Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

Huyo jamaa ni mjinga sana, unapiga mtu kisa kakukataa, na nyinyi mnaosupport, naona watoto inaonekana.Watu wanakataliwa ndoa ina miaka 10- wanagawana mali, watoto wanatenganishwa mtu anarudi back square zero sembuse hao uchumba sugu.
Uchumba miaka 3 - kuna -uchumba hapo...??
 
Kama humpendi mtu usipende na hela yake pia period. Unajua kabisa humpendi unakubali kuchumbiwa naye na anatoa fedha unaona na unakubali utafunga nae ndoal, anatimiza kila kitu unafika wakati wa wewe kutimiza sehemu yako unaleta shakara kwani wenzako hela wanachuma??

Violence sio jambo ambalo binadamU yoyote anaweza kulishabikia lakini tujitahidi kuepuka hiyo kwa kuwa wawazi na kuheshimu wengine pia...
 
Acha kupotosha Binti kaeleza story nzima hapa



View: https://www.instagram.com/p/DNy9qNV2DQ_/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==



Depression is real guys, I’ve had it for a long time, let me talk about it. I’m Neema Nairot Mwanafunzi wa UDSM Finalist ni binti kutoka katika jamii ya kimasai nina maumivu makali ndani ya moyo wangu 😭💔 nimekuwa nikipitia changamoto za unyanyasaji wa kijiinsia like kupigwa because of a man ambaye alinichumbia kipindi nikiwa mwaka wa kwanza 2022 .
Slide1&2 nikipigo niliopigwa na huyo Mkaka alienichumbia baada ya mimi kukataa kubak kwao walivyonitorosha usiku saa tano 10/3/2025 alinipigwa vibya mnoo mpk nikihisi nafia pale but nilifanikiwa kurudi kwetu.

Slide ya 3-6 Nilipigwa nyumbani kwetu baada ya huyo mkaka kwenda kwetu na kusemelea,nilifungiwa ha na kupigwa vibaya mnoooo 😭😭
But baada ya hapo nilifanikiwa kurudi chuo na kuendelea na masomo.

Slide 7&8 nilifatwa na yule mkaka tena , alikuja mpka hostel kwangu msewe chief kunambi na kunipiga na pasi ya umeme na damu kuvuja but nilifanikiwa kwenda KAIRUK HOSPITAL na I remember nilimwambia sitaki ugomvi na wew niache nipo kwenye Mtihani yangu ya mwisho plz usinsumbue but I remember alisema kuwa “kwahio hio elimu yako ndio muhimu kuliko mimi?” Ndipo aliponishambulia na pasi ya umeme!

OMBI LANGU
@gwajimad mama naombe unisaidie kwenye hili I’m tired of this 😭
@policetanzani naombeni pia msaada wenu nateseka nisadieni nipate HAKI YANGU

Kiredio_ @mwanachuofamily @bongotrending_habari02 @_.the.students._ @_.niffer._ @batuliactresstz
Please guys I need help to figure out na pia mtanisaidia kupaza sautii

NB ;kwasasa tupo njiani napelekwa morogoro kuhusu hili jambo incase of Anything watafuteni marafiki zangu wa karibu for more details about this maan naweza pokonywa CM !

Wewe akili yako ilivyo mbovu ulitegemea huyo mwanamke asinge-switch narrative ili apate huruma ya jamii?
 
Nazungmzia tukio hili ambalo hadi sasa bado tunasikilizia mrejesho wa kamanda wa jeshi la polisi huko morogoro atupe kisa kizima cha mchumba wa binti huyu kufanyiwa mashambulizi kadhaa ya kimwili.

Kwanza niweke bayana kuwa violence dhidi ya wanawake ambao physically ni dhaifu kwa mwanaume si jambo la kufumbiwa macho na ni la kikemewa.

Lakini muhimu zaidi naomba notumie tukio hili kama mfano hai wa tabia ya U'simp kwa wanaume especially vijana.

Muhusika ambaye nina uhakika ni simp wa miaka 29 inaonekana aliweka pesa na mali rehani ili kumpata huyu binti.

Ila binti baada ya kufika mjini Dar na kulijua jiji pamoja na kukutana na mashost na kuanza kutembea viwanja mbali mbalo vya starehe then masimp wengine wakamuona na kuingia katika process ya ki'simp wakimwagia offer kibao binti ili aweze kuwapa mchezo na ukizingatia ana mwili wa utamu.

Vijana,oneni hasira na kichaa kinachoweza mpata mwanaume ambaye alichagua kusimp kwa mwanamke ambaye alishajua kuwa hana mapenzi nae ila akatumia pesa kumshika ili amteke hisia.

Lakini mwanamke alipofika chuo na kupata exposure ya bata akaanza kupunguza mazoe na kutaka uhuru wake wa kuishi atakavyo na rafiki zake waliomfundisha matumizi sahihi ya uzuri wake.

Tazama namna ukiendekeza u'simp unavyogharamika na kupata hasara mwishoni. Amechumbia, kalipia mahari akingojea ndoa binti kaanza kutumia mbinu ya bread crumbs kumstring along kihisia,na jamaa kwasababu ni dhaifu akajaa mazima na kuchizika.

Nina uhakika hivi vichapo ni matokeo ya kumfumania akiwa katika mazingira tatanishi.

Jamaa asingechagua kuwa simp saa hii pengine angekuwa anakunwa kifua na pisi nyingine huko morogoro. Ila alichagua kuwa simp tazama sasa, jeshi la polisi limepokea taarifa na maelekezo ya waziri mwenye dhamana mama gwajima na sasa jamaa ametiwa mbaroni anahojiwa tutapewa ripoti yote wiki hii.

Kwasasa nafuatilia story kwa rafiki yake wa karibu maana ninamjua na nimeshampigia kasema nimtafute kesho.

Ila nawakumbusha tena vijana. Kusimp ni kosa kwa mwanaume inaweza kukuharibia hata maisha yako. Usije ukasema hajaambiwa. Nadhani jamaa akijakusoma nyuzi zangu kuhusu U'simp atazielewa vema sana kwasababu yameshamkuta sasa.

ACHENI KUSIMP.View attachment 3454319View attachment 3454320View attachment 3454321View attachment 3454319View attachment 3454320View attachment 3454323View attachment 3454324

Matumizi mabaya ya neno simp
 
Back
Top Bottom