Kuna mitindo mbalimbali ya unyoaji wa nywele za kichwani. Kuna panki, kipara, mtindo wa nywele saizi ya brashi, kuna mtindo wa nywele za kuota (low cut) nk
Tuambie wewe huwa unanyoa mtindo gani, na kwanini unapenda mtindo huo?
Wakuu leo kuna rafiki yangu wa A-level nilimkumbuka nikajikuta nimekumbuka mambo mengi sana ya enzi hizo miaka zaidi ya 15 iliyopita. Ni kwamba mimi ni mojawapo wa watu tunaojivunia kusoma mchepuo unaoheshimika na kuogopwa kuliko yote nchini yaani PCM (Physics, Chemistry and Pure Mathematics)...
Ufike wakati mtushawishi Kwa hoja hasa Kwa watu wa kawaida kabisa kwamba huu muungano umewanufaisha vipi au umekupa hasara Gani wewe binafsi. Binafsi Mimi muungano huu umenisaidia sana kutimiza ndoto yangu. Wakati Tanganyika singeweza kusajiliwa kuendesha biashara yangu nikaenda Zanzibar ambako...
Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo under MWAMBUKUSI imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi.
Hoja zifuatazo ndizo zimenipa kuona ushindi wa team wazalendo:
1. Judge Ndumbari, Amekiri kuwepo dosari katika...
Swalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.
Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk
Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa...
INTRODUCTION
Salamu sanaa Wana JF, ni Mimi yuleyule Mr. Liverpool A.K.A mkataa ndoa.
Hebu twende kwenye mada moja kwa moja.
SCENARIO.
Umeuona huu mshahara...!!!
Huu mshahara unaousoma hapo chini hapo ....
1. Unasomesha watoto wangu wawili private (primary school)..!!
2. Unanipa Flying fish...
Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.
Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000 sawa na Tsh 80m.
Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
Moderator nisaidie kupunguza...
Hii ruti ya kiume sana, barabara ni ya vumbi unakatiza katika hifadhi za taifa za Serengeti na Ngorongoro hivyo unafanya utalii wa ndani bure.
Gari za huko ni zile ngumu, hakuna Yutong wala Zhongtong. Kuna muda ndani hamuonani kwasababu ya vumbi la barabara.
Hii ruti haifai kwa mama mjamzito...
Kilimo ni kweli kina kipato kikubwa pia ni uti wa mgongo wa taifa lakini kilimo narudia kilimo kina vitimbi vingi kwa ground.
Ukifika mashambani kunatisha mno wivu, chuki fitina na imani za ajabu zimejaa haswa unapolima kilimo cha biashara sio kile cha gunia tatu au nne.
Wote tuliowaipitiwa na...
Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM.
Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
INTRODUCTION
Nawasalimu kwa jina la chama kubwa YANGA basi jibuni "Ubingwa uendelee""
Naanza Mimi.
Mimi nilizaliwa mjini Daslam! Miaka ya 1990. Wakati nazaliwa tulikuwa tunaishi Mwananyamala B
Na nikiwa mdogo nilifiwa na wazazi nikachukuliwa na ndugu kwenda kuishi mwananyamala Komakoma.
Hapo...
Mimi ni mmoja wa watu wanatumia viungo vya mikono na miguu vyote vya kushoto,nimesikia kwamba watu Hawa ni makini na wenye maamuzi hata magumu na ni wenye weredi wa Hali ya July Mfano:F.Kennedy(Raisi wa Marekani),George Bush,jr(Rais wa Marekani)Obama(Raisi wa Marekani)Uhuru Kenyata(Rais wa...
Katika kujaribujaribu kuangalia Movie ili kupata burudani, elimu au kupitisha wakati nimekuwa nikiziangalia movie tofautitofauti lakini nilikuja kukutana na hii The Walking Dead
Nimeipenda na nimejikuta natamani kujua kinachoendelea kila wakati maana ipo kiEpisodes na Seasons sasa mependa...
Salamu kwenu nyote.
Final ya UEFA champions league ya miamba, patashika isiyo ya mkato wa shoka. Vumbi si vumbi , midfield battle, possession vs counter attacks, number of shorts and efficiency, presence in final third, set pieces threats, conversion of chances created, 3-5-2 formation...
Karibuni mikoa yote Tanzania bara.
1. Kundi la vijana wasio na ajira karibuni
2. Kundi na watumishi wa TPA
3. Kundi la vyama vya siasa na wasomi mbali mbali
3. Kundi la wafanyabiashara
4. Wananchi wote Tanganyika
Karibuni Dodoma Bungeni tarehe 10.6.2023 bila kukosa
MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES
Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 .
Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5,
tulikuwa tunalipia kwa...
Mimi sipendi mazoezi ila nimefikia Ile steji ya no way out. Chakula kama chakula kufanya diet au kula michemsho siwezi wenzangu.
Maana kunywa sinywi, club sipendi, starehe yangu ni masotojo tu. Sasa mwili unapoelekea Kwa kweli sio pazuri.
Hii ni wiki ya tatu mfululizo ila napiga ya nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.