Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio.
Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo.
Karibuni kwa mjadala
Habari ya wakati huu wanaJf, kama title ya uzi inavyojieleza shuka nao.
Chess ni moja ya michezo ya zamani zaidi na ya kimkakati duniani, yenye historia ndefu inayorudi nyuma zaidi hadi karne ya 6 huko India. Na ikasambaa Ulaya kupitia Waarabu na Wafarsi, hatimaye kuwa mchezo wa kisasa...
Habari Wana jamvi....
Naamini jukwaa hili limebeba watu wengi sana , Leo napenda tushare taarifa na uzoefu mbali mbali hasa kwa wale wakatoliki wenzangu tuliosoma shule za seminary, binafsi nilisoma Nyegezi Seminary.....
Unakumbuka Nini katika maisha ya shule seminary....
Salaam Wana JF.
Uzi huu naomba wote wanaohusika na Kutengeneza Sabuni za aina zote,Kwa Kiwango kidogo,cha Kati na Kikubwa Tukutane Kupeana Maarifa,Taarifa,Ujuzi na uzoefu.Aidha wale wanaouza malighafi,vifungashio na hata Wauzaji wa jumla na reje reja ruksa pia.Kwa Wadau napenda tupeane uzoefu na...
Wakuu, ni EV nyingine kutoka China.
Kuna hii kampuni inaitwa Avatr Technologies, hadi sasa wana model mbili tu za magari, ya kwanza ni Avatr 11 na ya pili ndio hii imeingia sokoni sasa inaitwa Avatr 12. Inasomeka Avatr one two!
Hii ni executive hatchback, iliyokua designed na bwana mkubwa...
1. DAR - ES - SALAAM
Majiji Mengine ....
2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili
3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k.
4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
Ndugu zangu habari..
Ni mara kadhaa sasa mke wangu ananiambia sina utu ila nikimuuliza kwanini ananiambia hivyo hatoimajibu kabisa.
Ndugu zangu kama mnajua ni kwanini naambiwa hivi au mlio wahi kuambiwa hamna utu na wake zenu njoeni hapa tupeane mbinu wakuu
House girls wote popote mlipo.
Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA.
Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri zinasaidia kupunguza talaka hapa mjini.
Ni wachache watashindwa kutambua hili, ila binafsi kabla ya kulala...
Je, wewe ni kungwi wa kucheza na PC? Sina maana ya wale mnaoweza kuplay Games kwenye PC ama wale wenye uzoefu wa kuhamisha movies za Dj Mark kwenye flashdisk. La hasha! Nina maana ya wale mnaoweza kucheza na zile programmes za msingi sana.
Nianze na ArtWork designs. Kuna wale wataalamu wa...
Mimi nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2008 nikiwa katika pita pita zangu nikafika kwenye mjengo mmoja wa maana ulikuwa na madirisha ya vioo vile vyeusi si nikaanza kujiangalia vile vioo huku nikiwa najikenurisha mara bila kujua kuwa kumbe ndani kuna mtu ananitizama mara gafla lile dirisha...
Habari wakuu sisi tunaependa kunywa Vyombo kwenye hivi vi Grocery,Pub au Bar za mtaani kuna muda huwa tunajifunza mengi sana juzi nilika mtaani na machalii wakasema tukale vyombo tukaenda wakasema wanataka Valeur mimi nikapiga Castle Lite mbili na wao wakapiga Valeur Mbili hao Wahudumu wakanywa...
Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi huu. Kwa tunaotarajia kuomba INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT(IFM) tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Chuo hiki au ambao mlisoma hapo /bado mnasoma hapo nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of...
HII NYUMBA TULIDESIGN WENYEWE JAPO MTEJA ALIANZA UJENZI NA MTU MWINGINE THEN SISI TUKAANZA KUREKEBISHA
1. TULIREKEBISHA MSINGI MAANA ULIKUWA MFUPI SANA NA MKANDA ULIKUWA MDOGO MNO (REJ PICHA NO 1) PIA TULIONGEZA UKUBWA WA CLOSET YA MASTER NA CHOO MAANA ALIVIRUKA
2. TUKAANZA KUINUA UKUTA...
BUSINESS PLAN 01: FISH FARMING
note source ni nyingi 👨⚕️.
Kuanzisha biashara ya ufugaji samaki nchini Tanzania inaweza kuwa mradi wenye faida kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya samaki kama chanzo cha protini. Hapa kuna mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya jinsi ya kuanzisha na kuendesha...
Natumai ujumbe huu unakukuta salama.
Nia na madhumuni ya kuweka bandiko hili ni kutafuta watu wenye ujuzi wa Blender3D 3D Artists kama modelling, animation, CGI VFX etc.
Lengo ni ku organize ili ku achieve na kufikia malengo na kutimiza ndoto kupitia 3D.
Natafuta watu wenye ujuzi wa Blender3D...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.