Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
10,999
Reaction score
23,540
Nazungmzia tukio hili ambalo hadi sasa bado tunasikilizia mrejesho wa kamanda wa jeshi la polisi huko morogoro atupe kisa kizima cha mchumba wa binti huyu kufanyiwa mashambulizi kadhaa ya kimwili.

Kwanza niweke bayana kuwa violence dhidi ya wanawake ambao physically ni dhaifu kwa mwanaume si jambo la kufumbiwa macho na ni la kikemewa.

Lakini muhimu zaidi naomba notumie tukio hili kama mfano hai wa tabia ya U'simp kwa wanaume especially vijana.

Muhusika ambaye nina uhakika ni simp wa miaka 29 inaonekana aliweka pesa na mali rehani ili kumpata huyu binti.

Ila binti baada ya kufika mjini Dar na kulijua jiji pamoja na kukutana na mashost na kuanza kutembea viwanja mbali mbalo vya starehe then masimp wengine wakamuona na kuingia katika process ya ki'simp wakimwagia offer kibao binti ili aweze kuwapa mchezo na ukizingatia ana mwili wa utamu.

Vijana,oneni hasira na kichaa kinachoweza mpata mwanaume ambaye alichagua kusimp kwa mwanamke ambaye alishajua kuwa hana mapenzi nae ila akatumia pesa kumshika ili amteke hisia.

Lakini mwanamke alipofika chuo na kupata exposure ya bata akaanza kupunguza mazoe na kutaka uhuru wake wa kuishi atakavyo na rafiki zake waliomfundisha matumizi sahihi ya uzuri wake.

Tazama namna ukiendekeza u'simp unavyogharamika na kupata hasara mwishoni. Amechumbia, kalipia mahari akingojea ndoa binti kaanza kutumia mbinu ya bread crumbs kumstring along kihisia,na jamaa kwasababu ni dhaifu akajaa mazima na kuchizika.

Nina uhakika hivi vichapo ni matokeo ya kumfumania akiwa katika mazingira tatanishi.

Jamaa asingechagua kuwa simp saa hii pengine angekuwa anakunwa kifua na pisi nyingine huko morogoro. Ila alichagua kuwa simp tazama sasa, jeshi la polisi limepokea taarifa na maelekezo ya waziri mwenye dhamana mama gwajima na sasa jamaa ametiwa mbaroni anahojiwa tutapewa ripoti yote wiki hii.

Kwasasa nafuatilia story kwa rafiki yake wa karibu maana ninamjua na nimeshampigia kasema nimtafute kesho.

Ila nawakumbusha tena vijana. Kusimp ni kosa kwa mwanaume inaweza kukuharibia hata maisha yako. Usije ukasema hajaambiwa. Nadhani jamaa akijakusoma nyuzi zangu kuhusu U'simp atazielewa vema sana kwasababu yameshamkuta sasa.

ACHENI KUSIMP.
IMG_20250801_090950.png
Screenshot_20250826-234647.jpg
Screenshot_20250826-234351.jpg
IMG_20250801_090950.png
Screenshot_20250826-234647.jpg
Screenshot_20250826-234336.jpg
Screenshot_20250826-233449.jpg
 
Hili tukio ni la kikatili. Cha muhimu ili kuepusha haya mambo watu hasa wamasai waache mila za kuchumbia mabinti wadogo ambao bado ni wanafunzi. Kwa uzoefu wangu wa mjini ninaweza sema binti alimbadilikia jamaa kwa sababu kwenye profile yake zinaonyesha kashakuwa dada wa mjini. Mwanamke ambaye bado ana malengo yake binafsi hasa elimu ni kumuacha amalize kwanza harakati zake.
 
Watu wanaofanya matukio kama haya Sometimes hua nawaelewa sana aisee Ila Ndo hvy unakuwa umependa usipopendwa hapo lazima uteseke na ndio mwanzo wa kuwa mkatili hvy mana unaona huna la kupoteza.

Anyway, kama huyo demu wa picha ya mwisho ndo demu mwenyewe, bc naomba niseme tuu huyo demu ni wa kawaida mno anazidiwa mbali sana na mademu wa uswahilini kwetu
 
Hili tukio ni la kikatili. Cha muhimu ili kuepusha haya mambo watu hasa wamasai waache mila za kuchumbia mabinti wadogo ambao bado ni wanafunzi. Kwa uzoefu wangu wa mjini ninaweza sema binti alimbadilikia jamaa kwa sababu kwenye profile yake zinaonyesha kashakuwa dada wa mjini. Mwanamke ambaye bado ana malengo yake binafsi hasa elimu ni kumuacha amalize kwanza harakati zake.
Mtoto mdogo hawezi kuwa chuo, utoto unaishia form four.
 
Hili tukio ni la kikatili. Cha muhimu ili kuepusha haya mambo watu hasa wamasai waache mila za kuchumbia mabinti wadogo ambao bado ni wanafunzi. Kwa uzoefu wangu wa mjini ninaweza sema binti alimbadilikia jamaa kwa sababu kwenye profile yake zinaonyesha kashakuwa dada wa mjini. Mwanamke ambaye bado ana malengo yake binafsi hasa elimu ni kumuacha amalize kwanza harakati zake.
Naona unavyopambana kukwepa hoja yangu. Kimsingi jamaa alibembeleza. Mwanamke hakubadilikii overnight au ghafla.

Kuna ishara atakupa ukizipuuza matokeo ndio haya sasa kuchezewa akili.

Unakutana na binti pisikali. Umemsalimia kajibu umeomba namba kakupa fresh, kama unataka mahusiano endelevu then soma mchezo na akili yake kwa makini.

Umemuomba muonane anaanza kukuonyesha kuwa hana utayari unless ubembeleze au umfanyie vitu fulani fulani kwanza.

Ukiona tu ameanza chenga za kitoto, hapo hapo ndio muda wa kuwithdraw na kuachana nae.

Ukiendelea endelea at your own risk. Utaanza kumpa vitu atakuonyesha kuwa ameanza kuelewa utajaa mazima,ila mwenzako kwenye komwe lake anajua utampatia zaidi, so huko mbeleni mkiendelea jua kuna wenzako watakuja na atakujengea mazingira ya kushindana nao na kwamba kama wewe utaona gemu ni zito then utajijua yeye hana shida na hisia zako anajali anachopewa na wapinzani wako.

Hiyo ndio hatua aliyofikia huyu bwana Matunda Shambakubwa baada ya kubembeleza penzi muda mrefu na kuweka pete akiamini amefanya ulinzi kumbe haya matoto ya kike ya kizazi hiki kitu yanaogopa ni kunyimwa hela tu, ila hayaogopi ndoa, uchumba, mume wala chochote kile.

Sasa jamaa anaanza kulipia hasara ya kuwa simp.
 
Acha kupotosha Binti kaeleza story nzima hapa

View: https://www.instagram.com/p/DNy9qNV2DQ_/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Depression is real guys, I’ve had it for a long time, let me talk about it. I’m Neema Nairot Mwanafunzi wa UDSM Finalist ni binti kutoka katika jamii ya kimasai nina maumivu makali ndani ya moyo wangu 😭💔 nimekuwa nikipitia changamoto za unyanyasaji wa kijiinsia like kupigwa because of a man ambaye alinichumbia kipindi nikiwa mwaka wa kwanza 2022 .
Slide1&2 nikipigo niliopigwa na huyo Mkaka alienichumbia baada ya mimi kukataa kubak kwao walivyonitorosha usiku saa tano 10/3/2025 alinipigwa vibya mnoo mpk nikihisi nafia pale but nilifanikiwa kurudi kwetu.

Slide ya 3-6 Nilipigwa nyumbani kwetu baada ya huyo mkaka kwenda kwetu na kusemelea,nilifungiwa ha na kupigwa vibaya mnoooo 😭😭
But baada ya hapo nilifanikiwa kurudi chuo na kuendelea na masomo.

Slide 7&8 nilifatwa na yule mkaka tena , alikuja mpka hostel kwangu msewe chief kunambi na kunipiga na pasi ya umeme na damu kuvuja but nilifanikiwa kwenda KAIRUK HOSPITAL na I remember nilimwambia sitaki ugomvi na wew niache nipo kwenye Mtihani yangu ya mwisho plz usinsumbue but I remember alisema kuwa “kwahio hio elimu yako ndio muhimu kuliko mimi?” Ndipo aliponishambulia na pasi ya umeme!

OMBI LANGU
@gwajimad mama naombe unisaidie kwenye hili I’m tired of this 😭
@policetanzani naombeni pia msaada wenu nateseka nisadieni nipate HAKI YANGU

Kiredio_ @mwanachuofamily @bongotrending_habari02 @_.the.students._ @_.niffer._ @batuliactresstz
Please guys I need help to figure out na pia mtanisaidia kupaza sautii

NB ;kwasasa tupo njiani napelekwa morogoro kuhusu hili jambo incase of Anything watafuteni marafiki zangu wa karibu for more details about this maan naweza pokonywa CM !
 
Mimi nilichopotosha ni kipi na ni wapi?🤔

Unaweka post ambayo imesambaa na ipo katika page yake kisha ndio evidence kuwa napotosha nikueleweje we jamaa au ulikuwa unataka kusemaje?
 
Naona unavyopambana kukwepa hoja yangu. Kimsingi jamaa alibembeleza. Mwanamke hakubadilikii overnight au ghafla.

Kuna ishara atakupa ukizipuuza matokeo ndio haya sasa kuchezewa akili.

Unakutana na binti pisikali. Umemsalimia kajibu umeomba namba kakupa fresh, kama unataka mahusiano endelevu then soma mchezo na akili yake kwa makini.

Umemuomba muonane anaanza kukuonyesha kuwa hana utayari unless ubembeleze au umfanyie vitu fulani fulani kwanza.

Ukiona tu ameanza chenga za kitoto, hapo hapo ndio muda wa kuwithdraw na kuachana nae.

Ukiendelea endelea at your own risk. Utaanza kumpa vitu atakuonyesha kuwa ameanza kuelewa utajaa mazima,ila mwenzako kwenye komwe lake anajua utampatia zaidi, so huko mbeleni mkiendelea jua kuna wenzako watakuja na atakujengea mazingira ya kushindana nao na kwamba kama wewe utaona gemu ni zito then utajijua yeye hana shida na hisia zako anajali anachopewa na wapinzani wako.

Hiyo ndio hatua aliyofikia huyu bwana Matunda Shambakubwa baada ya kubembeleza penzi muda mrefu na kuweka pete akiamini amefanya ulinzi kumbe haya matoto ya kike ya kizazi hiki kitu yanaogopa ni kunyimwa hela tu, ila hayaogopi ndoa, uchumba, mume wala chochote kile.

Sasa jamaa anaanza kulipia hasara ya kuwa simp.
Wewe feminist wa kiume sijasoma comment yako yote kwa sababu najua umeandika uharo. Kazi ya mafeminist ni kushambulia wanaume na kuhakikisha hawajiamini.. wewe pia ni feminist kwa jinsi unavyoandika nyuzi za kushambulia wanaume wenzako. Acha ufeminist jomba. Heshimu maamuzi ya kila mtu ili mradi havunji sheria.
 
Ungezaliwa mwanamke ungefaa sana kwenye kupigania haki za kina mama. Mwanaume mwenzako kaamua mwenyewe kutumia jasho lake kwa mwanamke wake wewe roho inakuuma unakuja kuandika nyuzi za kumshambulia. Ulitaka wewe ndo uwe unahongwa? Punguza ufeminist.
 
Wewe ndio unaniona feminist ila kwa wanaonijua vema wanajua misimamo yangu.

On the other hand wewe unaonekana unapenda kuwa Simp na ipo siku yatakukuta. Tumia tu hizo hela unazosema unazo but usijaribu kunizuia kuzungumzia kitu ambacho kipo wazi na kina madhara.

By the way, kama unaona mimi kuandika na kuponda masimp kwako ni tatizo sabbau naingilia maisha ya watu,then why don't you take your own advise uache kuingilia maisha ya ambao tunachukia kusimp.

Why unalaumu kitu ambacho na wewe unafanya ila kwenye eneo tofauti?🤔
 
Sasa sijui umeandika nini hapa maana unaongea mafuta ya taa huku tunajadili soda.

Sasa hapo kwenye maandiko yangu ni wapi napigania za akina mama au wapi nimedeclare naongelea wakina mama hapa?

Ni wazi haujui kusoma vema na kuelewa mtu ana aandika kitu unakalia kubwatuka na kuongea vitu ambayo hata haviendani na vikao.

Unajua hata feminism nini kwanza wewe maana hata sikuelewagi na hii confusion yako as if unamix mafail.
 
Wewe kwanini uumie kwa mtu kutumia pesa zake? Kama wewe ni fukara mwenye smartphone tulia acha kupiga makelele. Ninachopinga ni wewe kufungua nyuzi kusimanga wanaume wenzako.
 
Wewe una tofauti gani na mafeminist wanaowasakama wanaume? Huoni unachokifanya hakika tofauti na wao?
 
Wewe kwanini uumie kwa mtu kutumia pesa zake? Kama wewe ni fukara mwenye smartphone tulia acha kupiga makelele. Ninachopinga ni wewe kufungua nyuzi kusimanga wanaume wenzako.
Kwanini na wewe uumie mimi kufungua nyuzi kuongea maoni yangu wewe hao wanaotumia hela zao walikufuata uje kuwaongelea au ndio kiherehere cha kutaka kukwepa ukweli unaokuhusu?

Fukara nimeshawahi kukufuata nikakuomba pesa ya matumizi yangu binafsi au unawajuaje watu ni mafukara?

Kwako ni kelele kwa wengine ni elimu kama unaona maneno ni makali kwako then jitafakari sio kufosi watu wasitoe elimu.

Ungekuwa unajua maana ya neno kusimanga usingelitumia hapo ulipolitumia kwasababu sio pahala pake.

Unajua maana ya neno kusimanga mzee ?
 
Cha muhimu ujumbe umekufikia na umeelewa ninachokimaanisha. Acha kushambulia wanaume wenzio. Unachokifanya ni upuuzi.
Nadhani wewe ndie ujumbe umekufikia kwasababu unapanic bila sababu na wakija wajumbe watakucheka kwa hii kitu unafanya hapa.

Katika hali ya kawaida hawezi kuwa mtu anaongelea jambo general wewe ukalibeba personal as if alikulenga wewe personally au ulitumwa na kikundi uje kuwazungumzia.

Masimp wenzako wenyewe kwanza watakushangaa kwann unakataa tiba na kuita upuuzi.

Sijawahi kuona mtu anafurahia kuwa fala wa kutumiwa na mwanamke wewe ndie wa wakwanza.

Sasa kama unaona ni ufahari mbona ukasirike? Ni sawa na mtu anitukane leo kuwa mimi nakunywa pombe so ni mlevi sasa kwani mimi si ndie ninaekunywa kwani ni yeye na kama napenda kunywa it means sio kitu kibaya kwangu, why niwe offended mtu mwingine akisema ni kibaya?
 
Naona unavyopambana kukwepa hoja yangu. Kimsingi jamaa alibembeleza. Mwanamke hakubadilikii overnight au ghafla.

Kuna ishara atakupa ukizipuuza matokeo ndio haya sasa kuchezewa akili.

Unakutana na binti pisikali. Umemsalimia kajibu umeomba namba kakupa fresh, kama unataka mahusiano endelevu then soma mchezo na akili yake kwa makini.

Umemuomba muonane anaanza kukuonyesha kuwa hana utayari unless ubembeleze au umfanyie vitu fulani fulani kwanza.

Ukiona tu ameanza chenga za kitoto, hapo hapo ndio muda wa kuwithdraw na kuachana nae.

Ukiendelea endelea at your own risk. Utaanza kumpa vitu atakuonyesha kuwa ameanza kuelewa utajaa mazima,ila mwenzako kwenye komwe lake anajua utampatia zaidi, so huko mbeleni mkiendelea jua kuna wenzako watakuja na atakujengea mazingira ya kushindana nao na kwamba kama wewe utaona gemu ni zito then utajijua yeye hana shida na hisia zako anajali anachopewa na wapinzani wako.

Hiyo ndio hatua aliyofikia huyu bwana Matunda Shambakubwa baada ya kubembeleza penzi muda mrefu na kuweka pete akiamini amefanya ulinzi kumbe haya matoto ya kike ya kizazi hiki kitu yanaogopa ni kunyimwa hela tu, ila hayaogopi ndoa, uchumba, mume wala chochote kile.

Sasa jamaa anaanza kulipia hasara ya kuwa simp.
Wengi wanachokosea ni ku negotiate genuine desires na ku ignore red flags, wakishindwa kujua genuine desire is never negotiated.
 
Cha muhimu ujumbe umekufikia na umeelewa ninachokimaanisha. Acha kushambulia wanaume wenzio. Unachokifanya ni upuuzi.
Hakuna ujumbe umenipa zaidi ya kupanic na kujiexpose kuwa wewe ni simp mwanaume dhaifu ambaye bila kuhonga au kutoa hela unaamini wanawake hawatakuelewa hoja zako.

And stop making this about "wanaume" this is about you alone hapa usiingize watu wengine.

Hebu take a chill pill and go on and continue to be a simp in Peace😂 simp mkubwa wewe.
images (10).jpeg
 
Back
Top Bottom