tujadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masters and PhD holders, mpoo? Karibuni tujadili mada hii

    The Responsibility of Open Discourse The tagline of our Jamiiforums declares, "Where We Dare to Talk Openly." Yet, does unfettered expression justify indiscriminate speech? Intellectual freedom, when devoid of restraint and wisdom, risks devolving into chaos, undermining the integrity of...
  2. Naomba tujadili kuhusu majina ya kurithi, athari zake chanya na hasi pamoja na njia za kuishi katika hiyo life's path.

    Wakuu habari . Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako. Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia hilo jina wanaacha kulia. Je ipo siri gani hapo nyuma ? Kuhusu athari baadhi ya watu wamekuwa...
  3. Kama Na Wewe Ni Mzalendo Halisi, Hebu Tujadili Hili Kwa Pamoja Na Tuishauri Serikali

    Wanabodi, Salaam.. Nimewiwa kuja na bandiko hili usiku wa leo kutokana na changamoto nilizokutana nazo barabarani. Kila mtu anafahamu kwa sasa nchi yetu imepiga hatua kwa namna fulani katika kukaribisha uwekezaji wa nje (foreign investment) ukilinganisha na miaka kadhaa nyuma. Lakini kwa...
  4. R

    Utatu Mtakatifu: Wanatheolojia tujadili

    Nafsi tatu zinazofundishwa na madhehebu ya kikristo maana yake nini? Mantiki yake ni ipi? God is not a substance that can be divided into pieces. Yako madhehebu ya kikristo yanayofundisha kwamba nafsi tatu ni God's manifestation in various occasions. Naweka hoja mezani tujadili. Je, Mungu...
  5. Tujadili Kuhusu Utapeli Mtandaoni – Je, Tunajilindaje?

    Habari wadau, Katika ulimwengu wa kidijitali, utapeli mtandaoni umekuwa tishio kubwa kwa watu binafsi na taasisi. Kila siku, watu wanapoteza pesa na taarifa zao za siri kwa njia za ujanja zinazobuniwa na matapeli wa mtandao. Katika mjadala huu, tuzungumze kuhusu: ✅ Aina mbalimbali za utapeli...
  6. Fursa zilizopo DR Congo

    Watu wengi wanaokwenda kuwekeza DRC Congo kutoka Tanzania hurudi wakiwa na utajiri mkubwa. Je, ni biashara gani hasa wanazofanya huko zinazowaletea mafanikio haya?
  7. Tujadili: Nini kinajenga mashaka kwa Rais Samia?

    Sarakasi zilizotokea kwenye kumpitisha Samia kuwa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ni za kutia aibu kubwa sana. Lakini nimekuwa najiuliza nini hasa sababu ya CCM kumpitisha bibi harusi huyu mlango wa nyuma? Kwa nini haiwezekani fomu zikatolewa kwa wote wenye nia na kupigiwa kura? Nini sababu...
  8. Picha hii ina tafsiri gani?

    Prediction: Huo mkono wa huyo kijana naona kama una ujumbe fulani au hoja kinzani Prediction: Naona mpaka mpambe wa Rais anasubiri amri tu hapo...... Disclaimer: Picha haina lengo la kudhalilisha utu wa Rais.
  9. Tujadili Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la Nne Yaliyo Tangazwa Jana

    Matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne yaliyotangazwa jana yameonyesha hali ya ufaulu wa wanafunzi nchini, yakitoa taswira ya maendeleo na changamoto zinazokumba sekta ya elimu. Ingawa baadhi ya shule zimeonyesha mafanikio makubwa, nyingine zimebaki nyuma, zikikabiliwa na changamoto...
  10. Tujadili Demokrasia ndani ya CHADEMA. Je inashawishi ama kukatisha tamaa?

    Matukio, mwenendo na mitazamo ya wengi kwa sasa yamejikita kwenye mchakato wa kupata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA. Tunachokiona kwa sasa nimnyukano mkali ambao ulianza kama tetesi na hususan michakato mirefu ya chaguzi kuanzia ngazi za chini hadi sasa kwenye nafasi ya juu ya uongozi wa chama...
  11. T

    Mnataka tusijasili mpira, mnataka tujadili nini?

    Imekuwa ni kawaida Kwa baadhi ya watu kukosoa kila panapotokea watu wa mpira kujadili mambo ya timu zao pendwa haswa Simba na Yanga, Kwa maelezo kuwa hawana la kufanya, ebu njooni taratibu mtiririke labda wapenzi wa Simba na Yanga wanaweza kuwaelewa na kujadili suala unaloliona wewe ni muhimu...
  12. Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

    Kwanza sikiliza hii: Tundu Lissu anasema katika voice note hii; "...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...." ".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....." "......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
  13. Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

    Kwanza sikiliza hii: Tundu Lissu anasema katika voice note hii; "...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...." ".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....." "......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
  14. Pre GE2025 Hebu tujadili hili kidogo ndugu, hivi CHADEMA ni asasi ya kiraia au chamber of commerce?

    Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake Nadhani madhumuni, misingi na malengo ya kuanzishwa kwake yameimarishwa au kuboreshwa zaidi hivi sasa na huenda kinyemela... Infact...
  15. Full Time: Man united 1-0 Fulham fc

    EPL | Man united 0-0 Fulham Fc Ila bruno 😄
  16. Je, kuna uhalali na ulazima wa michango ya harusi?

    Embu tujadili na kuangalia umuhimu/ulazima wa hii michango ya harusi .Tunaishi kijamaa ndani ya mifumo ya kipepari,tuna vipato vya kawaida sana hasa kwa ndugu zangu wafanyakazi. Wafanyakazi wanakipato kidogo mno hakiendani na uhalisia wa maisha,na pale anapoishi kijamaa kwa kushiriki hizi...
  17. D

    Wadau tujadili na kujifunza, ni kweli wanawake wa Kingoni wana hulka ya umalaya hata kama ni msomi?

    Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa kuolewa yani over 31 years of age. Kwa madai ya huyu bwana (nihifadhi jina lake kwa hadhi ya umma)...
  18. W

    Wadau tujadili hapa kidogo

    Nakumbuka nikiwa nakua kila nikiosha vyombo bibi alikuwa anasisitiza nianze na vikombe na glass za maji ili visiwe na harufu ya mafuta au michuzi. Ila sasa hivi naweza anza hata na sufuria nikamaliza na glass na fresh tu. Haya Ukiwa unaosha vyombo huwa unafuata mpangilio upi hapa?
  19. DHARURA: Naitisha kikao cha wanaume usiku huu tujadili bei elekezi ya mahali kwa mchumba

    Leo naingia ofisini nimemkuta kijana wangu mmoja ana manung'uniko sana na nilitegemea awe na furaha sababu alitujulisha anaenda kuchumbia. Kummuliza shida nini akasema story ile ile inayotaka kufanana na nilichokiona humu jf Sikutegemea nilichokikuta ukweni Dogo kaenda kule wamemwambia mahali...
  20. Namna mvuto unavyo athiri maisha yetu

    Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali? Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali? Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi kali? Kuna siri gani haswa? Je, mvuto ni sura (muonekano wa nje)? Mvuto ni kitu gani? Mtu mwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…