Mindset mbovu ya Muafrika ilijidhihirisha katika tukio hili miaka kadhaa iliopita na ever since bado tunaendelea na ubovu wetu ule ule.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
a05327fd33ac317a1787f33725f1976b.jpg

Mnamo Oktoba 15, 1987, Sankara alikuwa akikutana na washauri huko Ouagadougou wakati kikosi cha wauaji, kikiongozwa na askari watiifu kwa Compaoré, walivamia majengo.

Na kushangaza compaore huyo alikuaa rafiki mkubwa sana wa sankara ambaye sankara alimuamini sana.

Sankara, akifahamu hatari hiyo, inasemekana aliwaambia watu wake, "Ni mimi wanayetaka," akitoka nje bila silaha na mikono yake iliyoinuliwa kuwalinda wengine. Alipigwa risasi mara kadhaa, pamoja na wengine kumi na wawili, wakiwemo washauri na wasaidizi. Ni mtu mmoja tu, Alouna Traoré, aliyenusurika kwa kujifanya kuwa amekufa.

Huyu mwamba wa Kiafrika aliekuwa anaiongoza nchi yake katika mageuzi ya kiuchumi, kijamii, kiustadi na kupinga ubadhilifu na ukoloni mambo leo, ila kuna baadhi ya wapumbavu wenzio waliona matumbo yao hayatakaa kushiba basi wakaamua kumuua kwa ajili ya ubinafsi wao kilichofuatia ni umasikini mkubwa hadi hii leo.
 
View attachment 3464591

Huyo Traore aliyejifanya amekufa na huyu Traore wa sasa wapoje?
 
Hamza alishindiliwa risasi akiwa tayari yupo chini anakata roho.
 
View attachment 3464591

Mnamo Oktoba 15, 1987, Sankara alikuwa akikutana na washauri huko Ouagadougou wakati kikosi cha wauaji, kikiongozwa na askari watiifu kwa Compaoré, walivamia majengo.

Na kushangaza compaore huyo alikuaa rafiki mkubwa sana wa sankara ambaye sankara alimuamini sana.

Sankara, akifahamu hatari hiyo, inasemekana aliwaambia watu wake, "Ni mimi wanayetaka," akitoka nje bila silaha na mikono yake iliyoinuliwa kuwalinda wengine. Alipigwa risasi mara kadhaa, pamoja na wengine kumi na wawili, wakiwemo washauri na wasaidizi. Ni mtu mmoja tu, Alouna Traoré, aliyenusurika kwa kujifanya kuwa amekufa.

Huyu mwamba wa Kiafrika aliekuwa anaiongoza nchi yake katika mageuzi ya kiuchumi, kijamii, kiustadi na kupinga ubadhilifu na ukoloni mambo leo, ila kuna baadhi ya wapumbavu wenzio waliona matumbo yao hayatakaa kushiba basi wakaamua kumuua kwa ajili ya ubinafsi wao kilichofuatia ni umasikini mkubwa hadi hii leo.
Kila Nchi ikiua kiongozi hasa aliye na uchungu nayo basi inabakia ktk dimbwi la kutokuwa na maelewano daima.
 
Back
Top Bottom