Nazungumzia wale ambao tunapiga kabao ketu ndani ya dakika 2-3 na baada ya hapo huo usingizi unaokuja si wa nchi hii....unalala saa mbili na dakika tatu usiku (baada ya kupiga kabao kako) na, kama hujaamshwa, basi unaweza kujikuta unaamka hata saa tatu asubuhi kesho yake.
Najua tupo wengi humu...
Habari za muda huu.
Hizi ndio sheria 9 ambazo kila mwanaume inabidi asijue!
1. Mwanaume inabidi uweze ku control hisia zako.
2. Mwanaume inabidi uwe na uwezo kwa kuchanganua mambo kwa kutumia logic.
3. Mwanaume inabidi awe na uwezo wa kucontrol hasira zake.
4. Mwanaume hutakiwi kujieleza...
Nimefungua huu uzi kwa ajili ya kuwakutanisha watumishi wote wenye idea ya ujasiriamali, wanaofanya biashara,kilimo,ufugaji na wanaotarajia kufanya biashara, kilimo na ufugaji n.k
Kwa ugumu wa maisha jinsi ulivyo mfumuko wa bei ni ndoto kwa sisi watumishi wa halmashauri kutoboa, Kuna clip moja...
Wazee wa baka bencha mpo (ilininichukua miaka mingi kujua kwamba Ilikua inamaanisha back bench yaani seat ya nyuma 😁😁).
Nimeingia secondary Mwanza pale nyakabungo nikazingua vibaya mno nikafukuzwa Shule nikahamia Thaqafa secondary kwa ogweyo na opiyo nikatandika zero takatifu.
Kiukweli...
Watu wengi hutumia ringtone zilizokuja na simu, na tupo sisi tunaotumia ringtone za miziki na nyimbo tuzipendazo.
Mimi natumia ringtone za nyimbo za injili, nyimbo ni sehemu yangu ya ibada, je wewe unatumia wimbo gani?
NI DAMU IDONDOKAYO
Wimbo: There is a fountain R.L.175, S.S. & S. 129, N.K...
Nakumbuka nilihitimu chuo nikiwa umri mdogo tu wa miaka 24 kasoro miezi kadhaa. Kwa enzi zile za JK sikuwa na shida sana ya kupata ajira kwahiyo nilianza ajira kwenye sekta binafsi siku chache tu baada ya mtihani wa mwisho chuo ilikuwa Julai.
Pia tangu nikiwa chuo nilikuwa nikijishughulisha...
Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka.
Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately...
Hello ndugu zangu wapenzi wa Gangster movies ni movie gani ya mahadhi haya unaipenda??kwanini??quote gani unaipenda??Mimi Naipenda Sana The Godfather haswa scene ambayo Don Corleone anachezea paka
Huu uzi kuna watu watapita kama hawaoni maana wengi mwaka huo walikuwa viunoni mwa wazazi wao, wengine mlikuwa Sitimbi huko hamjui hata video ni mdudu gani.
Mwaka 1986 kulikuwa na fainali za Kombe la Dunia nchini Mexico, Germany Magharibi anapigwa 3-2 na Argentina, Argentina anachukua ubingwa...
Kucha kutwa sisi kazi yetu ni kupambana na wananchi wanaoibeza CCM huko mitaani na mitandaoni. Lakini miaka inaenda, mvi zinaota kichwani, nyuso zinajikunja kwa kupigwa na maisha magumu na hatuteuliwi kugombea au kupewa nyadhifa.
Ukifika wakati wa uchaguzi mkuu utasikia CCM ina wenyewe. Hapo...
Mimi Ni mmoja wa wanachama wa CHADEMA ambao kutwa Ni kulia Lia mitandaoni tu.
Mara Katiba mpya, tume huru, kukosoa mawaziri bhaasi tumemaliza ila kwenye CHADEMA hatuna demokrasia (kikomo cha miaka ya viongozi kukaa madarakani) mfano Mwenyekiti wetu yupo madarakani muda mrefu Ila ndo hatuna cha...
Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.
Naombeni...
Ilikuwa mwaka 2011 mwezi wa 7 mara yangu ya kwanza kuchukua mkopo benki, Tsh 3m. Ule mkopo niliufanyia biashara vizuri na nikarejesha bila changamoto kubwa ndani ya miezi 6. Wale maafisa mikopo wakafurahia na kunishauri nichukue mwingine wa Tsh 5m. Nikafikiria na baada ya mwezi nikachukua mkopo...
Nakumbuka huyu Mwamba alimgusa mpaka Rais wao akatangaza siku kadhaa za maombolezo na mapumziko wakati wa kifo chake>
Madilu System collapsed on Friday, 10 August 2007.
He was taken to the University Hospital in Kinshasa, where he died the next morning, Saturday 11 August 2007. His last album,
Roho za huruma huangusha wengi, japo kwa imani tunaamini tenda wema malipo yaja. Nimewahi msaidia mtu, nikabaki kupigwa majungu na niliye msaidia.
Hiko hivi ni jamaa tunayejuana naye, siku alipohitajika na wakubwa kazini sikuwa karibu yake kwa kuonyesha kujali ikabidi niwaulize watu kadhaa kea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.