Nipo kwenye bus la ABC, kimsingi mabasi ni mazuri, huduma ni nzuri mwendo ni mzuri. Ila changamoto niliyoona ni upande wa choo ambapo bus likifika kwenye matuta mambo yanakuwa siyo shwari ukizingatia matuta nayo hayafanani, usipofanya timing vizuri uka synchronise mwendo wako na mwendo wa dereva...