Una deal vipi na tukio kama hili au nilipotezee ni kawaida tu?

Una deal vipi na tukio kama hili au nilipotezee ni kawaida tu?

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
2,844
Reaction score
6,701
Jana niko zangu home nimetulia, nje namsikia jirani yangu ambaye anafanya kazi na mke wangu.(walimu) Alikuwa akimuita mke wangu aende amfuate alipo na jibu la wife lilikuwa njoo wewe, jirani akawa analazimisha wife aende na yeye anamuambia njoo ww huko siwezi kuja lkn jirani alikuwa anaendelea kusisitiza wf aende mara moja.

Ila wife alikaza kwa kumsisitizia huko siwezi kuja.

Mwisho jirani akaja mpka home na kuendelea kumsisitizia wf twende mara moja ila bado wf akakataa na kumuuliza kwani wanashida gn? Wewe twende ukawasikilize.....

Baada ya kuona ule msisitizo sio wakawaida ikanibidi nichungulie dirishani.
Kwa mbali kuna washikaji km watatu hivi ndio walikuwa na yule jirani yetu na wao ndio walikuwa wanamtumia kumuita wf pale akawasikilize na wf ni km alikuwa ananisikilizia mimi km nitamruhusu.

Ila binafsi baada ya kuona kuna msisitizo usio na maelezo ya wazi,nikamzuia wf asiende na kumuambia amuambie jirani awaambie wale wenye uhitaji wafike nyumbni km hawana ndhamira mbaya lkn jamaa hawakuja

Nilichoamua baada ya hili tukio ni kumuibukia jirani kumuonya kuheshimu familia za watu na kujua mipaka yake, kw mke wng sijaona cha kuzungumza nae zaidi sababu hakuomba hta ruhusa ya kutaka kwenda. Je! Kwa uamizi huu niko sahihi?
 
Wewe ni me ?

Yaani dume jenzio linakuja kwenye himaya yako, linamshurutisha mkeo alifate, linamkazia kabisa na wewe uko ndani unasikiliza conversation zao bila uamuzi ? Ety ukachungulia dirishani !

Mmekuja kuwaje aisee
 
Mungu aepushe mbali isiwe ni mambo ya mapenzi sababu mapenzi ya walimu ni ya siri sana.... Usioneshe kama unahisi kitu ila mfuatilie kimyakimya
Ushauri mzuri japo sijawahi kumuhisi vbaya hta mara moja pia siachi kuzungumza nae inapotokea nafasi kukumbushna tu kila mmoja kufahamu mipaka yake
 
Back
Top Bottom