Nimeona nchi nyingi zimeanza kuwapa uraia watu tunaosema special talent wenye elimu za juu sijui ma Dr bingwa na wengine muhimu wafikie vigezo walivyojiwekea.
Jambo hili nchi za Ulaya au USA ilikuwa na mpaka leo unapata uraia kwa njia nyingi na haibagui mtu.
Dhumuni la kuleta hii issue hapa...
Swali:
1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote?
2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa?
3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na...
JF kuna brains kweli kweli, au nasema uongo ndugu zangu? Hebu kwa akili zetu tujaribu kwa utulivu kujadili hii Kauli ya huyu jamaa inayosema "There's nothing more dangerous than a resourceful idiot" ya Msomi mwenzetu Scott Adams
ukiweza kuweka na ka mfano kakachombeza kwa mbali itapendeza. Kama...
HII NDIO ORODHA YA MAKUNDI YA WATU WANAOHITAJI KATIBA MPYA
Na, Robert Heriel
Mjadala unaoendelea katika Siasa mitandaoni ni ishu ya Katiba.
Wanaohitaji Katiba Mpya wamegawanyika katika makundi Yafuatayo;
1. Wanasiasa hasa wa vyama vya Upinzani
2. Wanasiasa upande wa Zanzibar.
3...
12 May 2021
Kampala, Uganda
Ceremonies for the 6th swearing-in of President Yoweri Museveni started early in Kololo, Kampala on Wednesday 12, May 2021
President Museveni’s full speech on his inauguration for the sixth term in office
Your Excellencies,
The people of Uganda and myself, welcome...
Habari.
Kwa wale mliokimbia Civics, blended family ni aina ya familia ambapo mwanaume ambaye ana watoto wake aliopata na mwanamke mwingine anaingia katika ndoa na mwanamke ambaye na yeye anakuja na watoto wake aliopata na mwanaume mwingine. Kisha hawa wawili wanapata watoto wao pamoja na kuunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.