Chunguza upepo wa gari yako
#Roadlife.Tuendelee kukumbushana kuwa dereva ukiendesha lori lako jitahidi kuangalia geji zako zote mara kwa mara,tofauti yake ni kuwa madereva tunaangalia saana geji ya mafuta,geji ziko nyingi na kila moja ina umuhimu wake, ipo geji ya
Mafuta
Upepo kwenye mitungi...
Kumekuwa na tabia ya ajabu ya biashara za aina flani kuibuka kibongo bongo na kuwa hyped ila ghafla zinakufa kibudu 😂! Hebu tuzitambue na tuelewane shida hasa huwa nini mbona hazi prosper kama jinsi biashara za wenzetu huko duniani zinavyokwenda sawa.
Ntaanza na hizi chache...
1.Biashara ya...
1. Kutembea na toothpick baada ya kutoka kula na kuchokoa meno hadharani.
2. Kuruka foleni (jumping queue)
3. Kuficha nyaraka ili uonekane mjuaji
Uzi tayari
Miaka ile kanda ya kaskazini iligubikwa na matukio mazito ya ujambazi, nakumbuka ilikuwa haupiti mwezi bila tukio kubwa la ujambazi kutokea.
Mnakumbuka wizi wa benki ya NMB pale Mwanga kama sikosei? Mnamkumbuka kamanda Chico?
Mnakumbuka kuna battle ya risasi ya majambazi na polisi ilidumu kwa...
Kwa wana JF wenzangu
Najua tuna pata wanachama wapya hapa JF kila siku hivyo nimeona nikumbushe mambo machache hapa
1. Hoja inayolenga kuchafua Biashara/ Brand
Naomba tena niwaombe sana: isiwe kila mtu akiona kasoro flani hata hana hakika kuwa imetoka moja kwa moja kwa mzalishaji anakuja hapa...
Habari za Asubuhi movie lovers hope mmeamka Salama..back to the bussines,movie gani za zamani unazopenda au kukumbuka Sana?? Kiasi kwamba ukiiona tena unapatwa Na nostalgia??Mimi nitataje chache.
1:Kifo Haramu
2:Shamba Kubwa
3:Nsyuka
4:Gubu La wifi
5:Chiku na Kapili
6:Shumileta
Nawe shusha zako
Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB zilizokuwa zinasafirishwa kuelekea Morogoro.
Unalikumbuka tukio hilo? Nini hasa kilijiri? Usipite bila...
HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
bei nafuu
bora
dunia
efd
faida
kisasa
kompyuta
kuhusu
kujiunga
kukamata
kutoa
kutumia
machine
mfumo
msingi
nchi
nchi nzima
okoa
risiti
risiti za efd
salama
sifa
simu
tra
tukumbushane
uokoe
usumbufu
vfd
wafanyabiashara
wakati
wote
zaidi ya
KAFARA HAUJICHAGULII MWENYEWE; UNACHAGULIWA.
Na, Robert Heriel
Naomba tukumbushane kidogo,
Ili mtu yeyote afanikiwe lazima kafara lihusike, upande wowote ule iwe Kwa upande wa Mungu au upande wa Shetani,
Na Kwa wale wasioamini masuala ya Shetani na Mungu basi, tunaweza iweka iwe upo upande...
Miaka ya nyumba kulikuwa na visa vingi vya watu kuuliwa ama kujeruhiwa na Simba wala watu.
Wengi wa Simba hao walitajwa kuwa si Simba halisi ila walikuwa ni binadamu waliojibadilisha kuwa Simba.
Miaka ya tisini katikati kuna binamu yetu aliliwa na Simba huko Mtwara.
Lilikuwa na story nyingi...
Haabari wadau..!
Maisha ya UDSM enzi hizo yalikuwa powa sana sijajua kwa sasa.
Tuanzie wapi ,ngoja tuanze na Boom enzi hizo lilikuwa 4000/= kwa siku ila tulivyoingia chuo ikabidi tufanye mgomo Boom liongezwe watoto wa mama hawataelewa.
Maandamano yalianzia Revo Square sijuhi kama watoto wa...
Mengi sana yanasemwa kuhusu mafanikio ya Mwendazake kama vile watangulizi wake hawakufanya lolote. Kimsingi JK amefanya kazi kubwa sana. Kimsingi amefanya hata kazi za awali kwa yale aliyoyakamilisha Mwendazake kama uwanja wa Terminal III, Daraja la Mfugale, Daraja la Kijazi, SGR na barabara...
Habari wana JF.
Leo kuna vitu ilinibidi niwaeleze wale wanaume wenzangu wenye akili za miaka ya tisini maana huwa wanapata shida sana kusaivu katika mapenzi kutokana na mabadiliko ya kitamaduni.
Kwanza nianze kuelezea miondoko ya dunia ya sasa ambayo amkuwa teyari kuyakabili:-
Dunia sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.