Hawa ambao nimewazungushia Duara three weeks ago tulikuwa wote Amsterdam. Before that tulikuwa London na Paris. Leo naambiwa kuna asilimia kubwa watakuwa wamefariki.
Ilikuwa niwepo katika hii tour basi tu ratiba ziliingiliana sababu jamaa walitaka angalau black man mmoja awepo. Shida tu...
Nilizozipata hadi muda huu ni kwamba Mambo ni Magumu na sikuwahi kujua kuwa kumbe hata Waarabu ( hasa wa Algeria ) na Wao mambo ya Unyangindo ( Ulozi ) wanayajua.
Kuna Mtu Mmoja wa Insider 259 Hopeless and Useless Passenger Team kanitonya kuwa Usiku wa Kuamkia Mechi yao ya Temeke Mvua Stadium...
Ilikuwa mwaka jana mwezi wa 5.
Binti mmoja karibu na home alichumbiwa na kijana mmoja aliyekuwa mpenziwe kwa miaka 2 hivi.
Baada ya kulipa mahari taratibu za ndoa zikaanza, sasa siku moja walikuwa maeneo ya makumbusho walikuwa wanafanya shopping ya mahitaji yao nafikili ilikuwa kwa ajili ya...
Wakuu ni alfajiri hii siku ya leo, usishangae kwa nini nimeshika simu nakukaa kuandika uzi huu badala ya kujifunika gubigubi blanketi, hapo ujue ni kuwa usingizi umenipaa na dakika kadhaa zilizozopita nimetoka kumaliza kumeza kidoge kimoja kukamilisha dozi yangu ya siku ya 28 ya dawa za PEP (...
Ni mchezo wa Fainali ya kombe la dunia, takribani watu bilioni 1 duniani wanafatilia mtanange huo.
Dakika ya 3 ya nyongeza ndani ya dakika 120, ubao ukiwa unasomeka 3-3 kwa Ufaransa na Argentina.
Ndani ya dakika 3 za nyongeza, zikiwa zimebaki sekunde 16 mtanange uishe ili waende penati, huku...
Great thinkers,
Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Leo jioni jioni nilikua nimekaa sehemu mtaani kwetu tu hapa,
nimekaa pembeni mwa barabara wakapita wavulana wawili wamebebana kwenye baskeli wanaelekea kushoto, haikupita dakika 2, kuelekea mkono wa kulia akapita binti wa sekondari kama sio form 1 basi atakua form 2, nyuma yake akarudi dogo...
Mimi ni mkatoliki ila hili tukio la bikira maria kuwatokea watoto wa fatima kule ureno linafikirisha sana.
Kwanza mkuu wa kanisa katoliki yani papa ni Rais wa Vatican pia kama nchi kamili yenye kiti UN. Sasa tukio la kule ureno mwaka 1919 la bikira maria kuwatokea Lucia, Francis na Yasinta sio...
Kufuatia tukio la watu wanne wa familia moja kupoteza maisha katika mazingira ya utata, ikidaiwa kuwa ni kwa sababu ya kuvuta moshi wa jenereta, mapya yameibuka.
Mmoja kati ya ndugu wa familia hiyo iliyokuwa ikiishi Temeke jijini Dar es Salaam, amedai kuwa tukio hilo limetekelezwa na watu kwa...
Mo mp5 once again hope ni wazima Wana Jf.
Sifa ya mtanzania ni ukarimu,ucheshi na upendo lakini imekuwa tofauti pale unapokuwa nchi za watu mtanzania ni mtu ambaye haaminiki kabisa hasa kwenye deals mbalimbali.
Ukiona mtanzania yupo nje ana ishi vizuri ujue ana kipaji mchezaji...
Hope ni wazima wana JF,
Je, uliwahi kufanya tukio gani la hatari kipindi unakua?
Sitosahau siku moja ilikuwa ni likizo ya Pasaka siku ya Ijumaa tukiwa group la watoto kama 6 hivi, mmoja alikuwa wa kike Jesca, tulienda porini sio mbali sana na maeneo tunayoishi.
Baada ya kutembea tembea kidogo...
Kuna kipande cha sinema kinasambaa sana kikimuonyesha afisa Usafirishaji a.k.a bodaboda akilazimisha kupita mbele ya treni iliyo kwenye mwendo.
Ila naona hiyo treni ikasimama gafla kitu ambacho sikuwahi na sijawahi kuona wala kushuhidia breki za haraka za treni kuwa sawa na gari.
Nashangaa...
Salaamu wana Jf baada ya kuonana na madaktari katika zahanati mbili tofauti za serikali yalinipata yafuatayo:
Kwa ufupi niliingia zahanati ya kwanza saa moja asubuhi hadi saa nane mchana hapo nikaingia kwa daktari kwa masikitiko makubwa zahanati ya jimbo nikaandikiwa kipimo cha mkojo...
Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima, Wizara ya Ulinzi ilitangaza Ijumaa. Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu "amewapa tuzo ya...
Mwandishi wa ABC News amewanakili maafisa wawili wa Pentagon wakisema kuiokoa droni yao iliyomwagiwa mafuta na hatimae kuanguka huko bahari nyeusi itakuwa shida kwani Urusi tayari imeshafika na meli zao kuitafuta droni hiyo.
Mwanzoni mnadhimu mkuu wa majeshi ya Marekani generali Mark Milley...
Msaada wakuu, hii hali imeanza kuwa serious sana. Kwa sasa inanikuta kila mwezi tofauti na awali ilipokuwa inanitokea mara moja kwa mwaka
Inaanza uko maeneo fulani ukiwa na mtu fulani, wakati unamalizia mazungumzo, ndipo unakumbuka kuwa hayo maneno umewahi yatamka kabla. Hata eneo ulilopo ndilo...
Kelele huwa ni nyingi sana pale inapoonekana chombo cha usafiri hasa wa umma pale jijini Dar kujaza abilia kupita kiasi.
(Kwa wasio na bundle)👇🏾
Baada ya kupita mitaa fulani nikakutana na tukio hili, hapo ni China na hiyo ni treni ya mapema sana kutoka mji A kwenda mji B.
Kutokana na wingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.