Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao nawakubali hasa Kiutendaji wao basi wale wa Tabora, Kigoma, Arusha, Rukwa, Morogoro, Lindi na Kwetu...
Tunatarajia kufanya hitma.
Makadirio ni watu 200.
Nafikiria kuwa na vyakula vifuatavyo
Pilau
Nyama
Ndizi
Salad
Tunda
Maji
Wazoefu wa matukio, bajeti yake hapa itakuwaje?
Habari ya muda huu..
Ilikuwa mwaka 2010 kwetu huko Tabora.
Sisi tulikuwa wakulima wazuri wa zao la tumbaku. Wafanya kazi wetu kwa asilimia kubwa tulikuwa tunawatoa Burundi.
Kulikuwa na huyo jamaa anaitwa Lenard. Jamaa alikuwa mchapa kazi sana lakini alikuwa mlevi pia tena mlevi mzuri tu wa...
Bitcoin halving, linalojulikana pia kama "nusu ya zawadi ya block", ni tukio linalopangwa ambapo idadi ya Bitcoin mpya zinazotolewa kwa wachimbaji kwa kila block iliyothibitishwa hupunguzwa kwa nusu. Hii hutokea takriban kila miaka minne, na imeundwa kudhibiti idadi kamili ya Bitcoin...
Upotoshaji wa taarifa huweza kufanyika kwa kuleta tukio la lililotokea zamani na kulitangaza au kuliunda ili lionekane kama limetokea leo.
Wapotoshaji huweza kutumia mbinu hii kwa namna mbalimbali. Katika mjadala huu tutagusia mbinu tatu zifuatazo:
Kubadilisha Tarehe au Muktadha: Mtu anaweza...
Wale ambao wasahaulifu tukutane hapa
Mimi kisa cha kwanza nilimsahau demu wangu Prisca upendo lodge pale Kimara
Kisa cha pili nilisahau Kadi ya bank na hela laki 2 ATM ya CRDB LUMUMBA
Kisa cha tatu nilisahau siku ya interview ya TPDC
Kisa cha nne nilisahau kwetu nikaenda kulala kwa jirani...
Salaam Wakuu, natumai kaubaridi mwororo kawapapasa vyema huko mliko, twende kwenye mada.
Sehemu yoyote mjini inachukuliwa kama sehemu ya kutolea ushamba, kutokana na kupiga hatua kwenye mambo mengi na muingiliano mkubwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Naona ndio hata mababu zetu...
MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI
Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde la Pangani, hivyo walikuja na mabango kuonesha kero wanayopitia lakini mabango yao yalikumbana nguvu...
Katika thread hii sitazungumzia ni Nini maana ya Bitcoin mana naamini mada hizo zipo, ila ntaenda Moja kwa Moja kuzungumzia halving.
Satoshi Nakamoto kwenye code za Bitcoin Blockchain aliona ni vyema kuzingatia baadhi ya mambo ili kuifanya BTC iwe inflatable, Ikiwa kama fedha ya kawaida inaweza...
Uwezo wa kukabilianana majanga kwa wakati si jambo rahisi kwa taifa na jamii yoyote haijarishi uwezo wala maendeleo.
The cargo ship – about the length of three football fields – has as many as 4,000 tons of steel frame hanging on its bow since the ship plowed into the Key Bridge – sending a...
Harrison Okene alinusurika kwa siku mbili na nusu akiwa amenaswa ndani ya mashua chini ya bahari, mita 30 (~ 100ft) chini ya maji.
Alikuwa mpishi Mnigeria mwenye umri wa miaka 29, akifanya kazi kwenye mashua ya kuvuta kamba ambayo ilikuwa takriban kilomita 32 kutoka pwani ya Nigeria. 2013...
Polisi ni rahisi kujua wahusika kwa haraka na wale wakongwe wa kazi za kuvunja sheria.
Tuulizane sisi wana JF tukifanya matukio ambayo kama kumtoa mtu uhai siku mbili si nyingi kukamatwa ila lilofanyika pale tena sehemu za serikali mpaka leo hakuna lolote.
Nafahamu maganda ya risasi yana namba...
Paroko wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi - Sinza, Padre Josephat Celestine Muhoza amesema kuwa Kanisa lao lina taarifa kuhusu tuhuma za mlinzi wao mmoja anayetambulika kwa jina la Baraka kudaiwa kuhusika na tukio la kumlawiti Mwanafunzi wa darasa la Tano mwenye umri wa...
Nimemuona ITV kwenye kipindi cha 'YUPO WAPI?'
Anasema ni jirani yake huyo ametoweka tangu 28.2.24 bila kujulikana ameelekea wapi. Ameongeza pia kuwa mtafutwa ana tatizo la kifafa na kwamba ni majirani tu hapa mjini.
Kwa uzoefu wetu tu tunajua hapo ni watu wa imani mbili tofauti lakini wameishi...
Hii Yanga ipo siku itakuja ifanye watu wazima wazichape tena Live na camera za Azam tena watu wenye heshima zao kama wachezaji na kocha.
Leo kocha alinyakua chupa akataka kumtwanga nalo mchezaji aliekua anaonekana ana mshutumu kocha kua yanayotokea pale uwanjan kosa ni yeye
Hii imenikumbusha...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya watu watatu lililotokea tarehe 7 Februari, 2024 majira ya saa 9 (tisa) usiku huko eneo la Pugu Kisumo Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.
Watu hao waliouwawa na kundi la watu kwa kuwashambulia na silaha za jadi, wanadaiwa...
AMEPOTEA KISIWANI KEY WEST - 1 Umewahi kujua kwamba taa za barabarani huwekwa pia Kamera? Si kwa Tanzania, lakini katika miji mingine mikubwa taa za barabarani huwekwa Kamera ili ziweze kunakiri matukio mbalimbali na kusaidia vyombo vya ulinzi na usalama.
Fuatilia kisa hiki cha mwanaume mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.