Mnakumbuka tulisajiri kipa kutoka America kusini ligi daraja la nne, uto na viongozi wao waliongea sana hatimaye akaenguliwa.
Wenzetu wapo vizuri kwenye kutumia udhaifu wa mpinzani, ila kwetu hatupo hivyo utakuta tunajipa lawama wenyewe kuwa ni uzembe wetu, na sipingi hilo.
Nini namaanisha, ni...
Mh Spika, nasimama kwa kanuni inayoruhusu mbunge kuomba bunge lisitishe shghuli zake na kujadili jambo la dharura linaloendelea nchini.
Mh Spika, mvua zinazoendelea nchini zimesababisha madhara makubwa kwa wananchi ambapo takwimu za leo zinaonyesha watu 160 wamepoteza maisha huku nyumba kws...
Wasalaaam.. Nina imani mko poa na mnatekeleza majukumu yenu kama ilivyo ada.
Kabla ya yote, watu tunafanya mambo kulingana na uhitaji wetu, na tunafanya kwa makadirio ya kuridhika na kitu ambacho tunafanya. Kwa mfano, nikiwa nina hamu ya soda nitanunua kwa lengo la kunywa ili kukidhi ile kiu...
Habari wana JF.
Mimi ni mwanamke ila huu wimbo wa Samia Queens maneno yaliyotumiwa naona hayako sawa.
"Hii dunia bila sisi haiwezi kunoga na sio salama"
"Hatuna haja ya kujigamba sana sifa zetu zunajulikana aaah aaah"
Je, kama wanaume wangeandika wimbo na kutumia maneno haya, tungewafikiriaje?
Habari wakuu.
Leo nimeona nilete kwenu hii hoja kwa mfumo wa swali. Kama nililivyoliweka hapo kwenye heading kuhusu taswira au umbo lionekanalo kwa macho pale inavyowezekana, hawa viumbe ambao tunaaminishwa kupitia imani zetu kwamba wameumbwa kwa moto na upepo wanabeba taswira gani?
Upepo sote...
Nimesoma malalamiko ya wananchi wengi kulalamikia utendaji usiokidhi viwango wa Madawati ya Jinsia yaliyopo vituo vya polisi nchini.
USULI
Ujio wa Dawati la Jinsia ulishereheshwa na kukithiri kwa vitendo ukatili kwenye jamii, na ikaonekana sehemu kubwa ya ukatili umejaa kwenye mahusiano ambapo...
MJADALA HURU WA KITAIFA KUHUSU MRADI WA GESI ASILIA MIMINIKA (LNG) MWAKA 2024
SEKTA NDOGO YA MAFUTA NA GESI
Mabibi na mabwana, wanasiasa, wafanya biashara, wajasiliamali, wanazuoni, wataalam wa fedha, wataalam wa uchumi, wahasibu, walimu, madaktari, wataalam wa mafuta na gesi, wataalam wengine...
Binafsi nakubaliana 100% kwamba bunge ni muhimu kwenye kuisimamia serikali kwa mujibu wa katiba ila siridhishwi na jinsi lilivyo kwa sasa. Mimi maoni yangu kuhusu bunge ni kama ifuatavyo;
1. Viti maalum vibaki vile 10 vya Rais tu. Hivi vingine vifutwe.
2. Majimbo yapunguzwe. Majimbo 264 ni...
WATANZANIA TUWE CHAWA WA KUIBUA VIPAJI VYA SOKA
Soka letu,hususan ligi kuu,ni kama biashara ya machinga.
Namaanisha kuchuuza bidhaa usizozalisha.
Ligi kuu ambayo inatawaliwa na Simba na Yanga na kidogo Azam, wachezaji wa vilabu hivyo wanaoongoza ni raia wa kigeni.
Wachezaji kutoka Tanzania...
Moja ya jimbo linalotabiriwa kwenda upinzani ni jimbo la Kawe, hata hivyo tunayo miaka miwili mbele. Naamini yapo maoni yanayoweza kumwonyesha Mbunge husika alipokosea then aboreshe.
Mchungaji Gwajima amepeleka bonanza na mchezo wa rede Kawe, amejenga madaraja na kufanya jogging zakutosha akiwa...
Habr za muda, wataalam mlioko hap naomb ufafanuzi.
Kuna rafki yangu kila akienda kushughulikiwa swala la nyota, kutoa vifungo nuksi mikosi, kutoa jini mahaba ila hafanikishi, au akifunguka nkidogo tu baasi. Lakin akielekeza marafiki zake sehemu yeyote amekwenda wao wanafanikisha na wanapata...
Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais....
Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au ndiyo tunaingizwa mkenge kama wa DP World?
Vibanda vya biashara kwa ajili ya kukodisha ni njia nzuri ya kutengeneza kipato endelevu kwa hapa Mbeya.
Maeneo ambayo hulipa zaidi ni karibu na vyuo kama Chuo Kikuu cha Mzumbe, Chuo Kikuu cha CUCOM.
Maeneo ya soko la kabwe unapambana na unaweka kibanda chenye mvuto cha biashara na unaingiza...
Nini kifanyike?
Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida...
💥SOKO LETU LEO ONLINE💥
🔥🔥MADA YA LEO🔥🔥
Fursa za kuanzisha biashara mbalimbali
Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo kila Jumanne. Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi ndani ya nchi yetu kulingana na Mazingira uliopo.
Wakuu kutokana na changamoto ya...
Watanzania tumeletewa hoja mbili mezani. Moja ina maslahi mapana kwa taifa na nyingine 8nalenga kuwachekesha wakubwa.
Mkataba wa bandari unaathiri kwa kila mtanganyika.
Makonda hana athari kwa yeyote maana anachokwenda kueneza siyo cha taifa bali maisha ya waliomteua.
Tuamue sasa kujadili...
Leo siweki Maneno Mengi.Nawaletea tu Skeli ya Kupima IQ ya Viongozi wetu.Skeli itakuwa Vipimo Vitano ambavyo ni hivi hapa Chini:
Anaelewa Nafasi na Wajibu wake na anaitumia nafasi yake vizuri kutimiza wajibu
Anaelewa Nafasi na Wajibu wake lakini Hatumii nafasi yake kutimiza wajibu wake
Haelewi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.