Kama mwez hauna rotation bas huwa tunauona sehem ya upande mmoja tu, au mim nko wrong??
3. Kama mwez haujizungush kweny mhimili wake Ni sababu gan ya Kifizikia inayosababisha Dunia iwe na rotatiion na revolusion badala ya revolusion...