Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni;
1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka nalo ni, KADCO ikitoa ufafanuzi inaongea kwa niaba ya serikali ama kwa niaba yake?
Mwenye most...
MASWALI:
1. Hii picha ilipigwa wapi?
2. Huyo aliyetoa macho na kubaki mdomo wazi ni nani?
3. Kwa nini macho yalimtoka na kubaki mdomo wazi?
4. Hii picha ni ya tukio gani?
Wazee wa "unbeaten" karibuni kwenye map reading!
Kutokana na profile ya Club African, kuna wachambuzi wa kibongo pamoja na mashabiki wa Simba walikuwa wakitoa kauli mbali mbali za kuonesha mwisho wa Yanga umewadia kabla na baada ya game ya Dar es salaam. Weka hapa kauli unazokumbuka.
Mimi nakumbuka, Walisema safari ya Yanga kimataifa imeishia...
Nakumbuka ilikuwa 2013, bana wee sitaka nisahau maishani mwangu.
Nakumbuka nilipiga kazi kwenye biashara yangu, nikajikusanyia pesa nzuri tu sio chini ya million 2, ghetto nilipapendezesha vizuri sana.
Chumba changu kilikuwa pembezoni na mto Arusha eneo nililopewa na wazazi wangu pamezungukwa...
Enzi hizo Dodoma washua wote wanaishi uzunguni
Watoto wa kishua wanasoma stockley
Kina sie tunasoma amani, na mlimwa ambazo ndio zilikuwa shule bora mjini
Club ilikuwa ni NK pamoja na shilla disco mitaa ya iringa road
Picnic tunajichanga tunaenda pnde za mkalama kule ma miyuji kwenye ile...
Miaka ile Mwanza ilikuwa na raha zake
Beach lazima uende tunza beach ndio ya kishua.
Club zilikuwa deluxe na capricabana ndio za kishua hasa ambapo unakutana na kina dj cutter kidboy huku watoto wa kiswazi wakikutana pale magnum.
Tape music za nje tulikuwa tunanunua pale boom explosion...
Hiki ni kipigo alichopata Mazrui kwenye uchaguzi uliopita Zanzibar, leo ni Waziri wa Afya! Kuna wengine hawajawahi kutolewa hata kucha na bado wanajiita wanaharakati.
Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea.
Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
Kwa sasa ni Nchi Nyingi sana kuna Mfumuko wa Bei, Lakini kufikiri kwamba sababu Marekani kuna Mfumuko wa bei basi na Tanzania lazima uwepo hayo ni Mawazo ya Walioshindwa .
Hivyo ni Bora tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili kila mtu aweze kuishauri serikali kwa nafasi yake kama...
Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi.
Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa.
Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.
Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
..msimamo wa Othman Masoud ulianzia ndani ya kamati ya uandishi ktk bunge la katiba.
..Othman Masoud anadai alikataa kuburuzwa na Andrew Chenge hivyo akaamua kutokuendelea kuwa ktk kamati hiyo.
..Kwa hiyo Othman Masoud alikuja kutokea bungeni siku ya kupiga kura kama mnavyomshuhudia hapo chini.
Kufatia tetesi za kuondoka kwa Tadeo Lwanga na kutua kwa Mnigeria Akpan klabuni Simba, ni muendelezo wa ujio na kuondoka kwa viungo wakabaji Simba lakini wote hao wamekuwa wakimkuta na kumuacha Jonas Gerald Mkude.
Jonas Mkude sio wa kawaida ana kitu cha ziada inaonekana ambacho Viungo wengine...
Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee wa msoga.
1. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako
2. Kelele za chura hazimzuii mtu kuteka maji
Karibuni tuongezee zingine ikiwezekana tuweke na mazingira/context ambapo jkauli hizo zilitoka. kwa mfano kauli ya "akili ya kuambiwa changanya ya...
Wakuu Habari!
Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa.
Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.
Majukumu ya Bunge yametamkwa katika Ibara ya 63 (2) ya Katiba ya Nchi, kwa maneno yafuatayo:
“Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.