Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google
Mechi n Azam vs YANGA
REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc
Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji alimrukia Refa akampa ndonga ya maana
Refa akashtuka akahamaki alienipiga katokea wapi kumbe...
- Hizi ARV zimeanza kutolewa kwenye mwaka 2003 au 2004 hapa wenye kumbukumbu sahihi mtanirekebisha. kabla ya hapo hapakuwa na dawa za kufubaza.
- Ugonjwa huu uliogopesha sana kiasi ambacho jamii haikuwa tayari kuuzungumzia. kimya kikuu kilitanda bila shaka kila mmoja akiomba kwa mola wake...
Betting ni kitu kitu addiction ya ajabu sana. Kila siku tunachezea kichapo lakini Bado hatukomi.
Sasa Kuna Ile time, umeshachambua Games lkn Hali Iko pale pale, unaanza kwenda prediction zako😁, ukiamini pengine mambo yanaweza kuwa tofauti🍾... twende kazi ngoja nitoe zangu😋
Mm nilishawah...
Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa mwezi mzima umepita tangu mauaji ya kikatili ya Mzee Ali Kibao, lakini mamlaka bado zimeendelea kuwa kimya kuhusu ripoti ya uchunguzi wa kifo chake.
Awali, ziliahidi kwamba matokeo ya uchunguzi yangewekwa wazi ndani ya masaa machache, lakini hadi sasa hakuna...
habari.
Jukwaa hili ni kwaajili ya kukumbushana maisha ya zamani, zana zilizotumika zamani michezo na masomo ya zamani na mengineyo yote ili vizazi vijavyo viweze kujifunza.
Karibuni nyote.
Wakati unamlaumu mzazi kuwa maskini jiulize wewe hadi Sasa unapambanaje na umaskini hasa wa familia Yako au nawewe unasubiri uje usemwe na wanao??
Tanzania tumejaliwa kuwa na maeneo mengi ya kilimo kwa kila mkoa lakini maeneo hayo yapo wazi hakuna zao lolote. Ngoja niwasanue vijana wenzangu...
KUPIGA NA KUPIGIWA KURA NI HAKI YAKO
KUGOMBEA NAFASI YA UONGOZI NI HAKI YA URAIA
Tumeadhimisha kumkumbuka Mwl Julius Kambarage Nyerere.
Ni vyema Sasa kupitia katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara ya 5(4) Tukazingatia maneno ya Mwl Nyerere yaliyoandikwa kwenye kitabu Cha Nukuu za Kiswahili za...
Kuna msemo wa Waswahili wanakwambia bora Ukosee njia lakini usikosee Kuoa ila binafsi naona hakuna kosa kubwa katika hii dunia kama kukosea katika kuchagua kiongozi bora ambaye atakuja kutatua changamoto katika Jamii.
Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu na uchaguzi wa serikali za mitaa...
Leo nimekumbuka nyuma hapo 2005/2006 nakuendelea VIPINDI VYA RFA hakika vilikuwa ni VIPINDI vizuri sana.
Nakumbuka kulikuwa na kipindi kinaendeshwa na mwanadada ajulikanae kama Grory Robson mtoto wa mama sabuni, kulikuwa na sindano tatu za moto na Fredwaa.
Kipindi Cha search Line simkumbuki...
Mwanaume aliyeoa ni sawa na Greda linalojenga barabara lakini Barabara ikikamilika linaletwa Gari kubwa la kubeba Greda lisipite ktk barabara kwa sababu ya kusema litaharibu barabara.
Mfano huo ni sawa na wanaume waliooa ambao hujinyima Nguo nzuri, Simu nzuri, Gari zuri, hujinyima Chakula cha...
kila mtu ajiulize imeitendea nini Nchi CCM , je tuko kwenye muelekeo sahihi kisha afanye maamuzi .
nadhani historia ya Nyuma kwa CCM ndio kipimo kikubwa zaidi haihitaji kukusanyana na kupeana maneno matamu au vyama vya upinzani kutuambia uzuri au ubaya wa CCM .
Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kumfanya mwanamke kuwa mke wako wa ndoa.
Kwa leo tuangazie matatu tu kwa kifupi ili tuendele na shughuli za ujenzi wa taifa.
Iko hivi, unapotaka kuoa kwanza usijifikirie wewe tu, ni kweli chagua mwanamke ambaye anakuvutia lakini ukumbuke hujichagulii...
Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya.
Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua wengi tunanunua TV moja ila ina matumizi mengi kama vile kuangalizia movies, kuunganisha na ving'amuzi...
Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse?
Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi.
Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani.
Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani.
Pia...
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale Morogoro akiitwa Hamisi Kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga.
Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf Morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga...
Miongoni mwa mambo ya hovyo ni;
1. Abiria kusimama kwenye basi kuwa kitu cha kawaida
2. Malori kupaki barabarani na kuziba njia
3. Kuuza na bidhaa na kutokutoa risiti
4. Watumishi wa Serikali kutojali wananchi
Ni muhimu kukumbuka kuacha computer inayotumiwa na wengi ikiwa safi na vilevile taarifa zako zikibaki kwenye account yako bila kujulikana kwa wengine.
Nimetoka kwenye stationery moja mitaa ya Ubungo karibu na hostel za chuo kikubwa zilizojengwa kwa matofari ya kuchomwa.
Kuna mdau ameacha kila...
Wakuu heshima kwenu!
Kwa wale watoto wa mjini tuu tulio jua taa za barabarani miaka ya 90... tulio kuwa tunapiga misele kwa kupanda gari la kazini bure.
Watoto wa mesi... watoto wa mason club watoto wa senior club.
Mpo wapi wakazi wa BQ, Construction house, H5 watoto wa kimasikini H3 na H1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.