Binafsi nilitamani kwenda sema kila nikipiga jicho naona madogo wanne wanadai ada january, ikabidi tu niwe mpole maana ukienda Moshi lazima ule ada ubakiwe na nauli tu
Wale wenzangu na mimi hebu tupeane moyo hapa
Uzi tayari
Nafurahishwa na mitizamo na pani zilizonazo kambi mbili tofauti zinazotunishiana vifua kuhusiana na kuukubali au kutokuukubali uongozi wa Mwendazake John Joseph Pombe Magufuli.
Nafurahi kwamba kuna ustahimilifu mkubwa baina ya kambi hizi mbili bila kusababishiana madhara japo yapo kidogo.
Kwa...
Mapenzi huzuzua akili sana haswa pale yule umpendae kwa dhati anapokwenda kinyume na makubaliano yenu ama kutenda ndivyo sivyo!, karibuni tu share mambo hayo.
Binafsi nilikua na mpenzi wangu wakike ambae tulikuwa jirani,awali alianza yeye kuniapproach nami nikazama penzini tukapeana vyakupeana...
Mwaka 1998 nilipigwa roba ya mbao mchana kweupe. Ilikuwa ni Mwananyamala, nina backpack 🎒 naenda kwa Taki Mdeng'o shosti wangu kumringishia visa yangu ya USA 🇺🇸.
Safari na ndoto za kuingia nchi pendwa zikaniisha. Taking yuko Uingereza. Hadi leo
Kwa sisi wana JamiiForums wa vijijini ambao toka tuzaliwe hatujawahi kukanyaga Hilo jiji hebu tukutane hapa na kufarijiana maana wanadarisalama wanatudharau Sana.
Jambo moja kubwa ambalo naamini kwa asilimia Mia moja ni kwamba sisi wanaume wa vijijini tunawazidi nguvu wanaume wa Dar.
Habarini wapendwa nina wazo kwa wale vijana wenye nia ya kuthubutu na wenye mawazo au biashara au wamejiajiri tukutane na tuunde kikundi.
Lengo la kikundi kwenda kupata Mkopo wa Halmashauri.
Yawezekana kila mtu akawa na biashara yake au ya pamoja ila kama kila mwanakikundi atakuwa na biashara...
Salam,
Mimi nilipata chanjo ya Jenssen! Good thing sikukutana na changamoto yoyote ile zaidi ya maumivu ya kale kasindano. Na uchovu kidogo kwa saa chache sana.
Hii kinga ni nzuri.
Vipi ndugu zangu mliopata Chanjo ya UVIKO 19. Wewe ulikutana na changamoto gani?
Karibu uhamasishe na wengine...
NDUGU ZANGU...
Mnamo mwezi wa sita mwaka huu nikiwa nchini kenya.baada ya kuzunguka katika kaunti zake kazaa kikazi nikitokea dar es salaam tanzania (si mara yangu ya kwanza kwenda kenya) nimejikuta niko kaunti ya kisumu.nimekaa katika kaunti tangu tareh 20 mwezi wa saba,nimeondoka juzi tareh...
Baada ya kuchukua muda kufuatilia maoni na mitizamo ya wajumbe mbalimbali kiroho safi, nimejiridhisha pasi na shaka yoyote kuwa:
"Pana wajumbe wenye kujawa na hasira kali isiyokuwa na maelekezo kuhusiana na Mh. Mbowe, Chadema, Chanjo za Corona na tahadhari zake."
Wajumbe hao wakisikia moja...
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mijadala ya vuguvugu la madai ya Katiba Mpya sambamba na kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na pande mbili zinazosigana kuhusiana na swala hili la Katiba Mpya.
Hebu kwanza kabla hatujaingia kwa undani kuhusu hoja ya sisi tusiotaka na wanaotaka katiba mpya tujiulize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.