Una deal vipi na tukio kama hili au nilipotezee ni kawaida tu?

Una deal vipi na tukio kama hili au nilipotezee ni kawaida tu?

The audacity ya kumfuata mkeo na kumwambia kuna watu wanamwita mahali!

Hii ndo inatakiwa uhoji!
Mkeo hakwenda kwa kuwa huwa haendi au hakwenda kwa kuwa ulikuwepo?
Mkeo hakwenda kwa kuwa alishangaa wito au ni wito wa kawaida kutoka kwa jirani yake?
Mkeo hakwenda kwa kuwa kulikuwa ni mbali au ingekuwa karibu angeenda(kwa hiyo huwa anaitwa au anafatwa)

enewei!
 
Kwa jicho langu la kikachero, mkeo ana madeni ya vikoba, au kausha damu, sio ishu ya kimalaya hio.
Kanuni ya Kausha damu na vicobba vya kiswahili ni KUDAI MADENI KWA UDHALILISHAJI! Kitendo cha mume kuwepo nyumbani na wanataka hela yao ilikuwa ndo muda mzuri wa kupachafua ili mwenzi akasirike alipe au achimbe mkwara deni lilipwe!
 
Wewe ni me ?

Yaani dume jenzio linakuja kwenye himaya yako, linamshurutisha mkeo alifate, linamkazia kabisa na wewe uko ndani unasikiliza conversation zao bila uamuzi ? Ety ukachungulia dirishani !

Mmekuja kuwaje aisee
NIMESHAANGAA!
anayemwita hata angekuwa Ke bado kujibanza kusikiliza ndo uact was udwanzi!
which for the case inaonekana ni Ke.
 
Umea act vizuri. Sema kuna biashara inaendelea mchunguze wife inaweza kua ya madeni, au kuna business anaanza bila ww kujua. Haihusiani na uhuni (tafsida) ila mfuatilie mkuu.
 
Toa mipaka stahiki katika ndoa yako, kile unapenda na kile upendi kabisa. Jua pia dunia hii ya wakati huu wa human light and equality... Kuna changamoto sana ya viumbe wanaitwa wanawake. Huu ni ukweli kabisa. Nimeongea na watu kama elfu moja hivi kati ya wote hao. Yaani kila mtu anachangamoto, hamna aliesalimika kabisa. Na wewe ni mwanaume ndugu. Chukua hii
 
Jana niko zangu home nimetulia, nje namsikia jirani yangu ambaye anafanya kazi na mke wangu.(walimu) Alikuwa akimuita mke wangu aende amfuate alipo na jibu la wife lilikuwa njoo wewe, jirani akawa analazimisha wife aende na yeye anamuambia njoo ww huko siwezi kuja lkn jirani alikuwa anaendelea kusisitiza wf aende mara moja.

Ila wife alikaza kwa kumsisitizia huko siwezi kuja.

Mwisho jirani akaja mpka home na kuendelea kumsisitizia wf twende mara moja ila bado wf akakataa na kumuuliza kwani wanashida gn? Wewe twende ukawasikilize.....

Baada ya kuona ule msisitizo sio wakawaida ikanibidi nichungulie dirishani.
Kwa mbali kuna washikaji km watatu hivi ndio walikuwa na yule jirani yetu na wao ndio walikuwa wanamtumia kumuita wf pale akawasikilize na wf ni km alikuwa ananisikilizia mimi km nitamruhusu.

Ila binafsi baada ya kuona kuna msisitizo usio na maelezo ya wazi,nikamzuia wf asiende na kumuambia amuambie jirani awaambie wale wenye uhitaji wafike nyumbni km hawana ndhamira mbaya lkn jamaa hawakuja

Nilichoamua baada ya hili tukio ni kumuibukia jirani kumuonya kuheshimu familia za watu na kujua mipaka yake, kw mke wng sijaona cha kuzungumza nae zaidi sababu hakuomba hta ruhusa ya kutaka kwenda. Je! Kwa uamizi huu niko sahihi?

Jibu la kwanza la Wife wako siyo sahihi fanya uchunguzi utakuja kugundua hilo
 
Hapo ungezusha kesi ili kufahamu dhamira Yao huyo mwalimu na mabaria wake hapo unaibwa sio utani
 
Back
Top Bottom