Kupitia upashanaji habari wa sisi wananchi, tumegundua kuna ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu uliofanywa na JWTZ Kambi ya Lugalo dhidi ya raia.
Siyo siri, tukio la kuuawa kwa Luteni Kanali limeacha pigo kubwa kwa familia yake, wanajeshi wenzake na serikali kupoteza asset yake muhimu.
Ukweli...
CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated.
Falme za namna hii hizi ni nyakati...
FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi).
ILIKUWA ni tukio la penati aliyopiga Cristiano Ronaldo 🇵🇹 kwenye ushindi wa Real Madrid wa goli 3-1 dhidi ya PSG...
Nimepiga hesabu za Cuba nikaongeza ujuzi wa mjini,
Wote mnamjua wema alivo karibu na mama yake ni nini wema asingekijua kuhusu maoni hasi ya mama yake?
Angelien ile video vyema utagundua wajomba na madada za wema wanasura za maigizo og.
Mjini kutrend yataka kujitoa akili hawa watu
Na hasa kwa wale ambao wamewahi au wapo juu kimaisha aidha kiuchumi, vyeo, akili, kiafya, umaarufu, mvuto, n.k.
Kuna siku nilikuwa naitafuta sehemu fulan mtaa fulani ila nikamuona kijana fulani mtumiaji wa dawa za kulevya nikamfuata kumjulia hali na kumwambia shida yangu, bahati nzuri alikuwa...
Katika dunia tunapitia mambo mengi ya huzuni na furaha, ya amani na magomvi vipi katika maisha yako jambo gani limewahi kutokea na ukajisemea kweli Mungu yupo.
Binafsi ni jinsi nilivyo faulu kidato cha sita yaani daah!
Nikikumbuka naishia kusema kweli Mungu yupo na anatenda maana nilijua...
Hivi wanaachaje kwa mfano kufuatilia Tukio Kubwa la Simba Day ambalo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, kuna MC aliyekuwa Mtangazaji Nguli, Mahiri na Gumzo Salim Kikeke, Msanii Mkubwa na Dhahabu kwa Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika...
Kuna muda huwa kuna matukio yanatokea pindi tunapofika ama tunakaribia kileleni, mshindo unavurufika kabisa.
Nikianza mimi kuna siku nikiwa nakaribia mshindo ghafla simu ya dem ikaanza kuita kaweka ringtone ya wimbo Solomo Mukubwa ule una mashairi "wanipa tumaini la maisha", kiukweli hata...
Leo nimekaa na kuwaza jambo fulani fikirishi sana sijui kama na wewe ulishawahi kufikiria nilichofikiria; Kila sekunde inayokwenda kuna tukio mahali fulani duniani kama ifuatavyo;
Kila sekunde moja kuna watu lukuki wanakufa
Kila sekunde moja kuna watu wanaambukizana ukimwi mahali fulani
Kila...
Habari za kutwa wana jamii forum, Poleni na pilika za kusaka mkate wa kila siku,
Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi,
Baba na mama walitengana kitambo nikiwa na miaka 2, hivyo sisi tumelelewa na mama pekee,
Mama alikuwa akijishughulisha na kazi mbalimbali kama vile kufanya vibarua kwa...
Wakuu,
Nimekutana na ujumbe unasambaa kwenye mitandao ya kijamii Twitter, Instagram na hata humu JF nimeona mtu kaweka uzi kuwa wanafunzi tena wakike kutoka shule ya wasichana ya Lucas Malia walifungiwa mlango na hivyo kulazimika kulala nje sababu eti walichelewa kufika siku waliyotakiwa...
Hofu imetanda kwa familia ya Mzee Ishengoma ya Goba Jijini Dar es Salaam baada ya hivi karibuni kundi kubwa la watu ambayo idadi yao haikujulikana mara moja kuivamia familia hiyo nyakati za usiku na kufanya uharibifu mkubwa wa mali.
Tukio hilo ambalo limeripotiwa tayari katika Kituo cha Polisi...
📍Kisongo - Arusha.
Jamaa ana kaulu yake flani hivi anakwambia faidi vinono vya duniani kwanza kabla hujaiona mbingu.
Hapo kwenye kipande cha sinema kuna mabinti itakuwa warembo hao, wanapita mbele ya kadamnasi wakinesa kama kwenye majukwaa ya mamiss.
Yule mwamba kakaa mbele mwenyewe anapita...
Kuwa kiongozi ni dhima na ni jambo ambalo linakuongezea mzigo wa kufikiri ziada ya wanavyofikiri watu wako unaowaongoza, kwa sababu kumbuka unawaongoza watu tofauti, waliozaliwa na kulelewa mazingira tofauti lakini pia wana itikadi tofauti.
Mnamo Tarehe 24/06/2023 Ulichezwa mchezo wa marudiano...
Huyu jenerali ni yule alisifiwa sana humu kwamba ndiye kiboko kwa Ukraine ila akaishia kuwa utopolo, majenerali wanaoshukiwa kuunga uasi mkono waanza kusakwa na huyu kawa wa kwanza kuliwa....
A top Russian general has 'vanished' amid claims he had advance knowledge of the weekend armed revolt...
Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu.
Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters".
Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa...
Nakumbuka tulikwa kwenye mkesha wa mwaka mpya miaka kadhaa iliyopita,
Nilikuwa mimi na rafiki zangu wanne, Tulikuwa tunatembea huku tunaimba nyimbo za mwaka mpya,
Ghafla tukaona mtu akiwa juu ya mnyama sijui alikuwa mnyama gani yule, alikuwa kwenye spidi kali mno,
alipotufikia alishika breki...
Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira,
Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi...
Anaitwa Kim Clement. Alikuwa nabii muimbaji. Alifariki November 2016 akiwa na miaka 60. Alishatabiri vita ya Ukraine na Russia. Alitabiri kwamba kuna roho itaingilia kati itakayomfanya Putin aondoe jeshi kwenye nchi huru aliyoivamia. Alitabiri kuwa Putin atauwawa nchini mwake. Utabiri wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.