Position
No.
Player
Club
Age
Caps
GK
1
Alisson
Liverpool (ENG)
30
56
GK
23
Ederson
Manchester City (ENG)
29
18
GK
12
Weverton
Palmeiras (BRA)
34
11
DEF
4
Marquinhos
PSG (FRA)
28
70
DEF
14
Eder Militao
Real Madrid (SPA)
24
23
DEF
3
Thiago Silva
Chelsea (ENG)
38
108
DEF
2
Danilo...
Wiki chache zilizopita mawakala wa DStv walitushawishi tujiunge na Dstv business kwa kifurushi cha Work Essential ambacho tulikuwa tunalipa 28,000/= na kupata mechi za EPL, La Liga, Serie A, Europa League na mechi chache za Uefa Champions League.
Sasa kumbe ulikuwa mtego, watu tukaunganishwa...
hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi.
Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston...
Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC.
Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
Hela bwana Shetani sana hahahaah, hivi kuna mtu umewahi kukusanya mchango hata wa msiba tu halafu usichomoe hata 10,000 yaaani lazima itakuja kishawishi tu utachomoa sijui kwanini!
Hivi kuna mtu ambaye hajawahi hata siku moja umechangisha hata kuchomoa kidogo?
Baada ya kuwafurusha Kipanga mabao saba, tumepewa hiki kikundi cha Wakongomani wa jangwani wanaoitwa Utopolo.
Tujipange kwa ajili ya sherehe pale kwa Mkapa na hitimisho kule Tunis.
Uchawi wa mwanaume kwa mwanamke upo wa aina 2 tu;
1. Pesa - Hii itamvuta aje kwako.
2. Kumfikisha Mlima Kilimanjaro - Hii itamfanya uingie moyoni kwake sana sana. Sasa ili umfikishe Kilimanjaro hapa inategemea na show yako.
Mwingine dakika 2, 3, 4 na wengine kwasababu za kimaumbile na kihisia...
Kwangu mimi jina langu la mwanzo limekosa umaarfufu kabisa, ni jina ambalo lipo kwenye vyeti tu na vitambulisho.
Jina langu la ziada ni la kijijini lakini hili halipo kwenye cheti cha kuzaliwa
Shule ya msingi nimeitwa jina la ukoo
Sekondari nimeitwa jina la ukoo
mtaani na nyumani naitwa jina...
Hili jambo gumu, sema pia ni ushujaa. Kuna siku jamaa konda anamwambia hujalipa jamaa anasema kalipa na anadai chenji.
Alianzisha mtiti aisee, watu wakavu sana, ugomvi mkubwa jamaa mwisho kaondoka bila hata chenji.
Wabongo aisee hatari!
Kulipwa mishahara baada ya miezi miwili kupita!
Mgao mkali wa umeme!
Maisha kuwa ghali!
Bidhaa kupanda kiwango cha mtu kushindwa kumdu maisha!
Miradi ya Serikali kusuasua na au kusimama kabisa
Hasira za viongozi kuwa juu baada ya mambo kuwa magumu, hatataka kusemwa semwa!
Na kadha wa...
Enzi hizo Dodoma washua wote wanaishi uzunguni
Watoto wa kishua wanasoma stockley
Kina sie tunasoma amani, na mlimwa ambazo ndio zilikuwa shule bora mjini
Club ilikuwa ni NK pamoja na shilla disco mitaa ya iringa road
Picnic tunajichanga tunaenda pnde za mkalama kule ma miyuji kwenye ile...
Miaka ile Mwanza ilikuwa na raha zake
Beach lazima uende tunza beach ndio ya kishua.
Club zilikuwa deluxe na capricabana ndio za kishua hasa ambapo unakutana na kina dj cutter kidboy huku watoto wa kiswazi wakikutana pale magnum.
Tape music za nje tulikuwa tunanunua pale boom explosion...
Kwema Wakuu!
Nimesoma Uzi wa member mmoja humu kuhusu adhabu za matofali wapewazo wanafunzi nikakumbuka miaka nikiwa nasoma.
Shule bila adhabu inakuwa ya kiduwanzi kichizi. Yaani inakuwa ya kimama. Raha ya shule iwe na hekaheka bhana! Yaani shule Kama ipo na Kuku WA broiler.
Shule gani haina...
Ndugu zangu Kuna mwanamke nimechukua namba yake wa mtaani kwetu tunachat fresh ila nikimualbia aje namaongezi anagoma Sasa sijajua huyu ananitaka au anitaki ila nikipishana naye njiani ananionea aibu akiwa na wenzake ni mda Sasa naombeni mnishauri niavhane. Au ataingia kwenye 18 maana Kila...
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 kwa sasa naishi iringa mjini, nimeondoka dar february baada ya kula sana msoto nikaamua ngoja niende sehemu ambayo hakuna anaenijua nipate utulivu wa akili, hapa iringa nimepewa hifadhi ya kulala tu na ndugu.
Twende kwenye main topic sasa, nina tatizo la...
Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi.
Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
Habari za wakati! Natumai muwazima wa afya backbenchers wenzangu, kwakweli life mtaani limekuwa gumu mnoo imefikia hatua hata mtu akikusalimia unahisi ndio mchawi wako.
Vipi mabackbenchers wenzangu mmetoboa kimaisha? Maana nilikuwa mkorofi darasani sisikilizi walimu, mtoro mimi sasa najuta huku...
Kelele zimepigwa sana. Kwa hakika zimesikika. Katokea Msigwa eti kutaka utulivu huku tozo zikiendelea.
Kelele za kudai haki nazo zimeendelea kusikika huku zikiangukia kwenye masikio yaliyoziba.
Ni nani aliye mgeni wa vilio hivi? Ni Samia, Majaliwa, Juma au Tulia? Tuende wapi kumbe?
"Mtaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.