Saa chache tangu kutoka kwa tukio la watu kujeruhiwa kwa mapanga na kikundi kinachodaiwa kuwa ni 'Panya Road' katika eneo la Kunduchi Mtongani Jijini Dar es Salaam, watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro...
Katika upelelezi wa matukio kama haya huwezi kuacha kuangazia (last moment ya marehemu)
Marehemu padri Francis katika mahubiri yake ya misa takatifu jumapili ya matawi!
Sehemu kubwa ya mahubiri yake alilalamika jamii kusema vibaya watu, alisisitiza kwamba yeye kama paroko anasemwa vibaya sana...
Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa...
Habari wakuu!,
Ni muda sasa umepita tangu nipotee katika majukwaa mbalimbali hapa JF.
18 June 1994, Usiku wa manane, wanafunzi katika shule ya wasichana ya Shauritanga wakiwa wamelala, moto mkubwa ulizuka. Mabinti wale walipiga kelele za kuomba msaada kutoka kwa walinzi hawakufanikiwa hadi...
Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB zilizokuwa zinasafirishwa kuelekea Morogoro.
Unalikumbuka tukio hilo? Nini hasa kilijiri? Usipite bila...
Kuna kila dalili Luteni Urio alikuwa na mpango wa kula hela za Mbowe kupitia wale vijana na wakati huo huo alikuwa na matarajio kuwa CHADEMA ingeshinda angepata ukubwa Jeshini. Hilo lina asilimia kubwa ya ukweli.
Luteni Urio baada ya kuona mambo yamebadilika aliamua kugeuka ingawa inavyosemwa...
Tulia Ackson unaamini Raisi wa nchi yetu hastahili kunyooshwa kidole, ona hii clip ya kilichotokea huko Uingereza kwenye Jumba la Waziri Mkuu uone jinsi dola ilivyojitenga na siasa na wanasiasa hata pale Waziri Mkuu anapopigwa kwa kukejeliwa na wananchi wa kawaida (sio Bunge wala wabunge)...
Wakuu, naangalia Tv Tumaini na sasa wamejiunga na kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma.
Kikao hicho kinaongozwa na Rais mheshimiwa Samia.
Nilichogundua mheshimiwa Rais kasema leo afya yake si nzuri na hata uvaaji wa barakoa nao si sahihi.
Ninavoona mie hii kitu haijakaa sawa, wasioneshe moja...
Binafsi nakumbuka kuna siku mvua kali sama ilikuwa inanuesha, siku hio ilikuwa ni mwezi wa 11 ndio siku ya kwanza mvua inanyesha kwa huo mwaka na kiukweli ilinyesha acha kabisa.
Sasa nimefika pale kwenye mataa tunapishana na magari kibao, ukungu ukatanda kwenye kioo aisee, sioni kitu mbele na...
Naam
Wakuu nadhani baadhi yetu tukiwa sehemu mbali mbali za dunia au nchini tulijaribu namna moja kuvuka kutoka 21 kwenda 22.
Kila mtu akifanya kwa namna yake
Kama lengo la kichwa hapo juu ni tukio gani lilikunyoosha mpaka kufikia hatua ya kutolisahau au ni tukio gani ulikutana nalo lilikuinua...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Mwaka 2012 kulitokea jambo la kushangaza sana ndani ya CHADEMA lakini kama kawaida makada wa Chama Cha Mbowe walitetea na kutukana mno yeyote aliyekuwa na maoni tofauti. Ilikuwa ni kujulikana kwamba bado aliyekua katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa kwamba...
Habari zenu?
Miaka 11 iliyopita baada ya kuwa nimehitimu kidato cha sita, sikutaka kuendelea na chuo moja kwa moja,nikaona niingie machimboni huko katoro kutafuta maisha kwanza, nimechimba mawe sana huko, nilikaa takribani miezi 6 bila kuonja papuchi.
Sasa bana siku flani nikasema ngoja...
Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake!
Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje? Je, si wangelala na...
Kwanini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea?? Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa.
Kwanini techinical issues zinakuwa politicised?
Katika maisha licha ya kuwepo na changamoto nyingi, kuna matukio ama changamoto ambazo zinakaa ndani ya mioyo yetu bila kutoka kwa sababu ya uzito wake hasa pale yanapo tufanya tunusurike kifo.
Niende kwenye tukio, Mwaka 2019, jijini Dodoma, kwa uwezo wa Mungu nilifanikisha kupata kaelimu kangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.