Wakuu ni kweli uchawi upo ? Weka tukio hata moja lililowahi kukuta wewe, sio kusikia kwa wengine au vijiweni

Siamini uchawi, Hakuna uchawi
Uchawi haupo, uwe umeandikwa au kusemwa semwa mitaani. Ni kwamba haupo.

Hata utakaye mkuta anasimulia mwambie ni lini aliwahi kukutana na tukio la kichawi. Atakwambia na yeye alisikia tu.

Na huyo naye aliyesikia ukimfata akusimulie ni lini na wapi aliona hilo tukio naye atakwambia alisikia watu wakisema.

Kuna siku nilikaa na Mama yangu Mtu mzima sasa, kaja kuona wajukuu kupumzika.

Wakti tumeshiba tukaanza kupiga stori za zamani zilizobamba huko nyuma huko vijijini kwetu.

Kijiji chetu kina historia ya kumchoma moto mtu mzee hadi kufa kwa tuhuma za uchawi.

Hivyo nikamrudisha mama yangu kwenye stori za kale.

Kule kwetu kulikuwa na imani za kutisha za uchawi, wanga, walozi, waiga ramli na makeke mengi.

Kulikuwa na stori kwamba karibu na shamba letu kilomita 5 kutoka nyumbani huwa kuna Mti unawaka moto usiku. Hii habari ilienea na iliaminika sana. Shemeji yangu baada ya kumuoa Dada alihamia maeno hayo. Hivyo alikuwa mmoja wa mashuhuda kwamba usiku huwa kuna moto unawaka kwenye ule mti. Wakiamka asubuhi hawakuti kitu. Jirani yake kulikuwa na Babu Mwingine anaishi hapo naye alisimulia pia.

Basi baada ya kuchati stori na Mama yangu nikamuuliza wewe Mama sasa umekuwa mtu mzima ulishawahi kukutana na tukio la uchawi au linaloshiria ushirikina zaidi ya kusikia tu mitaani? Akasema Ni kweli kabisa hajawahi kushuhudia na chochote anachokijua ni kwa kusikia tu.

Nikamuuliza swali la pili, kuhusu ule mti kuwaka moto usiku. Akasema pia na hilo amekuwa akisikia.

Tukampigia simu shemeji, kwanza tumsalimie then tumshirikishe kwenyr hiyo stori. Akasema hata yeye ingawa ameishi karibu na mti ule kwa muda mrefu hajawahi kushuhudia zaidi sana anasikia habari zikisimuliwa mitaani.

Hata yule Babu naye alisema hivyo hivyo. Ndio nikamwambia Mama ya gu kwamba maswala ya uchawi na ushirikina ni masimulizi tu na imani potofu hayana nguvu yoyote ktk Universe hii.

Turudi kisa cha Mohamee Mo kutekwa Dar es salaam 2019. Baba yake moo alitangaza dau la One Bilioni. Ili yeyote atakaye toa fununu alipo Mwanaye aweze kupewa hizo pesa.

Waganga, wanajimu, wapiga ramsli, wenye majini, washirikina hakuna hata mmoja aliyejitokeza angalau hata kwa siri.

Hawa ndio wanaotwambia kuwa wanaweza kuona vitu visivyoonekana kwa macho ya kawaida, wanatumia nguvu za majini n.k.

Upuuuzi mtupu
 
Vipi kuhusu Mungu, naye ni upuuzi mtupu ama unaamini yupo?
 
Kama nawaona mpaa ungo na fisi mtu mmoja wakicheka wataposoma majibu ya hii nyuzi kwenye majibu ya atheists.
 
Back
Top Bottom