"The Seismic Myth of Matthew" ni tukio lilio kosa ushahidi wa kigiolojia.

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,682
Reaction score
41,162
"
"Hadithi ya Kutikisika kwa Ardhi isiyokuwa ya kweli katika Mathayo 27:51.

Wanasayansi wa geolojia* hawajapata ushahidi wa tetemeko kubwa la ardhi linalo lingana na hilo katika historia ya Yerusalemu mnamo karne ya kwanza.

Tacitus, Josephus, au Pliny the Elder ndo wana historia wa kubwa wa kuhifadhi matukio muhimu ya Yaresalem lakini hamna anae taja tukio kubwa kama tetemeko hilo.
Hakuna ushahidi wa kihistoria wala kisayansi, Hakuna rekodi yoyote ya kihistoria ya wakati huo kutoka kwa wanahistoria wa Kirumi kama Injili ya Mathayo inavoeleza kuwa baada ya Yesu kufa msalabani:

  • Kulikuwa na tetemeko la ardhi,
  • Pazia la hekalu likapasuka,
  • Miamba ikapasuka,
  • Makaburi yakafunguka,
  • Wafu wakafufuka.

Hayo matukio yote yamekosa ushahidi dhahili wa kihistoria kisayansi na kibibulia.
Injili nyingine hazikutaja tukio hilo
Marko, Luka na Yohana hawataji kabisa tetemeko la ardhi wala kufufuka kwa wafu.

Kwa nini tukio la kushangaza kama hilo lionekane tu katika Injili ya Mathayo alilitoa wapi?
 
Seeing is believing" hii satanic statement inayobebwa na waumini wa dini za kishetani na waliomezwa na factual za kisayansi wakasahau kwamba mambo ya rohoni ni zaidi ya sayansi,

Kuna matukio mengi sana yalitendeka na hayawezi dhibitishwa na sayansi,. ,,, Afano kufungunguka kwa ardhi na kumeza robo ya Wana wa Israel pale jangwani,na Kisha kujifunga Tena,,

Ushaambiwa tetemeko kubwa lilitikisa nchi na roho zilizokuwa kuzimu zikaonekana zikipanda ,alafu Bado unataka udhibitisho wa tetemeko tu lililosababisha hizo roho zikapanda juu ,hutaki kujua kuhusu roho zilizopanda!?? Embu acheni kutafuta hoja ili tu kulinda mnachoamini

Sawa ijili nyingine hazijataja, na hata zile taarifa zinazofanana Bado mnazitafutia walakini, Imani siyo sayansi, ndio maana Imani haijawahi angaika na sayansi,ila sayansi Kila siku inahangaika na imani
 
Seeing is believing" hii satanic statement inayobebwa na waumini wa dini za kishetani na waliomezwa na factual za kisayansi wakasahau kwamba mambo ya rohoni ni zaidi ya sayansi,

Kuna matukio mengi sana yalitendeka na hayawezi dhibitishwa na sayansi,. ,,, Afano kufungunguka kwa ardhi na kumeza robo ya Wana wa Israel pale jangwani,na Kisha kujifunga Tena,,

Ushaambiwa tetemeko kubwa lilitikisa nchi na roho zilizokuwa kuzimu zikaonekana zikipanda ,alafu Bado unataka udhibitisho wa tetemeko tu lililosababisha hizo roho zikapanda juu ,hutaki kujua kuhusu roho zilizopanda!?? Embu acheni kutafuta hoja ili tu kulinda mnachoamini
Mkuu you mean kusulibiwa kwote kwa bwana ilikua kiroho sio physical mbona vinavyo kosa ushahidi unasema ni vya kiroho don't be selective plz.
 
Yesu alikuwa mwilini ,lakini pia alitenda mambo mengi ya kiroho ambayo huwezi yadhibitisha kisayansi , na mengine yaliwezekana kwa sababu matokeo yake yalikuwa ya mwilini zaidi,ila operation zake zilifanyika rohoni
 
Kwahiyo la kufufka na kusulibiwa lilikua la kiroho au la mwili?
 
Kusuribiwa kimwili, kiroho ni kufufuka na kupaa mbinguni,,

Simkubari kapola ,na si mtu wa dini yangu , lakini ule ushuhuda wake wa kujaza gesi kwa mdomo ni jambo ambalo haliwezekani kisayansi, ,,, Haina tofauti na kupaa, yaani uende kinyume na gravitational force bila hata msaada wa mabawa au mapanga boy🤣'. Hili pia kisayansi haliwezekani

Mana yangu ni hivi Kuna mipaka ya kuamini kimwili, mengine usipokuwa rohoni huji kuamini mpaka unakufa, ,, the same na tetemeko la kifo Cha yesu, hili lilitokea kwa sababu kuzimu ilikuwa inafunguka, na baada ya kufunguka roho zikapanda mbinguni ,na baada ya hapo ikajifunga Tena ,

Njo kwa sayansi, kuzimu huwezi idhibitisha kwa sayansi, roho huwezi dhibitishwa kwa sayansi, 🤣🤣🤣

NB inawezekana kapola kadanganya, binafsi siwezi mnyooshea kidole na hasa kwa level ya Imani niiyonayo, sababu kubwa muujiza ni very specific,

Naamani aliambiwa anawe ndani ya mto yoldani mara Saba, akanung'ung'uka sana , ila aliponawa alipona, Sasa wewe kanawe yoldani uone kama utapona,,,,,
 
Kwasababu yameandikwa kwenye biblia na hujaona ushahid wa Kisayansi.

Basi Jikite zaid Kuamini haya maandiko ya Quran kwasababu ushahidi wa kisayansi upo.

Ya Kuwa Yesu alipaa.
Allah alimpaisha Yesu na siku ya Kiama atarud.
Hakuna mtume ambaye amemzidi Yesu kwenye Quran.

Quran 4: 157-158
"Na kwa kusema kwao: "Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu." Lakini hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa tu. Na hakika waliokhitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi wowote nayo, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.”

Quran 3:55
"Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana"
 
Mkuu huo ni upande wa pili wa Yesu kweli alisulubiwa ushahidi upo? Kweli alikufa ushahidi upo kweli alifufuka ushahidi upo? Hizo ni mada pana hatuwezi kuzijadili na hilo la mathayo alio buni, sasa limekosa ushahidi wataalamu wanalihamisha kua la kiroho, mimi sijawahi kusikia tetemeko la aridhi la kiroho🤣🤣🤣🤣🤣ukuristo raha sana
 
mkuu hizo ni mada zingine zenye kuleta ushahidi kudhizibitisha hatuwezi kuzichanganya na hizi za mathayo
 
Ushahidi wa Kisayansi mwingini ni kuwa Kuna mtume had anafika miaka 40 hajui kusoma wala kuandika na hana miujiza.
Na kuna mtume ambaye alijua kusoma na kuandika bila kufundishwa. Na akiwa mdogo alifinyanga udongo mfano wa ndege na akapulizia hewa na ndege akawa hai na akapaa.

Huu ushahidi ni wa Kisayansi na uko kwenye Quran.
 
mkuu hizo ni mada zingine zenye kuleta ushahidi kudhizibitisha hatuwezi kuzichanganya na hizi za mathayo

Labda yawezekana ni mada nyingne.
Ila hoja ni ile ile.

Je Kuna uthibitisho wa Kisayansi?.
 
Mkuu huo ni upande wa pili wa Yesu kweli alisulubiwa ushahidi upo? Kweli alikufa ushahidi upo kweli alifufuka ushahidi upo? Hizo ni mada pana hatuwezi kuzijadili na hilo la mathayo alio buni, sasa limekosa ushahidi wataalamu wanalihamisha kua la kiroho, mimi sijawahi kusikia tetemeko la aridhi la kiroho🤣🤣🤣🤣🤣ukuristo raha sana

Kwan Kukiwa na Tetemeko ardhi inapasuka?. Au inatemeka na kurud hali yake?.

Alaf hayo ya Yesu. Je! umeuliza maswali au ?.
 
Mkuu you mean kusulibiwa kwote kwa bwana ilikua kiroho sio physical mbona vinavyo kosa ushahidi unasema ni vya kiroho don't be selective plz.
Kuna vitu havionekani kwa macho ya nyama, ndio vya kiimani.Ukimchinja kuku wakati anakufa unaona.Lakini roho inapotoka huioni.Lakini unaamini roho imemtoka kiumbe hata kama hujaona kwa macho ya nyama.Ndio maana wamekuambia sayansi inahangaika kujua mambo ya kiroho(Imani) lakini mambo ya kiroho hayahangaikii kujua mambo ya kisayansi.Anayehangaika kujua ya mwenzake yeye hajitoshelezi.Anatafuta kutosheka.Na sayansi haitakaa itosheke kujua mambo ya KIROHO.
 
Back
Top Bottom