Kumbukizi ya moja ya Games za zamani zilizochezwa sana na watoto na vijana miaka ya 2000 ni Need for speed.
Unakumbuka kuicheza?
Ulikuwa na umri gani?
ipakue hapa chini ukumbushie enzi 🙂
Dah ebhana ee!! mi nime cheza tangu 2002 hadi 2009, ilikuwa inapigwa knockout ya kufa mtu.
Nilikuwa...
Kitambo hiyo zama za mwamba Mwalimu Nyerere Rais wa kwanza wa Tanzania Filling station zilikuwa na majina maalum kutoka nchi za mabeberu, SHELLY, CALTEX, AGIP, BP, ESSO, TOTAL, peke yake sio sasa hivi hata mimi naweza kuanzisha filling station yangu na nikaipa jina la mwendawazimu yeyote kati...
Mimi kanuni yangu ni moja, lazima tupime, haijalishi nitatumia condom ama lah lakini lazima tupime.
Jana nimechukua mtoto mzuri innocent kabisa, sio malaya(inawezekana ni malaya underground ) nikampima majibu ndio haya ana kaswende. Hakuamini macho yake.
Can all the laws of physics be expressed as a set of mathematical equations?
Yes,
Mambo ya kufikirika :D :D :D :D :D :D :D :D :D
Albert Einstein giving a lecture on relativity at a historically black university in 1946. His peers scrutinized him for it and the press ignored it...
Bro,
Wanaume wa UWABATA wanaangamia kwa kukosa maarifa, wanapotea, wanaenda kwa mkumbo, hawajui hata lengo la maisha yao ni lipi, wanapeperuka, wamekosa uzito, wameshindwa kukaza, wamekuwa kama bendera.
Tuwashutue au tuwaache?
Hachana nao bro, acha wapotee, hawajielewi, acha wajipalie mkaa...
INTRODUCTION
Nawasalimu kwa jina la chama kubwa YANGA basi jibuni "Ubingwa uendelee""
Naanza Mimi.
Mimi nilizaliwa mjini Daslam! Miaka ya 1990. Wakati nazaliwa tulikuwa tunaishi Mwananyamala B
Na nikiwa mdogo nilifiwa na wazazi nikachukuliwa na ndugu kwenda kuishi mwananyamala Komakoma.
Hapo...
MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES
Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 .
Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5,
tulikuwa tunalipia kwa...
Bro,
Kikao cha hiki kijiwe sio kama kile cha wanaume wa UWABATA, Hachana na wanaume wasiojielewa, hatuna haja ya kuunda 'hashtag' hizo pigo waachie wanawake.!
Hachana na wanaume wasiojielewa, wao na wake zao wanalumbana kila siku,
Unajua kwa nini.!? Kwa sababu hawajielewi.!
Hawavai kilemba cha...
Hope ni wazima wana JF,
Je, uliwahi kufanya tukio gani la hatari kipindi unakua?
Sitosahau siku moja ilikuwa ni likizo ya Pasaka siku ya Ijumaa tukiwa group la watoto kama 6 hivi, mmoja alikuwa wa kike Jesca, tulienda porini sio mbali sana na maeneo tunayoishi.
Baada ya kutembea tembea kidogo...
Vita vya Vietnam vilikuwa vita vya muda mrefu, vya gharama kubwa na vya mgawanyiko vilivyoikutanisha serikali ya kikomunisti ya Vietnam Kaskazini dhidi ya Vietnam Kusini na mshirika wake mkuu, Marekani.
Mzozo huo ulizidishwa na Vita Baridi vinavyoendelea kati ya Marekani na Muungano wa...
Habari zenu,
Kwanza nianze kwa kusema kuwa sijatumwa wala sina chembe ya uanachama wa itikadi yeyote ya chama cha siasa,mimi ni Mtanzania halali ambaye nimeamua kwa dhati na mahaba kwa nchi yangu kukumbusha wananchi wenzangu.
NCHI HAIJIJENGI
Ipo nadharia moja kwa waliosoma DS vyuoni inasema...
Mara ya kwanza ilikuwa ni likizo yangu December 2018, nikiwa na mwenyeji wangu ( mzambia) baada ya kupeleka mchele na kumaliza kuuza, mwenyeji wangu alinishauri tusogee Rukwa, tununue dagaa then tuwapeleke Kasumbalesa kwa kipindi hicho akadai wanalipa na yeye anawafahamu dagaa ila shida lugha...
Tulikubaliana ujamaa ni utu ni usawa na haki kwenye uchumi.
Tulipogundua hatuwezi kujenga ujamaa kwa uwekezaji wa umma kwenye viwanda na biashara tukaamua kutumia sekta binafsi kwa uwekezaji wa ndani na wa nje.
Kwa msingi huo mpango wa CCM ukawa ni kuendeleza umma kupata maendeleo ya kiuchumi...
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Uzi huu ni mahususi wa kuyakumbuka mazuri ya viongozi wetu ambao wa ngazi ya kitaifa. Viongozi hawa ni wa kisiasa ambao wapo serikalini au kambi ya upinzani. Viongozi ambao wapo hai au wametangulia mbele za haki.
Niwaombe wanajukwaa tufunguke yale mambo ambayo...
Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki, ni matumaini yangu kuwa sote hatujambo na wenzetu wanaopitia mitihani mbali mbali ya kiafya au kiuchumi Mungu awasimamie maana yeye ndio muweza wa yote.
Sote tunafahamu kwamba sisi wanaume ndiyo vichwa na viongozi wa familia zetu. Ukichwa na uongozi...
Amani ya Bwana iwe nanyi,
Tunamshukuru Muumba kwani nchi yetu imejaaliwa kuwa na mito mingi mikubwa kwa midogo, ile ya msimu na isiyo ya msimu. Mito hii licha ya kupendezesha sura ya nchi imeleta pia changamoto za usafiri tokea upande mmoja kwenda upande mwingine.
Nilipokuwa kijana mdogo...
Kuna muda ahadi zetu feki (ahadi za uongo) ndizo zinazowachelewesha watu wenye shida kukutana na majawabu sahihi ya shida zao, kama huna nia ya kutoa msaada kwa mtu ni kheri usitoe ahadi kwani anaweza kuweka imani yake na kusubiri suluhisho la tatizo lake kutoka kwako.......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.