Baada ya utata kuibuka last week kuhusu utaratibu wa kuwapa ajira wauguzi wa afya toka Kenya ,
wiki hili limetokea tukio ambalo pengine lita ibua maswali kwa serikali ya Uingerezaa kuhusu ubora na uweledi wa manesi toka kenya
Ina daiwa kijana mmoja Mkenya anaidai fidia hospitali fulan baada...
Kwema Wakuu!
Leo nitasimulia tukio lililoniacha mdomo wazi mpaka leo nisielewe nini kilitokea.
Tukio hili ni halisi, sio Stori ya kubuni.
STORI KAMILI!
Mimi ni jamii ya watu ambao usiku tunaona mambo mengi, waotaji WA ndoto, waonaji na wakati mwingine watu tunaolala lakini tunahangaika usiku...
Serikali imefanikiwa kupata zaidi ya trilioni kadhaa kwa ajili ya mapambano ya uviko 19.
Lakini wanasiasa na baadhi ya viongozi wameanza ufinyangaji wa sheria kwa kisingizio cha haraka ya Mh. Rais.
Tumemuona Mkuu wa Mkoa Shinyanga akifanya hivyo, wakurugenzi, madiwani na hata baadhi ya Wizara...
Tumebishana sana kuhusu alichokifanya bwana yule kule kwa pilato tuangalie sera ya faragha ya kampuni inasemaje kuhusu kutunza siri za wateja pitia hiyo sera halafu tujadiri kama sera ndio mbovu au yeye bwana wakili kakosea au hakufuata utaratibu wa kutoa data za mteja .
MIC TANZANIA PUBLIC...
Matukio mengi makubwa yaliyowahitukia, ama katika maisha ya mtu wa kawaida au katika maisha ya ziada ya mtu mwenye historia, yametukia katika muda usio muafaka wa maisha yake.
Kwa mfano, kanuni ya jumla ya sheria ya mvutano (Universal Law of Gravitation) ilizaliwa kwenye akili ya Isaac Newton...
Huduma ya dharura katika hospitali zetu imekuwa sio dharura tena badala yake kumfanya mgonjwa asubiri hali ambayo ni hatari kwa afya na usalama wa mgonjwa anayehitaji huduma hiyo
Binafsi mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko juu ya ya uzorotaji wa huduma ya dharura katika hospitali nyingi...
Hivi karibuni kulitokea tukio la kustua na kutisha Sana, ambapo kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, alipofika kituo cha Selander Bridge na kuwafyatulia risasi kwa kutumia bastola yake na kuwaua askari 2 na kuchukua "machine gun" yao na kuanza kuwasaka Polisi popote pale walipo na...
Sisi sote Ni watu wazima japo kila mtu Ana uchizi wake katika ubongo.hakuna asiyechukiwa ila Kuna siri imejificha haiwezekani mtu mzima atoke tu nyumbani aende kuua watu watano.
Mimi nipate madini yangu halafu muhuni anakuja kunipora na haiendi Serikali inaenda mikono mtu
Mali yangu nitaanza...
Kumekucha!!
Tukio la Hamza ni tukio Baya la kikatili na linalohuzunisha, nimezipitia clip kadha wa kadha za tukio hilo Kwa kweli zinaumiza, zinasononesha na zinatisha mno. Sitaki Kueleza jinsi saikolojia ya Hamza na Wale Askari namna walivyokuwa wanakabiliana huku kila mmoja ikifikia hatua ya...
BINAMU HIMSELF: TUKIO LA MAUAJI SALENDER BRIDGE JANA
Tukio la mauaji Salender Bridge jana
Kumekuwa na hisia na hukumu nyingi kuhusiana na tukio la jana lililopoteza maisha ya watu watano. Ugaidi, kisasi, chuki vimetajwa kama sababu na baadhi ya wengi, Ilimradi kila mmoja amesema anavyodhani ni...
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
Ni nani?
Katumwa na nani?
Yuko na akina...
daraja la selander
hamza
kukamatwa
kupambana
kuuawa
majeshi
mauaji dar
mauaji ya polisi
mbinu
mhalifu
mikono
police
polisi
polisi tanzania
risasi
selander bridge
shujaa
tukio
uhalifu
wakati
weledi
Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020.
Tetesi zilizopo ni kwamba Bwana Hamza amelipiza kisasi baada ya kudhulumiwa madini yake na Polisi...
1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana.
2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia waendesha magari madhara yangekuwa makubwa zaidi ikiwemo kukutana na risasi.
3. Clip zinaonyesha...
Ni zaidi ya Msaa 8 hivi kupita baada ya tukio la leo 25/8/2021 kubwa kwa nchi yetu, hatujapata kuwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga kwa risasi nadhani tangu Tanganyika ipate Uhuru wake, Ni tukio kubwa kimedani na linatulazimisha tuweke kando siasa zetu chafu tukae chini na tutafakari na...
Bila kupepesa macho wala kutikisa kichwa Wabongo tumejariwa unafiki tena wa Hali ya juu.
Hii ni juu ya tukio lililo tokea leo maeneo ya Upanga huko Dar es Salaam.
Ukiangalia comment za wadau juu ya tukio hilo wanaliingiza kwenye mambo mawili tofauti.
Mosi ikiwa ni siasa na pili ikiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.