Kwa wale wote mliozaliwa Narumu tukutane hapa, ruksa pia ambao hamkuzaliwa ila wazazi ni Wanarumu, mimi nimezaliwa Narumu kijiji cha Usari Isareni, Mzee Ketani Mambito ni jirani yangu, Narumu inapatikana Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro imepakana na Wilaya ya Moshi DC kwa upande wa mashariki...