Mwaka 2018 Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lilitoa waraka wa Pasaka ambao ulikua unakosoa, kuonya na kushauri mambo mbalimbali yaliyokua yakiliathiri taifa kwa wakati huo. Waraka huo ulikua moto kwa serikali ya Magufuli kwa sababu ulikosoa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi ya...
Wakuu leo nikiwa natafakari mambo mbalimbali ya maisha nikakumbuka maisha ya shule y msingi. Zilikuwa nyakati za furaha ila pia nikahuzunika nilipowakumbuka classmates waliokuwa vizuri sana kitaaluma ila hawakubahatika kusonga mbele na kidato cha kwanza. Zilikuwa nyakati mbaya sana kwa uhaba wa...
Dj Mars
Dj Venture
Dj Skills
Dj D White
Dj Juice
Dj Nelly
Dj Kessy
Dj Muli Bring Bring
Dj Majizo
Di Sam
Dj Cutter
Dj Jongo
Dj D7
Ongezea wengne ambao walikuwa bora kuliko hawa kina AllyB
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
Simba tumekosea sana kumuachia kiungo mkata umeme hata akiwa benchi,
Nimeumia sana maana hata bin kazumari alisemaga kuwa mnyama hapa hajapigwa kwa sawadogo why aachwe?
Sawa sawa na tumemuacha maestro Andrea piro .
Nimeumia sanaa natamani ninywe sumu
Naona kosa alilofanya Rais wa awamu ya nne ndugu Jakaya M. Kikwete kuuza Shirika letu la Reli (TRC) Kwa wahindi na kubadilishwa kuwa Tanzania Railway Limited (TRL) analifanya tena Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuuza Bandari zetu Kwa waarabu wa Dubai..
Mtindo na ushawishi uliotumika kuaminisha...
Kejeli dhidi ya mafanikio ya Simba ya zinakuwaga kubwa halafu pale upande wa pili wanapofikia mafaniko hayo au wanapopata changamoto fulani ambayo Simba waliwahi kupitia ndiyo fahamu zinawajia wanasahau yale waliyowahi kubwabwaja.
Msimu uliopita katika mashindano ya Champions League hatua ya...
Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi.
Kila siku ntakuwa naweka kipengere hadi imalizike.
ITAENDELEA!!
Kama Mada Inavyosema.
Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero.
Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo huko Mvomero na Moro kwa Ujumla na katika mashindani ya Kiwilaya na Mkoa tulikuwa tunakutana na...
Jamani maisha ni safari ndefu, hasa tuliokulia vijijini tuliishi maisha ya kipekee saaana.
1. Kuoga ilikuwa ni mtoni hasa kwa maeneo ya Tukuyu Miaka hiyo ya tisini.
2. Kuvaa nguo mpya mashati ya Julian na suruali special za Tokyo huku chini na mokas
3. Kupaka mafuta ni mpaka unaenda mjini au...
Tujikumbushe: Mwaka 2008 Wasabato Masalia walitinga Airport Dar wakitaka kwenda ng'ambo wakaeneze injili bila kuwa na documents yoyote kama visa, passport, tiketi nk 😂😂😂
Nchi hii imepitia mengi sana aisee.
TUJIKUMBUSHE.
________________
Mwandishi: Tukisema Elimu bure au ukisikia neno Elimu bure wewe unaelewaje.?
Mzazi: Naelewa kama ni kitanda ambayo umentandikia na kukaa kuongeaongea kikawaida.
Mwandishi: Elimu Bure maana yake nini.?
Mzazi: Elimu Bure maana yake, usichafue maneno ambayo...
Je, bossies nani alikutana na vurugumai ya Buju?
Yule headmaster anayevuta bangi alikuwa anaitwa nani?
~ Je, mshana na wenzie wapo?
~ Nani alipigwa mijeledi na yule Jamaa Buju??
~ Je, mnamkumbuka yule mtoto wake Jackline?
Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari...
NITAKUPA TU
SEHEMU YA 001
*********
Alihisi ilikuwa sauti ya mwanamke, sauti ambayo mwanzo alidhani haikuwa ya mwanamke kutoka na usiku ule kuwa vigumu. Lakini sauti ile bado ilikuwa ikisikika katika ngoma za masikio yake. Sauti ya mwanamke akilia na kuomba msaada, sauti ikipiga kelele za hali...
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa madai kuwa wamebaini inatumia umeme wa wizi na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi milioni 10.8.
Akiungumza, Meneja wa Tanesco Mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.