Natumai mko salama
Mwenzenu nilipigwa tukio ambalo liliniacha taabani kwa miezi kadhaa sasa
Wakati niko Chuo (SAUT) Mwanza, nilibahatika kupata mdada tuliekua nae chuo nikampenda na tukajikuta tupo kwenye mahusiano.
Baada ya kumaliza Chuo tuliamua kubaki Mwanza kupambana na maisha. 2019 rasmi...