tujikumbushe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leo ni 9/11: Tujikumbushe mwanzo wa harakati ulioanzia na shambulio la ubalozi wa US Tanzania na Kenya

    Shambulio la Bomu Dhidi ya Balozi za Marekani (Kenya na Tanzania) Soma pia:FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998 Imepita miaka 25 tangu shambulio la bomu la ubalozi wa Marekani jijini Nairobi na Dar es Salaam kusababisha maafa na kuacha majeruhi. Waathiriwa hao bado wanasaka fidia kutoka kwa...
  2. Tujikumbushe astral travel

    Actually, astral travel is the simplest of things, so simple that it is surprising that people cannot do it without trying. But we must also remember that walking is simple. Walking is so simple that we can walk in a straight line, or follow a curved path, and we do not have to think about it...
  3. Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  4. Pre GE2025 Mchungaji Msingwa anainajisi Siasa za Demokrasia, CCM ni safi kuliko CHADEMA?

    Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana anayajuà. Msigwa anataka kutuaminisha kuwa CCM ni wazuri sana kuliko CHADEMA, hii ni kweli? Huu ni udhaifu...
  5. TUJIKUMBUSHE HISTORIA YETU YA WAZALENDO

    Pichani ni Nduna Songea Mbano Luwafu. Alipigwa picha hii muda mfupi kabla ya kunyongwa na wajerumani Machi mwaka 1906. Kifo chake kilitanguliwa na mauaji ya Mashujaa wengine 66 wa Majimaji walionyongwa Februari 27, mwaka 1906. Songea Mbano alinyongwa pekee yake siku tatu baada ya wenzake hao...
  6. Tujikumbushe kuhusu katuni ya masudi kipanya na bashe

    Masoud kipanya ni moja ya watu wenye jicho la tatu wanaotumia katuni kujenga ujumbe na kuona mbele kuhusu hii nchi. Mimi ni mpezi wa katuni za masoud kipanya na kila ukizirudia unaona zimebeba ujumbe unaofika mpaka leo. Kuna kipindi fulani masoud alitoa kumuhusu huyu bashe na kumbuka kipindi...
  7. Unamjua Wu Zunyou, Mchina aliyejaza upepo kwenye puto kwa kutumia macho?

    Bwana Zunyou alizaliwa huko nchini china mwaka 1963 na baadae alihudumu kama Mtaalamu wa Magonjwa katika kituo cha China cha Magongwa na tiba. Zunyou alihumu kama mkufunzi wa maswala ya magongwa na utafiti katika chuo kikuu cha California, Los Angeles. Mwaka 2011 Zunyou aliwaacha mashabiki...
  8. Tujikumbushe; Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani?

    Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
  9. G

    Tujikumbushe shangwe zilizotawala kufurahia jaribio la kuiteka na kuua waisrael wote (river to sea) October 7, Leo hii vilio vimewageukia wao

    OCTOBER 7..... Raia wa Israel waliotekwa wakiingizwa Gaza, wapalestina wameachiwa wawapige kama sehemu ya kusherekea Mitaa ya Gaza waplestina wakifurahia jaribio lilioanza la kuisafisha israel te Shangwe mitaa ya London, Uingereza Fataki zilipigwa huko Iran Iraq Kahawa ya bure...
  10. Tujikumbushe kidogo kauli za viongozi wa Simba

    1:Try Again "Tumedhamiria kufanya usajili wa nguvu utakao kirudisha kikosi chetu kwenye ubora wa juu msimu ujao na hilo linawezekana kutokana na malengo tuliyokuwa nayo ya kuifanya Simba kuwa klabu kubwa Afrika" Hii ilikuwa ni baada ya Young Africans Sports Club kufika fainali ya kombe la...
  11. Tujikumbushe Movie Kali Pendwa miaka hiyo ya 1980s-1990s na vibanda umiza kiingilio sh.10.

    Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
  12. Tujikumbushe historia ya Bakwata Oktoba hadi Desemba 1968 (Sehemu ya 4)

    Mkutano wa Iringa ulipitisha katiba ya jumuiya mpya ya Waislam, katiba ambayo ilikuwa sawasawa na katiba ya TANU. Hivi ndivyo BAKWATA ilivyoundwa. BAKWATA ikamchagua Saleh Masasi, Muislam tajiri na ambae alikuwa kama mwenyekiti wa mkutano ule kuwa Mwenyekiti wa Taifa na Adam Nasibu akawa...
  13. Tujikumbushe historia ya bakwata october - december 1968 sehemu ya tatu

    Hadi kufikia juma la kwanza la mwezi wa Desemba, mikoa mitatu kati ya kumi na saba ilikuwa tayari imeshajitenga kutoka EAMWS. Kile kikundi cha Adam Nasibu kikaunda kamati kwa ushirikiano na Kamati ya Maulidi ya Dar es Salaam, Adam Nasib akiwa Katibu. Kamati hii ikaitisha mkutano Ukumbi wa...
  14. Tujikumbushe historia ya bakwata october - december 1968 sehemu ya pili

    Hata hivyo, tarehe 14 Novemba, 1968, Baraza la EAMWS la Tanzania liliitisha mkutano wajumbe kutoa mikoa yote ya Tanzania kujadili ‘’mgogoro.’’ Pamoja na waliohudhuria ni wajumbe kutoka mikoa ambayo tayari ilikuwa imekwishajitenga na EAMWS. Mkutano huu ulifanyika katika shule ya Kiislam ya...
  15. Miaka 55 ya BAKWATA: Tujikumbushe Historia Yake na Yaliyotokea October - December 1968

    TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BAKWATA OCTOBER HADI DECEMBER 1968 SEHEMU YA KWANZA "... ikadhihirika kuwa serikali ilikuwa imepania kuivunja EAMWS kwa kuwatumia Waislam wachache walioteuliwa kwa kazi hiyo. Lengo likiwa ni kuanzisha taasisi mpya ambayo serikali itaweza kuiamuru. Ieleweke hapa kuwa...
  16. M

    Tujikumbushe vita vya pili vya dunia. Kumbe wazungu wanaweza kutwangana hivi?

    VITA VYA PILI VYA DUNIA. Wakati Ujerumani iliposhambulia Poland, nchi hiyo ilikuwa na mikataba ya kulindana na Uingereza na Ufaransa. Hivyo ilibidi Uingereza na Ufaransa zitangaze hali ya vita dhidi ya Ujerumani. Serikali za Australia, New Zealand, Nepal, Afrika Kusini na Kanada zilishikamana...
  17. M

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

    Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?" Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na...
  18. Tujikumbushe mambo hatari tunayopaswa kujiepusha nayo hasa ukiwa hapa nchini Tanzania

    Wakuu nimeona leo tukumbushane mambo hatari ya kukwepa hasa unapokuwa ndani ya nchi tukufu Tanzania. 1. Kujihusisha kimapenzi na mke/mume wa mtu. 2. Kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari). 3. Kumpa mimba mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari) 4. Kujihusisha na...
  19. Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

    Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013 ............................ WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo...
  20. Tujikumbushe: Mwana FA aiombea Yanga nafasi kucheza Super League, Yanga yalalamika kutoalikwa mkutano wa CAF Arusha

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…